dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete Sri Lanka, Madaktari waitisha maandamano kutokana na uhaba wa dawa

    Madaktari Nchini Sri Lanka wamesema watafanya maandamano katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo kutokana na Hospitali kuishiwa Dawa muhimu kwasababu ya mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi kutokea katika miongo kadhaa Madaktari wanasema hali iliyopo inaweza kusababisha Mfumo mzima wa Afya unaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ni dawa ya nini?

    Nimeikuta kwenye bag la mtu wangu katoka safarini. Ni dawa ya nin?
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya kunifanya nimuache huyu mwanamke wangu

    Kama ni madawa, sasa naona yane expire. Huyu mama wa watoto wawili, mkubwa ana 27 na mdogo 24, sijui ilikuwaje nikajikuta tu mikononi mwake, tangu siku hiyo nikajikuta nampenda kichizi. Nikahama ghetto naye akahama kwao na watoto wake tukapanga nyumba. Mwanamke kanizidi miaka 8. Sasa nataka...
  4. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ukeni, hatarini kupata saratani ya shingo ya kizazi

    Wanawake wameshauriwa kuacha mara moja kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ambazo hazijapimwa na wataalamu katika sehemu zao za siri, kwa kuwa wako katika hatari kubwa ya kupata saratani ya shingo ya kizazi ambayo ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi nchini. Amezungumza hayo Mtaalamu na Mshauri...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta binti wa kuuza dawa mwenye ADDO

    Habari wataalam, Ninatafuta binti wa kusaidia kutoa huduma ya kutoa dawa kwenye duka la dawa muhimu ambalo liko Dar wilaya ya Ubungo. Sifa za muombaji lazima awe amepitia mafunzo ya ADDO na awena cheti. Tuwasiliane inbox kwa wahitaji.
  6. JamiiForums Tanzania Natufuta kazi (duka la dawa/ phamacy) Mbeya, Dodoma, Iringa na Singida

    Mimi nikijana wa miaka 23 nimesoma community health pia nimesoma addo dispensing Nina uzoefu wa kazi kwenye kuuza duka la dawa pia napiga kazi kweli Kwa sasa naitaji kazi mazingira hayo hapo tajwa. kama mtu ana connection ya kazi hayo maeneo naomba msaada tafazari ndugu zangu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ndogo za meno

    Natafuta dawa ndogo sana za meno kwa Dar kwa muuzaji wa Jumla. Ni kwa ajili ya matumizi ya hoteli.
  8. JamiiForums Tanzania Indonesia kuipa Tanzania dawa za Uviko-19 za milioni 345

    Serikali za Tanzania na Indonesia zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha huduma za afya kwa faida ya pande zote mbili. Hayo yamebainika Machi 8, 2022 ambapo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alikutana na Tri Yogo Jatmiko, Balozi wa Jamhuri ya Indonesia nchini Tanzania katika ofisi za Wizara...
  9. JamiiForums Tanzania Watendaji wa serikali wakamatwa kwa wizi wa dawa

    Watu 12 wakiwamo Watendaji wa Serikali za Mtaa, wamekamatwa wakidaiwa kuiba chupa 434 za dawa za kuua wadudu wa pamba, zilizotolewa na Serikali kwa wakulima wa zao hilo katika Kata ya Nyakabindi, Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu. Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa Wilaya ya Ulinzi na...
  10. JamiiForums Tanzania MSAADA: Mtoto anasumbulia na sikio, linauma na kutoa usaha

    MSAADA: mtoto anasumbulia na sikio. Linauma na kutoa usaha.
  11. JamiiForums Tanzania Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

    Habari za weekend..... Wauzaji wa bidhaa za forever living, kwanza hongereni kwa kufanya hiyo biashara inayohitaji kipaji cha hali ya juu kuweza kuongea sana na kumshawishi mteja, ni kipaji kwakweli. Back to topic, mmekua mnatumia mbinu za uongo na kulazimisha sana mteja ili mtangaze...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna dawa yoyote mahospitalini ya kutengeneza homoimbalance?

    baadhi ya sababu za kuota ndevu wanawake ni hormonimbalance kama wasemavyo watu wengi. sasa nauliza tu eti mahospitalini kuna dawa yoyote ya kusawazisha hili tatizo la hormonimbalance, kiukweli ndevu imekuwa kerooo hata poda inagoma.
  13. JamiiForums Tanzania Ijue "TANAKA", dawa ya kumfarakanisha mume na nduguze na marafiki pia

    Tanaka ni dawa inayotokana na uchafu wa hedhi,kucha za miguuni,kitambaa kilichofutiwa manii baada ya kujamiana, nywele za kwapani na uvunguni, kunde maiti, maji ya maiti na kitovu cha mtoto mchanga ambapo huchanganywa pamoja na dawa nyingine za mitishamba, na maji, huchanganywa humo na kuwekwa...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Sisimizi na utitiri wananisumbua, dawa yake ni nini?

    Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavosema, Hapa nyumbani Kuna utitiri wa sisimizi ndani haukatiki, ukiweka samaki tu hata kabatini unawakuta sisimizi wamevamia hatari, sisimizi wanazagaa hadi kwenye unga imefika hatua hadi chumbani wapo tu; kinacho niudhi zaidi jana sijalala kwani hawa...
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Habari JF Doctor na wana jamii wote. Mdogo wangu wa kiume (23yrs) ana tatizo la kuwashwa mwili mzima tokea mwaka 2002. Nimezunguka naye takribani hospitali zote kubwa hapa Dar lakini hatujafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizo lake. Kwa ufupi ni kwamba alianza tu kuwashwa jichoni, macho...
  16. JamiiForums Tanzania TMDA yatoa ufafanuzi wa usalama wa dawa katika Vituo vya Afya, Zahanati nchini Tanzania

    TMDA yatoa ufafanuzi wa usalama wa dawa zinazotumika katika vituo vya afya
  17. JamiiForums Tanzania Ukihusika na dawa za kulevya Zanzibar kifungo cha maisha jela

    Baada Rais wa Zanzibar, Dr. Hussein Ali Mwinyi kuidhinisha sheria mpya ya kudhibiti dawa za kulevya, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya, leo Ijumaa Februari 4 2022 amezungumzia sheria hiyo ambayo imeanza kutumika. “Kama Kamishna Mkuu au Afisa ambaye...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kuzuia magugu: Rilo R500

    Habari wanajamvi. Kama kichwa cha bandiko langu linavyosomeka. Mimi ni mkulima wa Mpunga bonde la Usangu, nina uhitaji wa dawa ya kusindika magugu iitwayo Rilo R500. Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kupata dawa hii. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa ya kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo(Migrain)

    Msaada jaman kwa anaefaham dawa ta kutibu migrain na Tinnitus. Yaani kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo na kupata sauti flan ndani ya kichwa au masikio
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta duka la dawa la kununua

    Habari zenu, Naitaji duka la dawa la kununua. Likiwa Dar es Salaam itafaa zaidi Mawasiliano; 0747182280
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…