Dawa ya Mafua

Dawa ya Mafua

second9

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
295
Reaction score
634
Wakuu,
Kuna dawa nilitumia mafua yakakata ndani ya masaa kadhaa tu japo pua ilikuwa kama inaungua. Niliuziwa Mbeya mtu alikuwa anapita nazo tu hotelini.

Hii dawa naitafuta tena kwa yeyote anajua inapopatikana kwa Dar.

20250111_164907.jpg
 
Back
Top Bottom