da'vinci mshana jr amber rutty baby

  1. JamiiForums Tanzania Sababu ya maambukizi (infection) ya sikio kwa watoto

    MAAMBUKIZI au Infection ya masikio ni tatizo kubwa kwa watoto, sikio limejigawa sehemu kuu tatu ya ndani, nje na kati. Matatizo mara nyingi yanashambulia sehemu ya kati ya sikio (Otitis media) inashambulia watoto wachanga na watoto wadogo na nyingine ni sehemu ya ndani ya sikio (Otitis...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amesema Watu 2 akiwemo Mwalimu Emmanuel Mbigili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kulawiti mtoto

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko (pichani kulia) amesema Watu wawili akiwemo Mwalimu Emmanuel Mbigili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumlawiti Mwanafunzi wa awali katika Shule ya Mount Moriah na kumuharibu sehemu zake za siri ambapo taratibu za kisheria zikikamilika...
  3. JamiiForums Tanzania Can you imagine what Americans and Europeans are teaching their students in school?

    Can you imagine what Americans and Europeans are teaching their students in school? This is Erasmus university in Netherlands. How I wish this will get to the ears of our kids & parents? I wept inside for the future of Africans & the generation unborn when I listen to this.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia inaonesha Makonda kapewa baraka kuwaongoza viongozi wengine wote!

    Tunadhani hii case closed! Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM. Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wenzangu Wanaumwa na Maradhi ya Kichwa Hebu jiangalie Jinsi Kichwa Chako kianavyo Uma

    UKIUMWA NA MARADHI YA KICHWA KATIKATI YA UTOSI NI DALILI INAYO ONYESHA KUWA UNAHıTAJI UNYWE MAJI YA KUTOSHA NA CHAKULA. CHENYE AFYA. UKIUMWA NA KICHWA KWA MBELE UTOSINI INAONYESHA UNAHITAJI UPATE USINGIZI WA KUTOSHA. UKIUMWA NA KICHWA KWA NYUMA KISOGONI INAONYESHA KUWA UPATE MUDA WA KUTOSHA...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Chuo cha Ardhi kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya mabinti mapacha waliokiri kufanyiana mitihani

    Tumekuwa tukisikia hapa Duniani hasa Tanzania kuwa huwa kuna degree za bure na wengine wamekuwa wakisema kuna degree za chupi, lakini sijawai kusikia au kuona watuhumiwa wakikiri kufanya uhalifu kabisa hadharani! Chuo cha Ardhi ni chuo kizuri lakini ikifika hatua ya watu kisa tuu mapacha...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo 5 ya kujua kuhusu nimonia

    Mambo 5 ya kujua kuhusu nimonia Pneumonia ni maambukizi kwenye mapafu. Mara nyingi husababishwa na bakteria au virusi. Ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa kupumua. Watoto lakini pia watu wazima wanaweza kuugua ugonjwa huu. Kwa mujibu wa shirika la afya duniani, Watoto 740,000 walio na umri wa chini...
  8. JamiiForums Tanzania Kando na pipi za pamba, unajua ni bidhaa gani nyingine zinazoweza kusababisha saratani?

    Kando na pipi za pamba, unajua ni bidhaa gani nyingine zinazoweza kusababisha saratani? Maelezo ya picha, Uuzaji wa pipi za pamba umepigwa marufuku katika jimbo moja huko India Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni na Idara ya Usalama wa Chakula katika jimbo la Tamil Nadu nchini India, umebaini...
  9. JamiiForums Tanzania Wachawi wanavyokujia usiku ukiwa umelala usingizi Wanakuchezea mwili wako wanavyotaka

  10. JamiiForums Tanzania Hii Ndio Hali Halisi Ya Mkoa Wetu Wa Dar Sijuwi Kwenu Kukoje?

  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wa jinsi mbili: ‘Nimefanyiwa upasuaji mara 39’

    Hakuna kitu kinachokatisha tamaa kama mtu kuteseka kwa jambo ambalo liko nje ya uwezo wake. Nazungumzia jamii ambayo imekuwa nadra sana kuzungumziwa hasa kwa Afrika Mashariki. Watu wa jinsi mbili, ni watu wa kawaida kama wale wengine ila madhila wanayopitia ni ya kuvunja moyo hata ingawa hali...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu nimemfundisha kuzungumza Kiswahili

  13. JamiiForums Tanzania Maswali magumu aliyoulizwa Rais Samia ya Mwandishi wa BBC

    Maswali Magumu aka Hard Talk aliyoulizwa Mama Rais Samia Suluhu.............. Download 720 Download 720 Download 720
  14. JamiiForums Tanzania Shuhuda aelezea Ubaguzi kwa watu weusi Nchini Ukraine

    JAMAA AZUNGUMZIA JINSI WA UKRAINE WANAVYO WABAGUWA WATU WEUSI... Download 720
  15. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa ndani uarabuni akiwatesa watoto wa tajiri yake

    Mfanyakazi wa ndani uarabuni akiwatesa watoto wa tajiri yake kamera imemkamata
  16. JamiiForums Tanzania Putin says insulting Prophet Muhammad 'violation of freedom of religion'Putin asema kumtusi Mtume Muhammad 'Ni kukiuka uhuru wa dini'

    Putin says insulting Prophet Muhammad 'violation of freedom of religion' Russian president says any freedom should have in its basis respect to other people's feelings Russian President Vladimir Putin speaks during his annual press conference at the Moscow Manege on December 23, 2021 in Moscow...
  17. JamiiForums Tanzania Pakistan's religious party hails Putin’s anti-blasphemy stance. Chama cha kidini cha Pakistan kinapongeza msimamo wa Putin wa kupinga kufuru

    Pakistan's religious party hails Putin’s anti-blasphemy stance Jamaat-e-Islami chief Siraj-ul-Haq calls Russian president's stand ‘great’ effort to mitigate rising Islamophobia in West KARACHI, Pakistan A mainstream Pakistani religious party has hailed Russian President Vladimir Putin's stance...
  18. JamiiForums Tanzania Sirikali yangu haina ajira kwa hiyo mjiajiri wenyewe

    SERIKALI INAYOSEMA UKWELI MTUPU
  19. JamiiForums Tanzania Rafiki, leo tunaishi katika siku ngumu na mambo magumu sana sisi, nchi na taifa letu la uturuki

    MAKALA IFUATAYO INAELEZEA TUKIO HILO KATIKA NCHI KAMILI. UKISOMA MARA NYINGI, NDIO MAHALI PA KUSOMA TENA. NI UJUMBE WA THAMANI SANA WENYE MATOKEO YA THAMANI SANA. TAFADHALI SHARE NA WAPENDWA WAKO. HAYA NI MAJUKUMU YA SERIKALI. PIA NI VITA KUBWA VYA HAKI NA KUSHINDWA. 🔴 ACHANA NA VITA VYA...
  20. JamiiForums Tanzania Vita ya Abushiri kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889

    Vita ya Abushiri ilikuwa jaribio la wenyeji wa pwani ya Tanganyika kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889 lililokandamizwa na jeshi la Wajerumani. Wajerumani waliita "Uasi wa Waarabu". Viongozi Viongozi wake waliojulikana zaidi walikuwa Abushiri ibn Salim...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…