da'vinci mshana jr amber rutty baby

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Jamaa anaitwa Mohamed ameibiwa watoto 2 saa 12 jioni na mfanyakazi wa ndani Wilaya ya Temeke

    Atakaye waona ampigie simu Mr Mohamed kwa namba hii hapa 0744555574. BREAKING NEWS: Alhamdulillahi Watoto Wamepatikana Wapo Polisi Mama yao ameshakwenda kuwaona wanapelekwa hospitali kupimwa afya zao.
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Moto Mkubwa unawatesa Wamarekani wa Jimbo la California

    Tizama dunia hii. James Woods, muigizaji maarufu wa Hollywood ambaye alishabikia Wapalestina wote wa Ghazza wateketezwe, Mungu kamtahini kwa kuunguliwa na nyumba yake katika moto mkubwa unaoendelea kuiteketeza California, sasa analia kama mtoto mdogo! Ama kweli mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Askari Huyu Mwanamke Alivyoituliza Kata iliyoshindikana Kilosa Hawaelewi Sheria

    https://www.youtube.com/watch?v=tWtw3Di53L4&ab_channel=MillardAyo
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania BREAKING NEWS: Maradhi Mapya ya Virusi vya Mafuwa nchini china yameibuka.Kwa Jina Yanaitwa HMPV-Virus Na Hayana chanjo Tujiabdae kuva Barakoa Tena

    A NEW CHINESE VIRUS LOOM. HUMAN METAPNEUMOVIRU OR HMPV OUTBREAK. HMPV HAS NO VACCINE SA OF NOW BAADA YA MIAKA 5 YA KORANA VIRU KUTOKEA NCHINI CHINA SASA KUMEREPUKA VIRUS MPYA INAYOITWA KWA JINA (HMPV) NCHINI CHINA DALILI YA MARADHI HAYA MAPY NI INAYOSABABISHA USHINDWE KUPUMUWA VIZURI , MAFUA...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Katuni yangu ya leo asubuhi

  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mtu Ni Sumu Mchungaji afumaniwa akimla Mke wa Mtu

    HUYU SASA NADHANI ALIKUWA AMEKUJA KUFANYA MAOMBI TAKAKITU NA TAKATIFU MAOMBI TAKAKITU IKAFAULU TAKATIFU PIA.
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Hatari kweli

    Kama una ndugu yako yupo Msumbiji mwambie aondoke haraka sana hali sio nzuri . Hao wote utakaowaona kwenye video walifariki kwa kupigwa risasi. Kama unampango wa kwenda Msumbiji basi jua hii ndio hali halisi.
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kondoo kwa binadamu huwa hana urafiki kabisa

    Wakati wa likizo huu, Mkiwapeleka watoto kijijini wakumbusheni kuwa maisha ya kule sio play station, kila kitu ni live😂😂😂😂🏃🏾
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mbegu za Mbono Kinga dhidi Ya Maradhi ya Majipu

    MBEGU ZA MBONO AU MNYONYO Mara nyingi katika mada zangu nimekuwa nikizungumzia namna ya kutibu maradhi mbalimbali yanayomkwamisha mwanadamu kushiriki ipasavyo kazi za ujenzi wa taifa. Tiba ninazozungumzia ni zile asili zisizoacha athari mbaya kwenye mwili wa mgonjwa. Leo nimeona nizungumzie...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Video: Tembo aliyechoka kuteswa aamua kulipiza kisasi

  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Sababu ya maambukizi (infection) ya sikio kwa watoto

    MAAMBUKIZI au Infection ya masikio ni tatizo kubwa kwa watoto, sikio limejigawa sehemu kuu tatu ya ndani, nje na kati. Matatizo mara nyingi yanashambulia sehemu ya kati ya sikio (Otitis media) inashambulia watoto wachanga na watoto wadogo na nyingine ni sehemu ya ndani ya sikio (Otitis...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amesema Watu 2 akiwemo Mwalimu Emmanuel Mbigili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kulawiti mtoto

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko (pichani kulia) amesema Watu wawili akiwemo Mwalimu Emmanuel Mbigili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumlawiti Mwanafunzi wa awali katika Shule ya Mount Moriah na kumuharibu sehemu zake za siri ambapo taratibu za kisheria zikikamilika...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Can you imagine what Americans and Europeans are teaching their students in school?

    Can you imagine what Americans and Europeans are teaching their students in school? This is Erasmus university in Netherlands. How I wish this will get to the ears of our kids & parents? I wept inside for the future of Africans & the generation unborn when I listen to this.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia inaonesha Makonda kapewa baraka kuwaongoza viongozi wengine wote!

    Tunadhani hii case closed! Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM. Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wenzangu Wanaumwa na Maradhi ya Kichwa Hebu jiangalie Jinsi Kichwa Chako kianavyo Uma

    UKIUMWA NA MARADHI YA KICHWA KATIKATI YA UTOSI NI DALILI INAYO ONYESHA KUWA UNAHıTAJI UNYWE MAJI YA KUTOSHA NA CHAKULA. CHENYE AFYA. UKIUMWA NA KICHWA KWA MBELE UTOSINI INAONYESHA UNAHITAJI UPATE USINGIZI WA KUTOSHA. UKIUMWA NA KICHWA KWA NYUMA KISOGONI INAONYESHA KUWA UPATE MUDA WA KUTOSHA...
  16. Leak

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Chuo cha Ardhi kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya mabinti mapacha waliokiri kufanyiana mitihani

    Tumekuwa tukisikia hapa Duniani hasa Tanzania kuwa huwa kuna degree za bure na wengine wamekuwa wakisema kuna degree za chupi, lakini sijawai kusikia au kuona watuhumiwa wakikiri kufanya uhalifu kabisa hadharani! Chuo cha Ardhi ni chuo kizuri lakini ikifika hatua ya watu kisa tuu mapacha...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 ya kujua kuhusu nimonia

    Mambo 5 ya kujua kuhusu nimonia Pneumonia ni maambukizi kwenye mapafu. Mara nyingi husababishwa na bakteria au virusi. Ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa kupumua. Watoto lakini pia watu wazima wanaweza kuugua ugonjwa huu. Kwa mujibu wa shirika la afya duniani, Watoto 740,000 walio na umri wa chini...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kando na pipi za pamba, unajua ni bidhaa gani nyingine zinazoweza kusababisha saratani?

    Kando na pipi za pamba, unajua ni bidhaa gani nyingine zinazoweza kusababisha saratani? Maelezo ya picha, Uuzaji wa pipi za pamba umepigwa marufuku katika jimbo moja huko India Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni na Idara ya Usalama wa Chakula katika jimbo la Tamil Nadu nchini India, umebaini...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wachawi wanavyokujia usiku ukiwa umelala usingizi Wanakuchezea mwili wako wanavyotaka

  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Hali Halisi Ya Mkoa Wetu Wa Dar Sijuwi Kwenu Kukoje?

Back
Top Bottom