darasa

  1. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi kuwapeleka Watoto wa la 5 na 6 katika shule ya Sekondari ni sawa?

    Kuna shule inaitwa Mission Kitunda Primary School iliyopo Kata ya Kitunda, Dar es Salaam, ambayo imewachukua wanafunzi wa darasa la tano na la sita na kuwaamishia katika shule ya sekondari ya Mission Kitunda kwa madai kuwa wanafuata mfumo wa mtaala wa miaka 10 ya elimu ya lazima. Swali langu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania NEST Yapandisha Gharama za Chakula Mitihani darasa la saba.

    Utaratibu wa NEST unatumia gharama kubwa kwa baadhi ya huduma. Mfano huduma ya chakula. Hili nimeliona kwenye uendeshaji wa mitihani ya darasa la saba. Shule zinalazimishwa kuagiza vyakula kupitia Nest badala ya kuandaa wenyewe. Hii imeongeza gharama mara mbili au zaidi. Mzabuni analeta chai...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Tuhuma za Bodaboda kumfanyia ukatili Mwanafunzi wa Darasa la 3, Jalada tayari lipo kwa Mwanasheria wa Serikali

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa mrejesho zaidi kuhusu mtuhumiwa inayesemekaa ni Dereva Bodaboda anayedaiwa kumfanyia ukatili wa kijinsia mtoto wa Darasa la Tatu katika Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande kisha kuachiwa akiendelea...
  5. JamiiForums Tanzania HOJA Mwanafunzi anayemaliza darasa la Saba akapata ufaulu wa "A" huyu mtoto ni nyara ya Taifa asipangwe shule za kata mnadumaza vipaji nchini

    Motisha pekee ambayo inaweza kutolewa na serikali kwa mtoto aliyefanya vizuri katika mitihani yake ya darasa la 7 ni kupangiwa shule ya bweni/vipaji badala ya kubakizwa hapohapo kwenye shule za kata hii ni kudumaza vipaji vya watoto nchini na ni hujuma kwa maendeleo ya elimu nchini Huwa...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

    Utawala wa sheria maana yake nini? Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga. Haki za wengine hawana habari...
  7. JamiiForums Tanzania Ukikuta Mwanao wa kike Darasa la 6 anaangalia Ngono, unapaswa kufanyaje kumsaidia?

    Mwili wa mtoto Vaileth Soka (13) aliyefariki dunia kwa kudaiwa kujinyonga umeagwa katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Kibosho Umbwe wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kwa maziko. Baba mzazi wa mtoto huyo, Innocent Soka, akizungumza na...
  8. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu wa S/M Kimandafu ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru amfukuza darasani mwanafunzi wa darasa la 5 siku 2 mfululizo

    Shule ya msingi Kimandafu iko Halmashauri ya wilaya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha. Mwalimu moja wa shule hiyo aitwaye Stella Gunda jana asubuhi mida ya saa 2 alimfukuza darasani mwanafunzi wa darasa la 5 aitwaye Angel Frank Mbise kwa kumwambia "ondoka sikutaki ktk kipindi changu"...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa darasa pili

    Habari za jioni? Shule ya msingi ya binafsi ya Kiingereza iliyopo Tanga mjini inatafuta mwalimu mzoefu wa kufundisha darasa la pili. Awe za uzoefu na ari ya kupenda kufundisha watoto wadogo. Tunapendelea zaidi akiwa mwanaume,japokuwa hata wa kike anaruhusiwa kuomba nafasi hii. Mawasiliano...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wote wa Mbaga na wenye mpango wa kujiunga na darasa lake

    MASTURBATION/PORN ADDICTION “ DON’T DESTROY LIFE FOR 5 SEC PLEASURE. ” SIDE EFFECTS OF MASTURBATION/PORN × It makes you weak physically and mentally. × Your body shape gets worse. × You feel tired all the time. × No confidence – You always feel low. × You walk with your head down. × You...
  11. JamiiForums Tanzania Darasa la Sheria la Wakili Peter Madeleka

    Huu ni mfululizo wa elimu inayotolewa na mwanaharakati huyo ili kuelimisha umma kuhusu utawala wa sheria na haki za kikatiba nchini Tanzania. Katika masomo yake, Madeleka anafafanua kuwa sheria ya polisi inataka vyama vya siasa kutoa taarifa tu ya mikutano badala ya kuomba kibali...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Ni Sahihi Watoto wa Darasa la Kwanza Kulazimishwa Kwenda Shule Kipindi cha Likizo?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayozidi kuonekana katika baadhi ya shule binafsi hapa Dar es Salaam ambapo wanafunzi, hata wale wa Darasa la Kwanza wenye umri wa miaka sita au saba, hulazimishwa kuhudhuria masomo ya ziada wakati wa likizo. Hali hii inazua swali muhimu: Je...
  13. JamiiForums Tanzania Story ya binti alietoroka kwao baada ya kumaliza darasa la saba mwaka 2014. Baada ya kupatikana hiki ndio kisa chake.. Kuna kitu cha kujifunza hapa

    Shalom ndugu zangu. Nilipotelewa na mdogo wangu Lilian malisa miaka 12 ilopita. Mwezi ulopita niliomba msaada kwa wana FB kwa yoyote ambayo alimjua au kumwona. Nashukuru MUNGU kwa mawazo yenu, maombi yenu, na pia kwa yyte ambaye aliguswa kwa namna moja ama nyingine ili tu kunisaidia . MUNGU...
  14. JamiiForums Tanzania Wivu ni darasa la mwisho kabla hujawa mchawi

    Wivu mbaya na chuki ya kupitiliza ni sumu kali ya kiroho inayomfanya mtu aanze kufikiria au kutenda mambo ya kishirikina na kijicho. Huu usemi usemao "Wivu ni darasa la mwisho kabla ya kufuzu kuwa mchawi" una ukweli mkubwa kiroho. Kimaandiko na kiimani, wivu si tu hisia mbaya ya kibinadamu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Eti mpaka leo kesi ya Lissu haijapangwa kusikilizwa! Hata mtoto wa darasa la kwanza atakuwa amedharau mahakama zetu

    Yaani wameshindwa kabisa kuficha udhaifu wao kiasi kwamba hata wale waliokuwa hawaamini kuwa hii kesi no ya mchongo, sasa watakuwa wameamini. Tundu Lissu anaingia katika kundi la watu maarufu wa kupigania haki za watu duniani huku wao wakiingia katika historia ya watawala waovu na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa darasa la kwanza/pili anahitajika

    Habari za mchana? Shule ya English Medium iliyopo Pongwe,Tanga jiji. Ina nafasi ya mwalimu wa darasa la kwanza na la pili. Sifa Awe anajua kufundisha masomo husika Awe na upendo kwa watoto Awe na uzoefu na kazi husika. Mawasiliano infotanzaniaa@gmail.com Au ni PM
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kigezo cha cheti cha Darasa la 7 ajira ya TAKUKURU kiangaliwe vizuri

    Mimi ni kijana ninayeomba ajira zilitolewa TAKUKURU lakini kuna sharti la Cheti cha Darasa la Saba, ukweli mtupu kuwa tuliohitimu Mwaka 2015 Darasa la Saba hatukupata vyeti hadi sasa havipo. Hii inatia ugumu kupata nafasi kwa kigezo hiki kwani miaka mingine wana vyeti, hii itatukosesha nafasi...
  18. JamiiForums Tanzania Darasa Huru Lyrics by Jose Mtambo

    DARASA HURU - JOSE MTAMBO Chorus.. Darasa huru mambo sio safi gheto/ Shika lako, shika na la mwalimu/ Ujashikwa mikono , ujashikwa miguu/ Akili nywere kila mtu anazo zake..... Verse...2. Je? umechangua kibonge kama wacheza Sumo Aina noma hata kama we FIdodido imo.!! Usisahau nzito akiwa juu...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha Ndani Ya Umasikini Ni Darasa Tosha

    MAISHA NDANI YA UMASIKINI NI DARASA TOSHA. Kuna msemo unasema, "Umasikini ni mbaya tena unatia haya." Nami nakubali kwamba umasikini ni mbaya sana, tena siupendi. Kwa wale waliopitia maisha ya umasikini au wale wanaopitia sasa maisha ya umasikini wanaweza kunielewa vizuri bila shaka. Lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria

    Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria. Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa. Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…