dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

    Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili. Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli. Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
  2. JamiiForums Tanzania Maeneo ambayo yatakuja kukua miaka ijayo hapa Dar

    Salam wakuu, Miaka kidogo nyumba maeneo kama Madale, Goba na Mapinga ilikuwa ni kama porini tu, viwanja vilikuwa vinapatikana kwa bei ya chini sana kwasababu hakukuwa na miundo mbinu yoyote ile lakini kwasasa bei za maeneo hayo ni kubwa sana. Kwa kulitambua hilo, ningependa kufahamu maeneo...
  3. JamiiForums Tanzania Dar es salaam kuna watu walitamba ila walikuwa wa kawaida sana

    Miaka ya 2004 kushuka chini kulikuwa na watu wa kawaida sana waliotamba kwa umaarufu pamoja na majina yao. Nakumbuka wachache ila mtaweza kuongeza. Mimi namkumbuka Baba Rama mwenye mikokoteni iliyokuwa na jina lake, ilikuwa maeneo ya kuanzia Urafiki, Manzese, Kagera, Tandale na Mabibo...
  4. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakazi wa Dar waomba Amani iendelee kudumishwa kwani inastawisha Shughuli za Kiuchumi

    Wakazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kuzingatiwa na kudumishwa kwa amani nchini, wakisema ndio msingi wa ustawi wa maisha ya watu. Wamesisitiza matishio ya vurugu yanavyoathiri shughuli za kiuchumi na biashara, hasa Desemba ambayo mara nyingi huwa mwezi wenye faida. Mfanyabiashara wa vifaa...
  5. JamiiForums Tanzania Siwezi shangaa Dar kukosa maji maana hata sehemu zenye maziwa maji hakuna

    Hawa watawala ndio wameishia uwezo wao. Sio dar kuwa na ukosefu wa maji au matatizo ya kukosekana maji. Hata sehemu zilizozungukwa na maziwa maji yana kosekana Nchi imekosa ubunifu wa kutatua shida za maji.
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Guys, hii ni vita ya uchumi, maadui zetu wamesababisha uhaba wa maji Dar. Who are you? They think they are still our masters?

    Guys, guys, guys this is economic sabotage, maadui zetu wanatuonea wivu sababu ya maumbile yetu na rasilimali tulizonazo. Tanzania ina bahari, maziwa, mito, mabwawa ila maadui zetu wanasababisha mpaka sasa miaka 64 ya uhuru maji si ya uhakika. Guys, natamani mfunguke mjue hii ni economic...
  7. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Shughuli za kawaida zarejea Dar es Salaam

    Wananchi wamejitokeza kwenda kwenye majukumu yao ya kila siku leo 10 December 2025. Kutokea mitaa ya Tandale mpaka soko la Kariakoo shughuli zinarejea taratibu. Idadi ya watu sio kubwa sana kama siku zingine. Wafanyabiashara kadhaa wanaonekana kuja kazini kwa kuchelewa Idadi inaendelea...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dar ni mji wa kufikirisha sana, imagine leo hakuna vichaa wala ombaomba walioonekana barabarani

    Ila Dar ni mji wa maigizo sana, imagine leo hakuna vichaa wala ombaomba walioonekana barabarani
  9. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam

    Ila Dar es Salaam mji wa maigizo sana, hakuna vichaa wala ombaomba barabarani.
  10. JamiiForums Tanzania Mliokimbia DAR acheni kutusumbua kila muda mnapiga simu kuulizia

    Ndugu zetu mliopanda mabasi na kutokomea mikoani huko ebu acheni kupiga piga simu kuulizia hali ya huku, sisi sio mareporter kwaio mlivoondoka huku mlitegemea nani ataingia barabarani
  11. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Political Tension: Video, hali ilivyo asubuhi hii toka katika jiji la Dar es salaam shukrani kwa DW

    Raia bado wanasoma mchezo wa hali halisi ila mpaka mida hii mitaa inaonekana kuwa ni myeupe kabisa. Tupe update za ulipo.
  12. JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ya Dar Es salaam kuna GARI CRUISER za plate Number za Mchongo zimeegeshwa kama vile kuna tukio wanajiandaa kulifanya

    Nasema hivii this time nyie wenye magari ya UTEKAJI mtafaham wajeshi wa kazi maalum uwezo wao kimedani! hao wala hawafanyi kazi kwa maelekezao ya CDF, nawaaambieni hamtaamini nyie watekaji! Pangeni tu ujinga wenu taarifa zoooteee tunazipataaaaa MNAPANGA MISHE ZETU PALE OSTERBAY POLICE...
  13. JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya Gen Z wameikimbia Dar es Salaam

    Kama afisa usafirishaji, nimeshuhudia vijana wengi wa GEN Z wakiukimbia mji wa Dar es Salaam
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dar es Salaam residents flood Supermarkets in fear of the December 9 protests. Shoppers Mlimani City reports 10x more customers

    Dar es Salaam residents packed major supermarkets on Sunday as many rushed to buy essential supplies ahead of December 9, resulting in long queues and crowded aisles across the city. The rush comes even after the Tanzania Police Force announced a ban on the planned December 9 demonstrations...
  15. R

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA: Nauli Tanga to Dar ni elfu 50 badala ya 22

    Latra please ingilia kati. Wanapanduaha nauli eti sababu ya D9 Nenda Magufuli stend wasaidie wànanchi wanaibiwa.
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dar: Fortunatus Buyobe adaiwa kutekwa na wasiojulikana

    Mwandishi wa makala za uchunguzi ndugu Fortunatus Buyobe anadaiwa kutekwa jioni ya leo maeneo ya Dar. Hata hivyo waliomchukua wamejitambulisha kwake kuwa ni Polisi ila haijajulikana alipopelekwa mpaka sasa. Soma pia: Fortunatus Buyobe: Maisha yangu yapo hatarini, nawindwa na Askari wenye...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  18. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa (Sheikh) ameichambua vizuri sana hotuba ya Samia kwa Wazee wa Dar.

  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nurdin Bilal (Shetta) achaguliwa kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam

    Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji. Shetta alipata jumla ya kura 48 za ndiyo kati...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna watu wengi wanao ondoka Dar kukimbia maandamano ya Gen Z Disemba 9

    Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9. Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa =========== Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa changamoto huku idadi ya abiria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…