dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Swali: Hivi kanda Maalum ya Dar ikifa leo itaenda wapi

    Dhambi zoooote zinatendwa na kanda hii. Je ikifa leo itaenda wapi, mbinguni au jehanamu?
  2. RC Dar na mamlaka nyingine, hamjaona chemba zinavyotiririsha maji taka Kariakoo?

    Wakati Kariakoo ikitajwa kuwa kitovu muhimu cha biashara katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, jambo linalofanya kuwa lango muhimu la uchumi wa Taifa, kwa muda sasa mitaa mingi ya soko hilo imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya chemba zinazotiririsha maji taka katika maeneo ya biashara...
  3. M

    Mbeya inazidi kupaa, Arusha na Mwanza zijipange ! barabara kilometa 29 njia nne yaanza kuwekwa lami

    Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji. kwa...
  4. Naomba msaada. Ni shule gani Dar es salaam ya kata yenye hostel

    Naomba anayejua shule jijini Dar ambayo ni kutwa ila inazo hostel ndani ya eneo la shule iwe hostel ya wasichana. Asante
  5. Gibson Kawago: “Dongfen eπ 008 kwa umeme wa Tsh 21,000/= unatoka Dar hadi Njombe!”

    Hayo amesema Mwanzilishi wa kampuni WAGA Motion inayohihusisha na kutengeneza miundombinu ya kuchaji magari ya umeme majumbani na kwenye makampuni. Hiyo Donfen ni kampuni ya Kichina inayotengeneza magari, na hii model eπ 008 ni REEV (ina engine na battery). Juzi kati kijana alileta Tesla...
  6. Ajali ya gari la polisi imetokea uwanja wa ndege Dar

    Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji...
  7. Nahitaji kiwanja Dar es Salaam/pembezoni mwa mji kwa ofa ya Tsh 5m

    Nahitaji pembezoni mwa mji au kiluvya
  8. Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Wakuu, Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
  9. Ila ndugu zetu serikali muangalie jamani, muwajengee DAWASA jengo la bilioni 48, ila wananchi wa Dar wachote maji kwenye madimbwi kweli?

    Embu muangalie waungwana...Kuna vitu vingine hata MABEBERU watakua wanatucheka na kutudharau sana na kutuita we are so poor.. Kuna vitu jamani mbona vinafanyika tukiamua? Haya basi mnakula mapesa ila tukumbukeni na wananchi , tunakosa hata maji ya kutawaza, wakati mwingine mtu unabana mavi mda...
  10. Hili bango linatukebehi wana Dar

    Kwa hali hii ya maji, hili bango la kampeni ni kama kebehi kwetu sisi wananchi.
  11. H

    Mtazamo Wangu Juu ya Kupunguza Tatizo la Ukosefu wa Maji Jijini Dar es Salaam

    ✅ 1. Uboreshaji wa Miundombinu ya Maji Mabomba mengi ni ya zamani na yanavuja, hali inayosababisha upotevu mkubwa wa maji. Serikali na DAWASA wanapaswa kukarabati miundombinu hiyo na kupanua mtandao wa maji hadi maeneo ya pembezoni kama Chanika, Mbagala, Bunju, n.k. Pia, ujenzi wa matanki ya...
  12. Unakimbilia Dar kuchoma mahindi nyuma unaacha madini, shame on you

    Bei ya DHAHABU Leo tarehe 13/12/2025 kwa gram 1 ni kama ifuatavyo: ◼️Soko la Dunia TSH 344,033/= ◼️Bei za masokoni kwetu: 309,630/= ◼️Bei za kwenye centre huko migodini TSH 302,749/= Just 1 gram tu . Unakimbilia dar kuuza mahindi ya kuchoma unaacha mali zimbu kbs wewe
  13. Wakazi wa Dar es Salaam Amani ni muhimu kuliko Maji

    Kwa sasa, Jiji la Dar es Salaam linakumbwa na adha ya Maji, nawashauri Amani ni muhimu zaidi kuliko Maji, lindeni sana Amani kuliko Maji Nawasilisha
  14. PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa? Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema? Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu? Yuko wapi Samia?
  15. DAWASA yaanza fufua visima kupunguza nakisi ya maji Dar es salaam

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza kufufua na kuhuisha visima virefu vya maji ili kupunguza nakisi ya maji ndani ya mkoa wa Dar es Salaam na mikoa jirani. Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameyasema hayo siku Ijumaa Desemba 12, 2025 katika...
  16. Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

    Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili. Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli. Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
  17. Maeneo ambayo yatakuja kukua miaka ijayo hapa Dar

    Salam wakuu, Miaka kidogo nyumba maeneo kama Madale, Goba na Mapinga ilikuwa ni kama porini tu, viwanja vilikuwa vinapatikana kwa bei ya chini sana kwasababu hakukuwa na miundo mbinu yoyote ile lakini kwasasa bei za maeneo hayo ni kubwa sana. Kwa kulitambua hilo, ningependa kufahamu maeneo...
  18. Dar es salaam kuna watu walitamba ila walikuwa wa kawaida sana

    Miaka ya 2004 kushuka chini kulikuwa na watu wa kawaida sana waliotamba kwa umaarufu pamoja na majina yao. Nakumbuka wachache ila mtaweza kuongeza. Mimi namkumbuka Baba Rama mwenye mikokoteni iliyokuwa na jina lake, ilikuwa maeneo ya kuanzia Urafiki, Manzese, Kagera, Tandale na Mabibo...
  19. W

    PostGE2025 Wakazi wa Dar waomba Amani iendelee kudumishwa kwani inastawisha Shughuli za Kiuchumi

    Wakazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kuzingatiwa na kudumishwa kwa amani nchini, wakisema ndio msingi wa ustawi wa maisha ya watu. Wamesisitiza matishio ya vurugu yanavyoathiri shughuli za kiuchumi na biashara, hasa Desemba ambayo mara nyingi huwa mwezi wenye faida. Mfanyabiashara wa vifaa...
  20. Siwezi shangaa Dar kukosa maji maana hata sehemu zenye maziwa maji hakuna

    Hawa watawala ndio wameishia uwezo wao. Sio dar kuwa na ukosefu wa maji au matatizo ya kukosekana maji. Hata sehemu zilizozungukwa na maziwa maji yana kosekana Nchi imekosa ubunifu wa kutatua shida za maji.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…