Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Flavian Methew Nyandikuu
Mzee Flavian Methew Nyandikuu (85) Mkazi wa Mwenge Mlalakuwa, Mtaa wa Nyendikuu Jijini Dar es Salaam amelia na Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar kwa kushindwa kumilikisha ardhi yake kwa zaidi ya Miaka 40 sasa ambapo kila akienda katika ofisi hizo kudai haki yake...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza Kikao kizito...
Nakusalimia tu boss wangu uliye mbali na mboni ya macho yangu
Haiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!,umenizururisha kwenye hilo jiji ,kidogo nilifahamu, nilieenjoy
Nitarudi tena,nakumis , nakumiss, nakumiss, nakumiss
My Take
Dar itapumulia mashine baada ya Mwanza The Rock City kuzindua Daraja refu Afrika Mashariki.
Hiki kichekesho kimeandikwa na hazeti la The Citizen 😁😁
---
Mwanza is poised to become a real economic competitor to Dar es Salaam in the next decade—thanks to billions of shillings being pumped...
Wakuu poleni na majukumu.
Nahitaji gas grill kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Wengine wanaziita tabletop gas grills.
Nishaulizia sana madukani ila naonyeshwa vitu sio.
Ni jiko maalum la kuchomea nyama na vyakula vingine lakini linatumia gas badala ya mkaa au umeme.
Naombeni mwongozo...
Kama unatafuta msimamizi wa mradi au kazi nipo. Mikoa miwili napatikana Mbeya na Dar es salaam.
Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
0756704145
Jeshi la Polisi limezuia kufanyika Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche na waandishi wa habari ulokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, kwa maelezo kwamba chama hicho kimezuiwa na Mahakama kufanya shughuli za...
Kama hukuwahi kufahamu sababu ya kambi ya jeshi ya LUGALO, iliyopo jijini Dar es Salaam, kuitwa hivyo – basi leo nakufahamisha. Watu wengi huamini kuwa kambi hiyo ilipewa jina hilo tangu mwanzo, lakini si kweli. Jina la "LUGALO" lina chanzo chake ambacho si Dar es Salaam, bali ni sehemu maalumu...
Nimeona jitihada zinazofanywa na wadau katika siku za hivi karibuni kutafuta suluhisho la tatizo sugu la msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, ikiwemo hatua ya kufunga kamera za ufuatiliaji barabarani.
Hata hivyo, kwa mtazamo wangu, matumizi ya kamera hayawezi kuondoa tatizo la foleni kwa...
Jiji la Dar kwa sasa kila sehemu kumechimbuliwa kwa kweli hali ya usafiri ni mbaya sana!
sasa huyu Msando amekuja kukugombanisha na wana Dar es salaama kwa kusingizia wanatanua barabara wanaleta foleni! Huyu anatafta kiki utolewe wewe ili yeye akae hapo aonekane ndio mchapa kazi! ni kwa kuwa...
Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo.
Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka.
Pia...
askari
askari polisi
dardar es salaam
gwajima
josephat gwajima
kanisa
kanisa gwajima
kanisa gwajima lafungwa
kanisa la askofu gwajima
makanisa ya gwajima
mkali
polisi
ubungo
ufufuo na uzima
ulinzi
ulinzi mkali
Watu mbalimbali wakiwa kwenye foleni ya matibabu ya macho katika kampeni iliyoendeshwa na taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) katika Hospitali ya wilaya Mabwepande jijini Dar es Salaam.
Mwisho wa Kampeni ni tarehe 17/06/2025
Salamu matajiri.
Namba zangu hizo hapo dalali ambaye Sina mkuu lakini Kazi zangu zimenyooka.
Ukitaka nyumba ya kununua au kiwanja basi nahakikisha kila kitu Kipo Sawa.
Hakuna mgogoro wa kiserikali au kifamilia.
sikutozi Hela ya kukupeleka kuona eneo Ila utalipia usafiri WA kukupeleka sehemu...
wakuu
======
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara anashikiliwa Kituo cha Polisi Central.
Manara muda huu anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali za udhalilishaji mtandaoni na nyinginezo.
Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote.
Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge...