dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    DAR: Bashungwa aingia mtaani kujionea Polisi ilivyoimarisha usalama mkutano wa nishati

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amepita baadhi ya maeno Jiji la Dar es Salaam kujionea namna Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Usalama wanavyotekeleza majukumu yao wakati Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati ukiendelea katika Kituo cha Kimataifa cha...
  2. Mr Ballo

    Natafuta mwenza (Mchaga) wa maisha. Ninaishi hapa Dar es Salaam

    Habari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam. Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu. Mimi ni Mkristo(Lutheran) ninapenda na ninathamini Mahusiano ya kuzingatia Heshima, Upendo wa Dhati...
  3. F

    Kuhusu hatma ya RC Chalamila na kauli zake chafu dhidi ya wanawake wajawazito tusubiri ugeni uliopo Dar uondoke

    Sasa sio wakati mzuri mama yupo bize na wageni wanaomiminika Dar kwa ajili ya mkutano wa viongozi wa Africa wa nishati. Baada ya hapo mbivu na mbovu za Chalamila zitajulikana, hasa kuelekea wikiendi.
  4. Roving Journalist

    Licha ya baadhi ya barabara za Dar kufungwa, TRC yasema ratiba ya Treni zinaendelea kama ilivyopangwa

    TAARIFA KWA UMMA RATIBA ZA TRENI KUFUATIA MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 27-28, 2025 Dar es Salaam, Januari 26, 2025. Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuuarifu umma kuwa ratiba ya safari za treni kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma...
  5. F

    Ujio wa viongozi wakuu wa nchi za Africa umedhihirisha ufinyu wa miundombinu ya jiji la Dar es Salaam na udhaifu wa uongozi uliopo

    Kitendo cha kufunga barabara na kuzuia watu kwenda kazini kwa siku mbili za mkutano wa nishati wa viongozi wa Africa kimrdhihirisha ufinyu mkubwa wa miundombinu ya jiji la Dar es Salaam. Ufinyu huu ni hatari kwa ukuaji wa uchumi wetu na usalama wa wakazi wa jiji hilo. Ni wageni wachache tu...
  6. milele amina

    Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
  7. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Mkuu wa Mkoa wa Dar awajibishwe haraka kulinda utu wa Wananchi

    MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWAJIBISHWE HARAKA KULINDA UTU WA WANANCHI Chama cha ACT Wazalendo kinalaani vikali kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Albert Chalamila inayowataka wanawake kujifungua nyumbani kwa kutumia visu na mikasi endapo watakosa fedha za kulipia huduma...
  8. Zanzibar-ASP

    Mjawazito kugharamia tiba: Je kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar ndio msimamo rasmi wa serikali? Serikali itoe kauli.

    Watanzania wamesikia kauli ya mkoa wa Dar, Albert Chalamila kuwa, mjawazito atawajibika kuchangia matibabu na akishindwa aende akajifungulie nyumbani. Japokuwa imetolewa kwa kebehi lakini ni kauli iliyobeba uzito mkubwa ikizingatiwa sera rasmi ya serikali katika sekta ya afya ni mjawazito...
  9. ngara23

    Nasimama na Mkuu wa mkoa wa Dar, kutukumbusha kuwajibika

    Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua Mimba ni miezi 9 sio suala la ghafla kama ajali, Yaani mwanamke anavua chupi, mimba inaingia, unalea mimba miezi 9, Hadi siku ya...
  10. Mshana Jr

    Utofauti ya watu wa Dar na watu wa mkoani ni huu

    Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako na mkewe na watoto stendi wamekuja kukupokea! Mnatembea kitambo na kufika kwake. Watoto waliobaki...
  11. kante mp2025

    Nilitapeliwa mpaka nahisi Dar es Salaam kila mtu ni tapeli

    Ujue katika mapambano ya kutafuta maisha hasa kwetu vijana huwa tunajitahidi kupita maeneo mbalimbali kurisk ili mambo yetu yatuendee vema. Katika harakati zangu za kutafuta maisha nilishawahi pita maeneo tofauti tofauti na kote huko nilipata experience mbalimbali zilizonikomaza kifikra na...
  12. Stroke

    Kwaheri ya kuonana Dar es Salaam

    Kweli hakuna aijuwaye kesho yake. Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa . Ila hakuna marefu yasiyo na ncha. Nimeondoka hivyo ubakie salama. Nitamiss, raha na karaha zako. Till we meet again. Stroke.
  13. PureView zeiss

    DAR: Barabara 9 kufungwa kwa siku sita kupisha mkutano wa madini chini ya Viongozi kadhaa wa Afrika

    Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa Afrika unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 Januari 2025 jijini Dar es Salaam. Mkutano huu mkubwa utawahusisha viongozi wa juu kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, wakiwemo Wakuu wa Nchi na Mawaziri wa Nishati na Fedha, ambapo...
  14. President of China

    RC Chalamila aongoza wananchi kufanya usafi - Dar es salaam

    Na Mwandishi Wetu -Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika -Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo ugeni utakuwa katika Mkoa huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25, 2025...
  15. Braza Kede

    Wapi service center inayoaminika kwa electronics hasa TVs kwa dar?

    Wapi ni mahali au shop ya kuaminika kufanya service ya electronics hasa TVs kwa Dar.
  16. Braza Kede

    Dar ina allergy na magari ya zamani?

    Ukienda mikoa mingi ni kawaida sana kukuta gari hizi ndogondogo (baby walkers) za namba A au B zinadunda tu kitaani tena zikiwa katika hali nzuri kabisa. Lakini kwa dar ukikuta gari namba A au B nyingi unakuta zimechoka kwelikweli. Shida nini?
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    Pamoja na ufaulu kupanda, shule za kata Dar hali ni mbaya, Division Zero ni nyingi sana, Afisa Elimu aondolewe

    matokeo ya form four kwa mwaka 2024 yametangazwa leo. Kwa mujibu wa baraza la mitihani, ufaulu umepanda kwa asilimia tatu. Ila huku kwenye shule za kata hali mbaya. Unakuta nusu ya wanafunzi wamefeli vibaya mno katika shule husika. Mfano shule kama Kitunda hali ni mbaya, wanafunzi 249...
  18. uvugizi

    Uzuri wa treni ya ordinary from Dar to Kigoma

    awali ya yote niwapongeze Sana TRC kwa kukarabati treni zile za zamani hasa kwa upande wa mabehewa. Mimi nasafiri Sana na hizi treni zote ,yaani deluxe na ordinary. Treni ya ordinary ambayo ndiyo ya zamani kimabehewa Mimi kwangu ni the best treni . Sababu kuu ni hizi . 1. Imekarabatiwa kukidhi...
  19. Msanii

    Mvua hii kubwa inayoanguka Dar ni ushahidi kuwa Mungu amemtia muhuri Lissu Oktoba 2025

    Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea. Hii ni taarifa njema kwa Tanzania Huu ni msiba kwa CCM Hii mvua inayonyesha inanikumbusha zile nyakati zetu utotoni, kila event yenye baraka za Mungu lazima mvua...
  20. A

    Karibuni DAR ES SALAAM

    Hawa wanaoajiriwa kuangalia afya wako wapi au ndio kuchaguana
Back
Top Bottom