dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Dar ilipaswa kuwa jiji linalotoa Wabunge vichwa sana ila hali ni tofauti na Majiji mengine ilimwenguni

    Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote. Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge...
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vijana wadogo kuwalea watu wazima limeanza kukithiri Dar

    Sio ushuani, sio uswahilini, kila kijana anacheza namba yake. Inasikitisha sana! Unakuta binti mdogo wa miaka kama 20 hivi analea jibaba la miaka 45 mpaka unabaki unajiuliza hili jibaba lenye miraba minne nyumbufu linampa nini huyu binti? Same applied to Boys wa miaka kama 20, unakuta ana...
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hizi fulana zinapatika wapi Kwa hapa Dar?

    Naombeni msaada wenu hizi t shirt hapa dar nazipata wapi na zinauzwa Bei Gani
  4. C

    JamiiForums Tanzania Vijana tukemee uasherati wa hadharani ni aibu

    1. Vijana hawana aibu tena ya kufanya uasherati hadharan (sehemu za starehe-Kitambaa cheupe Sinza) 2. Makahaba hadi mtaani na mitandaoni (Ubungo Riverside, GRINDR, Badoo na Tinder). 3. Madanguro rasmi na Polisi wanaona (Manzese Mferejini, Uwanja wa fisi, Mwananyamala Hospitali, Msasani, Temeke...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliopo Dar tafadhali tuambieni 'Mtume Mwamposa' kanisa lake sasa lipo wapi baada ya kuhama pale lilipokuwa Kawe?

    Je, kahamia pale jirani na Shule ya Feza / nyuma ya Shule ya Upili (Secondary) ya Ukwamani ambapo alipewa eneo au?
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Usiku wa Ngugi Dar es Salaam

    https://www.youtube.com/watch?v=kAmm4ucvBDM
  7. radhiya

    JamiiForums Tanzania Invest in SKY ROYAL Apartment at Mikocheni Ursino street Dar es Salaam

    Commercial and residential units for sale. Experience a luxury Seaview city living in our stylish and modern project located at Mikocheni Ursino st. Our prime location offers easy access to restaurants, shops and entertainment venues. Prices starting from 1 bedroom: USD 84,169. 2 bedrooms: USD...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wazazi waeleza adha watoto 865 wakikikaa chini Mtambani Dar

    DAR. Baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma shule ya Msiungi Mtambani jijini Dar es Salaam, wameeleza adha ya watoto wao kukaa chini kwa kukosa madawati. Dar es Salaam. Kukosekana kwa madawati ya kutosha Shule ya Msingi Mtambani Bunju jijini hapa imefanya baadhi ya wanafunzi kusoma wakiwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe?

    Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe (Windows OS peke yake) Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145 Kwa mahitaji ya kuweka Windows 10 OS Genuine gharama yake ni 20,000 Tsh
  10. 42774277

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kilipo kiwanda cha maloba(magunia) kwa hapa Dar

    Waungwana habari ya jioni Naomba kufahamu kilipo kiwanda cha haya maloba kwa hapa Dar. Natanguliza shukrani.
  11. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania 4BEDROOM FOR RENT,LOCATED AT MBEZI BEACH 🇹🇿

    #rent #STAND_ALONE HOUSE IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI ——————————————————— KODI USD 1300$/=KWA MWEZI ________________ MALIPO YA MIEZI 6 ————- IKO PEKE YAKE KWENYE FENSI _________________ KUBWA YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba vinne vya kulala, # Master #Ac...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Dar ni sehemu pekee Tanzania kila mtu hupambana na hali yake, hakuna presha ya matarajio ya jamii

    Ndio jiji pekee ambalo linakupa uhuru wa kupambana bila kelele nyingi na matarajio ya jamii za mikoani. Hakuna pressure ya kuwa na watoto au mke/mume, “focus zako” ni zako mwenyewe. Utaendelea kuishi geto huku unazikusanya hata ufike 45 hakuna mwenye time na wewe Mambo ya misiba ya kuhudhuria...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Garage na Fundi mzuri wa Volkswagen Dar es Salaam

    Wanajamvi Msaada kwenye tuta Nahitaji fundi mzuri kwa ajili ya gari aina ya VW(Volkswagen) Napokea recommendation nitashukuru nikipata namba ya simu na location ya garage Natanguliza shukrani.
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Miaka mitano ijayo tutajenga treni za mijini Dar na Dodoma

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo chama hicho kimedhamiria kujenga treni katikati ya miji kwa mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma, ili kukabiliana na foleni za magari. "Naomba nichombeze, tumejenga SGR Dar es...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Dar hakuna pisi Kali?

    Kwaio Dar hakuna pisi Kali🧐🧐🧐 Hii ni wiki ya pili sasa nipo hapa jijinina sijaona uhalisia WA dar wanayoisimuliaga kwenye stori🤣🤣 Nyie pisi Kali za dar mpo wapi??🧐🧐 Wiki inakata wakuu bila hata amsha amsha 🤣🤣🙏
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Wanaume wengi wa Dar hawana Nguvu za Kiume kwa kupenda kula Chips zenye Mafuta mengi hivyo waanze kula Chips zinazokaangwa na Maji

    Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bado Tanzania kazi za kufanya kwa masaa hakuna halafu mnataka jiji la Dar liwe linafanya kazi masaa 24

    Tuna safari ndefu sana hususani hawa tuliwapa madaraka ndio watupangie kulingana na uwezo wao. Ni jambo zuri jiji kama dar kutaka liwe linafanya kazi masaa 24 yani watu wapige kazi usiku kucha. Je, hizo kazi mshajiuliza kuhusu waajili na wenye hizo kazi. Kazi nyingi za tanzania ni kama...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji kwenye Ubia wa BRT maarufu kama UDART kwa kushirikiana na Emirates utaleta mapinduzi na huduma bora kwa abiria wa Dar Es Salaam. Big Up!

    Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar. Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu. Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
  19. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za mitaani za lami Dar zimetoboka sana, TARURA changamkeni

    Barabara nyingi za pembezoni jijini Dar es Salaam zipo katika hali mbaya sana kufikia Juni 2025, zimetoboka kupita kiasi. Tunatoa wito kwa TARURA kuchukua hatua za haraka kuziba matundu hayo. Kwa sasa, jiji linakabiliwa na msongamano mkubwa wa magari kutokana na ujenzi wa miundombinu ya...
  20. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Ekari 18 zinauzwa, beach area, zipo Dar Kigamboni

    Beautifully Beach Plot for Sale at Kigamboni Kibugumo ●Area size 18 acres ●Price 1.3m usd ●Document Title deed ●Distance from main road is 1km Contact us and Schedule a visit: 🇹🇿+255758844717
Back
Top Bottom