Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Barabara nyingi za pembezoni jijini Dar es Salaam zipo katika hali mbaya sana kufikia Juni 2025, zimetoboka kupita kiasi.
Tunatoa wito kwa TARURA kuchukua hatua za haraka kuziba matundu hayo.
Kwa sasa, jiji linakabiliwa na msongamano mkubwa wa magari kutokana na ujenzi wa miundombinu ya...
Beautifully Beach Plot for Sale at Kigamboni Kibugumo
●Area size 18 acres
●Price 1.3m usd
●Document Title deed
●Distance from main road is 1km
Contact us and Schedule a visit:
🇹🇿+255758844717
Beautifully Beach Plot for Sale at Kigamboni Kibugumo
●Area size 18 acres
●Price 1.3m usd
●Document Title deed
●Distance from main road is 1km
Contact us and Schedule a visit:
🇹🇿+255758844717
Beautifully Beach Plot for Sale at Kigamboni Kibugumo
●Area size 18 acres
●Price 1.3m usd
●Document Title deed
●Distance from main road is 1km
Contact us and Schedule a visit:
🇹🇿+255758844717
Duniani kote, hata Marekani, unatii kwanza amri ya mamlaka, kama huridhiki nayo kuna hatua za kuchukua.
Dar Ina kamanda wa FFU, kama anashundwa kudhibiti kagenge ka watu 200,na haombi msaada mikoa jirani. Aachie kiti hicho apewe anayestahili.
Ni hawahawa walienda kyimba central police enzi ya...
Kwanza kabisa nisema Tanzania tuna jiji moja tu DSM, hayo majiji mengine ni basi tu yemepewahadhi hakukuwa na namna ila kwa uhalisia ni miji inayokuwa.
Ni jiji linalokulazimisha kuwa na kasi, matumizi makubwa, kupambana kila siku, n.k.
Wanadsm sio kwa sababu hawapendi kusaidia, bali kwa sababu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Altbert Chalamila amesema Mwenge wa Uhuru 2025 unaokimbizwa katika Mkoa huo kwa umbali wa KM 35.03.
Amesema hayo wakati akipokea Mwenge wa Uhuru, ukitokea Mkoa wa Lindi leo Juni 1, 2025 katika Stendi ya Mabasi ya mwendo kasi Mbagala Wilaya ya Temeke Jijini...
Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025, baada ya kufanikisha makusanyo ya Shilingi Bilioni 23.02 kufikia mwezi Mei, sawa na asilimia 125 ya lengo la mwaka.
Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa...
Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025, baada ya kufanikisha makusanyo ya Shilingi Bilioni 23.02 kufikia mwezi Mei, sawa na asilimia 125 ya lengo la mwaka.
Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa...
Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na kilio cha foleni hasa kutokana na ujenzi unaondelea katika meneo mengi hususani njia za mwendokasi pamoja na utanuzi wa barabara za kawaida.
Natumaini ni matamanio ya kila mmoja wetu humu kuona...
Raia mmoja wa Uingereza amechapisha kwenye kundi la Facebook kuhusu gari lake aina ya Range Rover lilipotea miezi kadhaa iliyopita, ambalo sasa limeonekana likiwa Tanzania kupitia kifaa cha GPS alichokuwa amekificha ndani ya gari.
Tafsiri kwa udhamini wa google
Gari langu liliibiwa kutoka...
Kwa wataalamu wa mipango miji na wajuvi wa mambo, ni eneo gani hapa Dar kwa kijana anayejitafuta, mwenye kipato cha kati anaweza kununua Kiwanja kwa lengo la kujenga makazi ya familia ndani ya miaka 5 mpaka 7 ijayo.
Eneo unaloweza kulea familia comfortably na bei za viwanja ni za kizalendo
Wakuu, kuna uhitaji au ulazima wowote wa kujenga ofisi mpya za mkuu wa mkoa wa Dar es salaam zikiwa zimetolewa bilioni sita sasa, Ofisi zilizopo sasa zina changamoto gani mpaka kutaka kujenga ofisi mpya?
==
Serikali imetoa fedha shilingi Bilioni sita, kwa ajili ya kujenga ofisi mpya ya Mkuu wa...
PANASONIC LUMIX GH5 – Kamera ya Kitaalamu kwa Picha na Video za 4K
INAUZWA 3,700,000/=
Ikiwa wewe ni mpiga picha au mtengenezaji wa video unayetafuta ubora wa juu, basi Panasonic Lumix GH5 ni kamera ya ndoto yako. Kamera hii ni ya daraja la kitaalamu, na imeundwa mahsusi kwa ajili ya kazi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.