dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

    Sijui walahi! Naambiwa hapa kuna jambo lingetokea leo lakini limeahirishwa mpaka kesho huko Dar. Mliopo Dar mkae vizuri na mtujuze nini chaendelea huko. Mambo yashafana. Hiyo miili mtaila nyama mbichi. Na bado.
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha: Askari Magereza aliyepigwa risasi na Polisi Oktoba 30, 2025 Mazizini DAR

    kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali. Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi Dar wakiwa katika kutekeleza majukumu yao ya kulinda raia na mali zao

    Oktoba 2025 haitafutika kwenye historia ya Tanzania
  4. U

    JamiiForums Tanzania Why Samia Anaiogopa Ikulu ya Dar?, je ndo rasmi Serikali imehamia Dodoma

    Kumekuwa na malalamiko muda mrefu kwa matumizi makubwa ya pesa za Umma toka ikulu ihame dae kwenda Dodoma, Kwani Rais Samia alipendelea sana kufanyia kazi ikulu ya Dar kuliko ile ya Dodoma, hivyo kusababisha viongozi wengi wa serikali kulipwa pesa za safari nyingi. wanapokuwa ikulu ya Dar. cha...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Damu iliisha Hospitali za Dar? Mbona hawakusema?

    Inadaiwa watu wengi walio kufa Hospitali ni kwasababu ya damu kuwaishia. Maandamano ya Uchaguzi mkuu wa 2025 ambao Samia aliamua kuubaka, uliua watu wengi kwa kuishiwa damu Ajabu hawajasema tukajitoolee damu. Wauguzi walitumiwa meseji za kuwashukuru kwa kujitolea kuwauguza na kuwatia faraja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwandishi Maneno Selanyika aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwake

    Alikuwa hajasikia tangazo la Polisi la mwisho kutoka nje saa 12 jioni, akaenda kununua mkate... Majirani wanasema mtoto alilia juice akaenda kumnunulia, akapigwa risasi kifuani. Marehemu alikuwa nyumbani kwake, Mbezi Luis. Hadi jana jioni, bado mwili ulikuwa uko chumba cha kuhifadhia maiti...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi wanadai Vitambulisho jijini Dar Es Salaam

    Kama unaelekea Kigamboni au Posta Mkoani Dar es Salaam, Polisi waliovaa Kiraia na wengine Sare wanadai Vitambulisho. Wannapick rondomly. Wanasema kuna watu kutoka Nchi jirani wenye nia ovu kwamba wanaharibu taswira ya Tanzania. Eti kufahamiana sio vibaya wanasema. Wao hawaoni kama wanasumbua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Day 5: Patrol inayoendelea katika baadhi ya viunga vya jiji la Dar es Salaam

    Nyongeza ajili ya wanaotaka USHAHIDI. Nilifanikiwa ku-zoom namba za gari na sura zao
  9. M

    JamiiForums Tanzania Day 5: Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam

    Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar 1) Kuna barriers kila sehemu, ukipita lazima uwe na ID to verify your identity. Ni Polisi na Wanajeshi 2) Bolt ukimwita akupeleke Airport tokea maeneo ya Sinza, anataka LAKI 2 au zaidi 3) Ukiwa unaenda Airport, lazima ueleze unaenda wapi na kufanya...
  10. JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya wachafuzi walioko Dodama kushindwa kufika Dar?

    Inawezekana Kuna mambo hatuyajui kijeshi yamewakwamisha wachafuzi pale Dodoma.
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Kombo: Dar es Salaam ni shwari, kuna amani

    Mheshimiwa Kombo kathibitisha Dar es Salaam ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida kabla ya saa 12 jioni. Kuhusu internet ni kuwa itarudishwa kesho. Alihojiwa na BBC. Hakika mama anaupiga mwingi.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hakuna ndege inayoingia na kutoka hapo Dar es salaam ??

    Habari wakuu , Poleni na maandamano yanayoendelea Mimi ninataka kujua kua ni kweli kma watu wanavyopakaza mitandaoni kua hakuna ndege zinazoingia na kutoka tanzania kwa sasa ? Maana kuna mtu anataka kujua ndo kaniomba nimuulizie Shukrani sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Waandamanaji ‘waisalimia’ TCRA. Hii inaenda kubaya zaidi

    Mwanzo nilichukulia wanatania. Wanaonekana kudhamiria
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu yeyote wa kikosi cha Dodoma ashike Ikulu cha Chamwino. Kwa Dar es Salaam ashike Magogoni. Tumeshashinda

    Imeisha Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dodoma tunaomba mji organise mshike ikulu ya Chamwino Kwa Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dar tunaomba mshike Ikulu ya Magogoni Wengine washike Benki Kuu, wengine TBC. Airport tayari zipo chini ya Jeshi. Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki JWTZ
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Jinsi Kituo cha Polisi pale Ubungo External kilichochomwa na waandamanaji

    Haya ni matokeo ya maandamano yaliyoendelea usiku wa kuamkia leo
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Mitaa ya Dar usiku huu ni shwari kabisa, panapokuwaga na foleni leo peupe peeh!

    Na kesho mida kama hii, natumai mama atakuwa ameshatangazwa mshindi kwa kishindo cha mbwa koko. Mimi nilikuwa navishangaa vyombo vya ulinzi vilikuwa vinahangaika nini, maana nchi nyingi wananchi wake hawana vinasaba vya maandamano, na mojawapo ni Tanzania. Sasa tufunge mikanda kwa miaka...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar, watu wa Dar, watu wa Dar. Gen z wa Dar nimewaita mara tatu

    Historia inasema hakuna ukombozi ulioanzia mikoani katika nchi zote za ulimwengu. Mageuzi yote yanaanzia Makao Makuu ya nchi. AMINA
  18. JamiiForums Tanzania Hatimaye Stephen Wasira atema Cheche kuhusu Bandari ya Dar

    Hata hajui anaongea nini nadhani. Kwani mwaka huu CCM haawana Ilani? Wangejikita kunadi Ilani
  19. JamiiForums Tanzania Ukiishi Dar, ni rahisi sana kua chizi!

    Ukiwa mkazi wa Dar, tenamwanaume, uchizi upo waziwazi. Hakuna siku isiyo na changamoto pro. Ngoja tuone.
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Kwa sasa Umeme ni Saa 24 Dar es Salaam

    Mgombea wa uraisi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amesema awali katika Mkoa wa Dar es Salaam kulikuwa kunachangamoto ya umeme lakini kutokana na kazi kubwa iliyofanyika, hadi kufikia sasa katika mkoa huo nishati ya umeme inapatikana kwa saa 24 “Si muda mrefu uliopita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…