dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ugumba kwa mwanaume na mwanamke wanapima wapi kwa hapa Dar es Salaam?

    Wakuu habari nataka kuingia kweny ndoa Je, vipimo vya ugumba kwa mwanaume na mwanamke wanapima wapi kwa hapa dar es salaam na gharama zake zipoje
  2. JamiiForums Tanzania Kama nawaona Wazee wa Dar es Salaam waliopiga makofi na kushangilia aliposema Who are you?

    Duniani kosa vyote usikose akili Bibi muuaji baada ya kuuwa Watanganyika alijisifia kwa ngebe mbele ya Wazee wa Dar es Salaam kuwa nguvu aliyotumia hadi kuuwa watu ilikuwa sahihi. Zaidi akawauliza Waliomsema kuua, kuteka na kupoteza watu hasa Marekani na Umoja wa Ulaya "Who are You?" Huku...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta professional microphones za shure original hapa dar

    Habari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa wazoefu wa hizi mic ni frequency zipi ni nzuri kwa bongo mana kuna h9(512-542Mhz) h10(542-572Mhz)...
  4. JamiiForums Tanzania Uhaba wa maji Dar: Tatizo sio maji, tatizo ni Uongozi

    Dar es Salaam, jiji kubwa na kitovu cha uchumi wa Tanzania, limeendelea kukumbwa na uhaba mkubwa wa maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu Jana nimemsikia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akiwa mto ruvu anadai tatizo la maji ni tatizo la kidunia.Pia Waziri wa Maji kwa Nyakati tofautitofauti...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Kimara Mwisho asubuhi kuna Foleni kali isiyotembea Dar nzima ikasome!

    Hizi semi zimekuwa kero mara dufu. Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei. Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka. Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta mic original za shure hapa dar

    Habari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa wazoefu wa hizi mic ni frequency zipi ni nzuri kwa bongo mana kuna h9(512-542Mhz) h10(542-572Mhz)...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Dar wameacha matumizi ya Underwear (chupi) hali ya kuwa wanaenda maeneo ya public?

    Kwa siku za karibuni imejengeka kasumba ya wanawake wa Dar kwenda maeneo ya public na kutumia usafiri wa umma hali ya kuwa hawavai underwear (chupi) ambazo huwastiri. Tabia hii imekuwa kero hususani kwa wanaume hasa ukizingatia kwamba usafiri wa umma unajaza sana hali inayopelekea baadhi ya...
  8. JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIPO KISOTA KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

    Habari ya sikukuu wakuu. Kiwanja kinauzwa 🔥Kina ukubwa wa square metres 597 🔥Kinapatikana KISOTA BLOCK 3 Mtaa wa nyuma ya barabara ya Dr Dau.(Ni mtaa ulio oposite na nyumba ya Dr Dau. 🔥Kina hati ya wizara 🔥Ni corner plot yaani kinatazama barabara mbili za mtaa. 🔥Hakina mgogoro wowote kinauzwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Hivi kanda Maalum ya Dar ikifa leo itaenda wapi

    Dhambi zoooote zinatendwa na kanda hii. Je ikifa leo itaenda wapi, mbinguni au jehanamu?
  10. JamiiForums Tanzania KERO RC Dar na mamlaka nyingine, hamjaona chemba zinavyotiririsha maji taka Kariakoo?

    Wakati Kariakoo ikitajwa kuwa kitovu muhimu cha biashara katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, jambo linalofanya kuwa lango muhimu la uchumi wa Taifa, kwa muda sasa mitaa mingi ya soko hilo imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya chemba zinazotiririsha maji taka katika maeneo ya biashara...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya inazidi kupaa, Arusha na Mwanza zijipange ! barabara kilometa 29 njia nne yaanza kuwekwa lami

    Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji. kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba msaada. Ni shule gani Dar es salaam ya kata yenye hostel

    Naomba anayejua shule jijini Dar ambayo ni kutwa ila inazo hostel ndani ya eneo la shule iwe hostel ya wasichana. Asante
  13. JamiiForums Tanzania Gibson Kawago: “Dongfen eπ 008 kwa umeme wa Tsh 21,000/= unatoka Dar hadi Njombe!”

    Hayo amesema Mwanzilishi wa kampuni WAGA Motion inayohihusisha na kutengeneza miundombinu ya kuchaji magari ya umeme majumbani na kwenye makampuni. Hiyo Donfen ni kampuni ya Kichina inayotengeneza magari, na hii model eπ 008 ni REEV (ina engine na battery). Juzi kati kijana alileta Tesla...
  14. JamiiForums Tanzania Ajali ya gari la polisi imetokea uwanja wa ndege Dar

    Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji...
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Dar es Salaam/pembezoni mwa mji kwa ofa ya Tsh 5m

    Nahitaji pembezoni mwa mji au kiluvya
  16. JamiiForums Tanzania Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Wakuu, Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
  17. JamiiForums Tanzania Ila ndugu zetu serikali muangalie jamani, muwajengee DAWASA jengo la bilioni 48, ila wananchi wa Dar wachote maji kwenye madimbwi kweli?

    Embu muangalie waungwana...Kuna vitu vingine hata MABEBERU watakua wanatucheka na kutudharau sana na kutuita we are so poor.. Kuna vitu jamani mbona vinafanyika tukiamua? Haya basi mnakula mapesa ila tukumbukeni na wananchi , tunakosa hata maji ya kutawaza, wakati mwingine mtu unabana mavi mda...
  18. JamiiForums Tanzania Hili bango linatukebehi wana Dar

    Kwa hali hii ya maji, hili bango la kampeni ni kama kebehi kwetu sisi wananchi.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Juu ya Kupunguza Tatizo la Ukosefu wa Maji Jijini Dar es Salaam

    ✅ 1. Uboreshaji wa Miundombinu ya Maji Mabomba mengi ni ya zamani na yanavuja, hali inayosababisha upotevu mkubwa wa maji. Serikali na DAWASA wanapaswa kukarabati miundombinu hiyo na kupanua mtandao wa maji hadi maeneo ya pembezoni kama Chanika, Mbagala, Bunju, n.k. Pia, ujenzi wa matanki ya...
  20. JamiiForums Tanzania Unakimbilia Dar kuchoma mahindi nyuma unaacha madini, shame on you

    Bei ya DHAHABU Leo tarehe 13/12/2025 kwa gram 1 ni kama ifuatavyo: ◼️Soko la Dunia TSH 344,033/= ◼️Bei za masokoni kwetu: 309,630/= ◼️Bei za kwenye centre huko migodini TSH 302,749/= Just 1 gram tu . Unakimbilia dar kuuza mahindi ya kuchoma unaacha mali zimbu kbs wewe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…