dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 RC Makalla na Uongozi wa Dar: Fuateni ushauri huu Dar es Salaam itakuwa na mazingira safi kuliko Moshi

    Kwanza kabisa kuondolewa kwa mifuko ya plastiki bado hakujafanya mazingira kuwa safi. Nini tatizo kwa mkoa wa Dar es Salaam? Jibu ni rahisi tu, tatizo ni msongamano wa watu pamoja na wafanyabishara wadogo (machinga) huu ndio ukweli. Japo ili kufanya mkoa huu kuwa safi si lazma uwatoe ila...
  2. JamiiForums Tanzania Basi gani zuri Dar - Mtwara?

    Mada tajwa yahusika Karibu kwa mapendekezo pamoja na sifa za basi husika, kama una na contact itakua poa zaidi Nasikia hizi basi huwa hawaanzii stendi (ubungo kwa zamani) wanaanzia mbagala. Je, ni kweli? Kwa siku hizi sijajua kama wanaanzia mbezi au bado ni mbagala. Naomba kujuzwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani Dar affordable kuanzisha maisha ukiwa na familia yako?

    Wanandugu ninataka wa kuanzisha maisha nikiwa na familia yangu nikiwa na mke wangu na pamoja na mtoto wangu Hivyo ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar kuanzisha maisha ambapo ninaweza kupanga vyumba viwili at affordable price na eneo nitakaloishi lisiwe la gharama hivyo naomba kufahamu...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida ambazo Wananchi wanapata kwa kila mara kuangalia Picha za Rais akitoka Dom kuja Dar na Dar kwenda Dom kwa Ndege

    Binafsi nitafaidika zaidi nikiona Picha za Rais yypo maeneo mbalimbali ya nchi yenye Changamoto mbalimbali akionana na Wananchi wake na kutatua Matatizo yao ya Kimsingi. Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE naitafuta Tija ya kila mara tu Mitandaoni tunaonyesha Picha za Rais akipunga mkono akipanda Ndege...
  5. JamiiForums Tanzania Kilo 1.2 ya heroin yawafikisha mahakamani

    Watu watatu wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mkoani Dar es salaam, wakikabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kilo 1 na gramu 200. Washtakiwa hao ni Andrew Paul, Said Mugoha na Geroge Mwang’ata wote wakazi wa Temeke mkoani Dar es salaam...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma Makao Makuu, wote imekuwa ni njia moja Dar

    Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi...
  7. JamiiForums Tanzania Simba yaficha straika hotelini Dar

    Didier Gomes amewaambia viongozi kwamba ; “Iwe iwavyo namtaka yule rasta wa Mbeya City hapa.” Kocha huyo anamaanisha wanase saini ya straika Kibu Denis ambaye watani zao Yanga nao wanamfikiria. Habari za uhakika ambazo Mwanaspoti imezipata ndani ya Simba ni kwamba, Gomes ameonyesha mapenzi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Je, kuna Bucha za nyamapori hapa Dar es Salaam?

    Natambua kuwa TAWA ama Wizara ya Utalii ilizindua utaratibu wa uwindaji na uuzaji wa nyamapori kwenye baadhi ya mikoa kama Katavi, Dodoma na kwingineko. Naomba kufahamu kama huduma kama hiyo imeanzishwa mkoa wa Dar es Salaam. Nimechoka nyama za mbuzi, kuku, ng'ombe na kitimoto. Natamani kula...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

    Huyu mzungu ameishi Dar es salaam kwa muda sasa. Amefika Nairobi na kusema kwamba Nairobi ipo more developed than Dar es salaam
  10. JamiiForums Tanzania Safari za Dar - Dom za Rais Samia zimekuwa nyingi, ni hatari kwa usalama wake

    Kwa vile ninampenda sana Rais wangu. Napenda niwashauri hili watu wake wa karibu. Rais amekuwa haeleweki ni wapi hasa makazi yake. Safari za Dar - Dom zimekuwa nyingi sana. Na anapaa angani, ina month anaweza fanya kama mara nne mpaka saba. This is riskier...ni hatari kwa usalama wake. Vyombo...
  11. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki: Freeman Mbowe kuhamasisha umuhimu wa Katiba jijini Dar es Salaam

    Ile Operesheni iliyotikisa nchi kwa kuhamasisha wananchi juu ya umuhimu wa katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, ambayo ishatikisa na kuamsha watu wa mikoa 24, sasa imeingia kwenye mkoa wa DSM huku wakazi wake wakisubiri kwa hamu bila kuchoka. Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ataongoza...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mwl Nyerere aliambiwa kwanini wananchi wanamsukuma Mrema na gari yake Dar hadi Kibaha

    Enzi hizo watu walidhani Mwl Nyerere ataamuru majeshi. Akawambia waacheni wasukume gari la Mrema, wakichoka wataacha wenyewe. Hivyo upinzani muwaache waongee kwenye mikutano, wananchi watawachoka au watawaelewa. Hakuna haja yakutumia nguvu bila sababu, hata hiyo mikutano itakuwa ya Amani zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe

    Iko hivi, Kuna jamaa ni jirani yangu anapiga mishe kwenye duka la wachina hapo gerezani, wanauza aina mbalimbali za vyuma na mabati ya mageti. Inavyoonekana jamaa ni anapiga hela ndefu kinyama kwa hao Wachina maana nyumba yake ameiboresha kwa kiwango cha juu sana tangu alipoanza kufanya nao...
  14. JamiiForums Tanzania Paul Makonda, jembe liliosahaulika pamoja na kuinyoosha Dar. Lilimpigia chapuo Samia Suluhu kupata Umakamu wa Rais

    Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto. Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma. Cha ajabu amesahaulika...
  15. JamiiForums Tanzania Dar: Polisi Wamekamata yale Magari na Pikipiki Zilizoibwa, Watuhumiwa 60 watiwa Korokoroni

    Oparesheni kali iliyotangazwa dhidi ya majambazi, wanaotumia silaha na wahalifu wengine imefanikisha kupatikana kwa silaha mbili aina ya Bastola ambazo zote zilikuwa zikitumika kutendea vitendo vya kihalifu Oparesheni hii inajumuisha vikosi vyote vya Jeshi la Polisi na matokeo yake yamezidi...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kuuziwa simu Dar

    Nikiwa mgeni Dar nilikutana na kijana mmoja barbarani akanionyesha simu aina ya samsung A50. Kumuuliza bei akaniambia ni laki moja. Bei ilikua chini sana nikaamua kununua. Aliniharakisha sana akisema hataki kushikwa na polisi akanifungia simu ndani ya gazeti. Kufika nyumbani kujaribu kuwasha...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Wapi hapa Dar napata Smart TV bora kabisa?

    Natafuta smart TV nchi 44, kubwa zaidi au karibia na hiyo. Napata wapi hapa mjini Dar hasa maeneo ya Kariakoo? Je, ni brand ipi bora kwa sasa? Bei yake ikoje?
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dar: Mkuu wa Mkoa awataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa CORONA

    RC MAKALLA AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI DHIDI YA CORONA. Kufuatia kuwepo kwa Viashiria vya Mlipuko wa Ugonjwa wa Corona, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla* amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari* na kuziagiza Taasisi na sehemu zote za mikusanyiko kuweka ndoo za Maji na...
  19. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar wametakiwa kuvaa barakoa muda wote wakiwa kwenye msongamano

    Wananchi wote wa mkoa wa Dar es salaam wanapaswa kuwa wamevaa Barakoa muda wote hasa katika maeneo yenye msongamano, wanawe na maji tiririka, wakisikia dalili zozote zinazofanana na dalili za Covid 19 wawahi hospitalini Kufanya vipimo" Amos Makala ,Rc Dar es salaam ———- Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  20. JamiiForums Tanzania ZPC Muliro: Mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwe Shilingi 2 Milioni.

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwa Sh2 milioni. Hayo yameelezwa leo Jumatano Juni 23, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro katika mkutano wake na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…