dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Tarehe 19 Septembe TP Mazembe ana Mechi ya Ligi, Dar Wanakuja Kufanya Nini?

    Kama kawaida. Nabii Demigod niko Mjengoni na Swali jingine. Ratiba LigiKuu Congo yaani LinaFoot imetoka leo. Inaonyesha kuwa TP Mazembe wanamchezo wa Ligi katika siku hiyo.? Je Simba wanacheza na TP Mazembe ipi? Kwanini Viongozi wa Simba wanapenda kuwa hadaa sana mashabiki wa Simba? Maana...
  2. Je, watu wa mikoani na vijijini wakianza vitimbwi wanavyofanyiwa wakienda kwa ndugu zao wa Dar patatosha?

    ila watu wa mijini na kwenye majiji kuna haja ya kujitafakari. Mwana DSM ukienda mikoani huko au vijijini ukifika ni kawaida sana kukuta ndugu zako walikuwa wanakusubiri stendi zaidi ya saa ufike, umefika utachinjiwa kuku siku ya kwanza, utaishi hata mwezi na hakuna mtu atakupa maswali ya...
  3. Rivers United tumetua Dar mapema, kupata kamseleleko

  4. Kwanini Timu Mbalimbali hazivutiwi kuja Dar kushiriki Simba Day?

    Wadau za Jioni. Taarifa za ndani ambazo bado hazijawafikia walio wengi ni kwamba Barua za mialiko zinagonga mwamba huko. Jitihada za Tembo lakini Matokeo kisoda. Ni nini shida imewakumba Makolokolo FC. Barbara Gonzalenz amekuwa hatulii kabisa siku hizi. Kila wiki ninakutana nae pale Julius...
  5. Tamasha la Franco Luambo Luanzo Makiadi Grand Master( Grande Maitre) Dar es Salaam- Early 1970's

    Moja ya matukio makubwa na ya pekee yalopata kutokea uwanja wa uhuru ambao enzi hizo uliitwa uwanja wa taifa Ni s tamasha la hayati Franco, mwamba wa muziki wa rhumba, katika tamasha hilo watu walikanyagana katika harakati za kuingia uwanjani na Kuna mtu alipoteza Maisha papo hapo. Kwenye...
  6. Naomba kujua kuhusu safari ya Dar kwenda Dodoma kwa pikipiki

    Habari za leo wakuu, Ninafikiria kati ya njia mbili za kusafiri, aidha kwa pikipiki au kuisafirisha chombo yangu used kwa malori ya mizigo. Kwa wale wenye uzoefu na route hii kwa pikipiki mnaweza kunipa muongozo wa sehemu za kupumzika, kufanya service nikiwa njiani, muda wa safari kwa...
  7. Hongera Dar Mpya kwa kukemea "Double standard" ya Jeshi la Polisi

    Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani. Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi. "Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa...
  8. Rais Wa JMTZ saivi yuko wapi, Dar au Dom!? Special Thread..

    Wataalam wa AVIATION INDUSTRY watipigie hesabu... Yani How!?? Bomberdier au Dreamliner linapaa juu .. Hovyohovyo.. Tupeni bili..kodi.... Je!? Ni kodi za mafukara ndo zaMrusha mama!?? Lakini ile ndege ya Rais iko wapi!? TuloambiwA hata tule nyasi..!!!?
  9. I

    Nahitaji PC Nzima inayofanya kazi kwa Tsh 120,000 nipo Dar

    Habari wakuu, Nina 120,000 cash hapa mfukoni nahitaji PC nzima inayofanya kazi uhakika. Kama kuna mtu umu anauza naomba anichek 0672037238 Nipo Dar.
  10. Dar: Afungwa maisha jela kwa kumlawiti mtoto wa miaka tisa

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh. 500,000. Kati ya Mei 3, 2020 maeneo ya Chamanzi...
  11. R

    Basi kutoka Dar es Salaam to Lubumbashi, DRC

    Wakuu naomba kujua ni mabasi gani yanayo kwenda Lubumbashi, nauli zake na siku gani yanaondoka. Shukran sana
  12. Hasheem Thabeet yupo zake Dar anacheza ligi ya mkoa

    Mcheza mpira wa kikapu wa Kitanzania, Hasheem Thabeet yupo zake hapa Dar, akicheza ligi ya kikapu ya mkoa maarufu kama Ligi ya RBA. Inaelezwa Hasheem yupo zake ila sio mtu wa kujichanganya sana, kama sio mtu wa Kikapu huwezi kujua kama yupo Bongo. Natamani niendelee kuandika ila niishie hapa...
  13. Kama Paul Makonda angekuwa RC Dar matukio ya ajabu yasingetokea, maana alidhibiti uhalifu. Wauza shisha walipotea kama barafu iliyoyeyuka

    Msingi wa jeshi la polisi imara ni operation ili kudhibidi uhalifu. Ndio maana Makonda kama mkuu wa masuala ya usalama aliamini kwenye operation. Makonda alimsimamia vyema Igp Sirro wakati huo ni kamanda wa kanda maalumu kuhakikisha uhalifu wa kila aina unatoweka Dar. Vibaka, wahuni, majambazi...
  14. Katibu mkuu uvccm taifa azindua dar es salaam jogging club kwa kishindo

    KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AZINDUA DAR ES SALAAM JOGGING CLUB KWA KISHINDO Katibu Mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi (MNEC) leo amezindua Vijana Jogging Club Jijini Dar Es Salaam Iliyoandaliwa na UVCCM Mkoa Wa Dar Es Salaam ikiwa ni utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa wakati akizindua...
  15. Shule za Dar es salaam ni pasua kichwa

    Kwa wale wanaofundisha shule za Dar es salaam huu ni ujumbe kwenu. Fanya kazi sana lakini ujue hakuna bosi anayejali maslahi yako, utafanya kazi kama punda, sifa zote kwa mwenye shule. Kuna shule hasa hizi kubwa kubwa wafanyakazi hawafanani na ukubwa wa shule, mfano unakuta waalimu wamechoka...
  16. Nahitaji kujua basi zuri kutoka Dar kwenda Nairobi

    Habari waheshimiwa, Naomba kujua basi gani ni zuri kwa sasa kutoka Dar kwenda Nairobi, Kenya. Naomba pia muambatanishe na nauli zake. Pia naomba kujua utaratibu na gharama za kupata passport ya muda "ya makaratasi" maana passport yangu ya kitabu imeisha muda wa matumizi na nimepata safari ya...
  17. Dar es Salaam vijana jogging - tarehe 29/08/2021

    DAR ES SALAAM VIJANA JOGGING Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wake Comrade Mussa Kilakala unawakaribisha Vijana wote Mkoa wa Dar es salaam katika Uzinduzi wa DSM VIJANA JOGGING utakaofanyika siku ya Tarehe 29/08/2021. MGENI RASMI Comrade KENANI KIHONGOSI...
  18. Jeshi la Polisi lazuia kongamano la wananchi la katiba lililokuwa lifanyike Dar es Salaam

    Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi. USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
  19. Bolt, Uber na Taxfly hawa madereva ndo chanzo cha foleni Dar

    Wakubwa tafiti ndogo hawa majamaa, wanaendesha magari kama mabovu vile pole poleeee hata kama barabara nyeupe mnarundika foleni ndefuuuu, kumbe mbele kuna IST sijui raumu upuuzi mtupu. Rekebisheni driving zenu bana mnaboa sana
  20. Tatizo la Umeme kukatika kwa muda mrefu limerudi tena Dar es Salaam

    Habari Ndugu zangu popote pale mlipo Leo nimeingia Ofisini kwangu Mida ya saa 3 asubuhi ninakuta umeme umekatika. Na mpaka sasa ninapo andika ujumbe huu saa 7 na Daakika 55 mchana bado pakavu. Ndo najiuliza je, Tumesharudi Misri kwenye swala la upatikanaji wa umeme Mjini? Maana katika kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…