dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua daraja la Selander (Tanzanite), ataka liwekewe nembo ya Tanzanite sio Mwenge

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Agakhan - Upanga jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua daraja la Selander (Tanzanite) na barabara unganishi leo tarehe 24 Machi 2022. === Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Various Academic Positions at University of Dar es Salaam

    The University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following academic vacant posts: COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY (CoET) Department of Structural and Construction Engineering Field: Structural...
  3. JamiiForums Tanzania Tuache siasa kwa maisha ya watu, Rais Samia hajaondoa tatizo la maji Dar na Pwani

    Watanzania tuache siasa za ngiriba ngiba hizi, Hivi mnasema ameondoa tatizo, mnajua kuna sehemu ndani ya wilaya Ubungo tufanye wilaya ya Kinondoni ya zamani hazina maji kabisa? Mfano eneo kama King'azi? Kifuru na Hali ya hewa haya maeneo zamani yalikuwa wilaya ya Kinondoni, kwa ngiriba za...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Chris Lukosi: Gharama za kusafirisha kontena kwenda Bandari ya Dar es Salaam zimepanda sana

    Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!
  5. JamiiForums Tanzania Hotel za Wachina zinapatikana eneo gani Dar es Salaam

    Habari za mchana wana JF, Nilikuwa naomba kujua hoteli za Wachina kwa hapa dar es salaam zinapatina maeneo gan? Kama unajua hotel yoyote ya wachina na mahala ilipo unijuze
  6. JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuagiza Alibaba au anajua office zao zilipo kwa Dar

    Wadau naombeni nisiwe na mambo mengi naombeni kujua yeyote aliyewahi agizia mzigo Alibaba ulimfikia vipi na ofisi za agent zao hapa Dar zipo wapi? Mimi nina experience na Kikuu nimeagiza sana na kupokea mizigo yangu mara ya mwisho nilinunua mzigo wa Million 1,200,000/= nilifanya maana ofisi zao...
  7. JamiiForums Tanzania Information Technology Assistant at U.S Embassy Dar Es Salaam

    About: Announcement Number: Dar es Salaam-2022-037 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Voucher Examiner (Alternate Cashier) Open Period:03/17/2022 – 03/31/2022 Format MM/DD/YYYY Vacancy Time Zone: GMT+3Series/Grade:LE – 0420 7 Salary: TZS TSh29,568,947 Work Schedule: Full-time –...
  8. JamiiForums Tanzania Voucher Examiner (Alternate Cashier) at U.S Embassy Dar Es Salaam

    About Announcement Number: Dar es Salaam-2022-037 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Voucher Examiner (Alternate Cashier) Open Period:03/17/2022 – 03/31/2022 Format MM/DD/YYYY Vacancy Time Zone: GMT+3Series/Grade:LE – 0420 7 Salary: TZS TSh29,568,947 Work Schedule: Full-time –...
  9. JamiiForums Tanzania Dar: Baada ya agizo la Sirro, watu 41 wakamatwa kwa wizi wa pikipiki 21

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum la Dar es Salaam limeendelea na operesheni kali dhidi ya vikundi mbalimbali vinavyojihusisha na uhalifu ikiwemo wizi wa Pikipiki, Bajaji na magari. Kutokana na oparesheni hiyo wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 41 katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kweli usafiri wa Bolt ni poa sana ukiwa Dar es Salaam

    Nilibahatika kuja Dar es Salaam kwa safari ya kibinafsi na mojawapo la tatizo la Dar ni usafiri. Kwenye hoteli niliyofikia nikawauliza usafiri utakaonisaidia nikiwa Dar na wakanishauri nijiunge na bolt. Kwa kweli usafiri wa bolt ni poa sana. Unaweza kusafiri na bolt toka Sinza na kwenda...
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji Ofisi ya kukodi kwa wiki moja Dar

    Habari wakuu. Iwe maeneo ya kati kati ya jiji au jirani na City Center. Lengo ni tunatoka mkoani kuja kurekodi kipindi cha afya ya ngozi. Piga 0713039875
  12. JamiiForums Tanzania Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

    Kuna moshi mzito anga la Mwenge, Mawasiliano na Ubungo. Inasemekana Kiwanda cha Magodoro GSM kinateketea. --- Kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam kimeungua moto Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana kwa sasa. Soma >...
  13. JamiiForums Tanzania Dar: Hospitali ya Dar Group inanuka kinyesi kila sehemu

    Salaam Wakuu, Usalama wa wagonjwa hatarini katika hospitali ya Dar Group iliyopo Tazara Jijini Dar es Salaam. Mazingira yote ya hospitali yananuka kinyesi kutokana na kutozibuliwa Kwa chemba za kuhifadhia maji taka. Wagonjwa Wengine wanashindwa kuvumilia na kuondoka kwenda kwenye hospitali...
  14. JamiiForums Tanzania GSO Housing Assistant at US Embassy Dar Es Salaam

    About Announcement Number: Dar es Salaam-2021-045-RA Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: GSO Housing Assistant – All Interested Candidates Open Period: 03/09/2022 – 03/23/2022Format MM/DD/YYYY Vacancy Time Zone: GMT+3 Series/Grade: LE – 0820 7 Salary: Not Specified Work...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ualimu umenipa mtaji,

    Nilimaliza sheria 2012 , then nilisota mtaani hadi mwaka 2015 nilipopata ajira za ualimu wa serikali,sikuona umuhimu wa kwenda law school kwa sababu sikuwa na connection na watu mjini, nilibahatika kuajiriwa kwetu(wilaya niliyozaliwa), soon baada ya kuajiriwa , nilijibana sana nikanununua...
  16. JamiiForums Tanzania Akili za Magufuli: Alidai Mwanza ni Jiji na Dar es Salaam ni Mkoa

    Salaam Wakuu Ndo Maana watu wanalalamika rais ana Mamlaka makubwa hadi kuingilia Sheria, Historia na Maisha ya watu waishije. Yule mwenda zake alishauriana na Mke wake akaona atoe tamko kwamba Mwanza na Dodoma ni Majiji na Dar es Salaam ni Mkoa kinyume kabisa na Sheria na Kanuni za TAMISEMI...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kufanya booking ya tiketi ya ndege kutoka Mpanda kwenda Dar

    Habari zenu wakuu Naomba msaada wa muongozo wa namna ya kubook online ticket ya ndege kutoka Mpanda to Dar es salaam kwa Air Tanzania Nina mpango wa kusafiri tar 18 mwezi huu na nina hitaji kubook ticket hiyo online ili nikimaliza shughuli zangu nitumie flight hiyo kurudi Dar JF Wajuaji...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Makonda aliweka nidhamu jiji la Dar na kusafisha uchafu wa maadili uliokuwa umekithiri. Sasa hivi Dar ni kama Jahanamu

    Paul Makonda alisimamia misingi ya maadili ndio maana alidhibiti vibaka , wavuta madawa, wezi , wavuta unga na mashoga. Sasa hivi Dar wavuta unga na mashoga wamekithiri kama jahanamu. Nenda Buguruni, Tandika na Magomeni ushoga ni kama kawa. Watoto wa kiume wanajipaka lipstick. Wavuta bangi na...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Safiri Kwenda kwenye usahili wa TRA (UDOM) Dodoma na kurudi DAR kwa Coaster Mpya

    Kwa wanaohitaji usafiri wa kwenda kwenye usahili wa UTUMISHI (TRA) DODOMA nakurudi DAR tafadhali wasiliana nasi mapema 0719250926 fanya BOOKING mapema nafasi zimebaki chache
  20. JamiiForums Tanzania Wallace Karia: Ligi za Dar zimekosa mvuto kwasababu ya Ndondo Cup

    Rais wa TFF, Wallace Karia amesema ligi za Mkoa wa Dar Es Salaam zimekosa mvuto na umaarufu kwasababu ya michuano ya Ndondo Cup ya Clouds Fm. Pia akaenda mbali zaidi kwa kusema, Ndondo Cup zinatuharibia wachezaji wa ligi kuu kwani wengi huumia wakiwa wanacjeza huko kwenye viwanja vibovu. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…