Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeuliza ili mnieleweshe.
Dar kuna bahari ya Hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji?
Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo, kwanini tunapoteza hela...
Suala la udhibiti wa Wamachinga linaonekana kufanikisha kwa kiasi nikubwa Jijini Arusha. Mitaa na maeneo yote Ingekuwa kusafi na wananchi pia wametii maagizo ya viongozi wao.
Suala hili lineinekana kupwaya sana ndani ya Jiji la Dsm na ninashauri uongozi ifanye safari ya kikazi ata ya siku Moja...
Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini.
Wananchi wanasema Maji wakati mwingine yanakosekana kwa wiki nzima.
Kinachowakera zaidi ni kuwa wamekuwa wakitumia gharama kubwa sana kununua maji na hivyo kufanya maisha yao kuwa magumu...
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Akisoma uamuzi huo leo Jumatatu Novemba 15, 2021 Jaji Joachim Tiganga...
Yaani ningekuwa kiongozi mwenye mamlaka nilichokiona jana ,
Leo ningeamkia kwa halmashahuri ya Kinondoni nijuwe tatizo liko wapi na niwapeleke mpaka eneo la tukio washuudie wenyewe halafu waseme kama ni sawa kuwa na beach kama Coco iliyokuwepo maeneo ya Uzunguni kuwa chafu kama ilivyo wakati...
Ninavyoijua Dar kwa joto, halafu nimeona Watz wanalalamika kuna ongezeko la jua, na sasa kuna hizi taarifa za mgao wa maji, sio ajabu wakazi wake wanaandika vitu vya ajabu humu siku hizi......
==============================
Dar es Salaam. When Willis Mhango secured a deal of washing 20...
13 November 2021
MACHINGA WAVAMIA ENEO LA KANISA BAADA YA KUHAMISHWA, TAHARUKI KUBWA YAIBUKA
Mgogoro mkubwa umeibuka kati ya Kanisa la Orthodox lililopo Mbuyuni, Salasala jijini Dar es Salaam na wafanyabiashara ndogondogo wa eneo hilo maarufu kama wamachinga, ambapo uongozi wa kanisa hilo...
Wakuu Chuo hiki kinajenga wapi College yao ya afya pale Mbeya? Mkuu wao wa chuo, JK aliwaombea eneo la kujenga chuo.
Waliomba wajenge viwanja vya Tanganyika packers. Badaaye nasikia wizara ya kilimo walisema lile eneo wana kazi nalo, wanataka kufuga ng'ombe hivyo chuo wakapewa eneo jingine...
Fursa kwa wakazi wa Dar es salaam na Habari ndugu,napenda kuwapa taarifa kuwa kuna fursa ya uanzishaji na ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko Dar es salaam.
Maeneo yanagaiwa kwa walio tayari kwa ufugaji na pia kwa maelezo zaidi unaweza nitafuta kwa 0762842787 kupata taarifa zinazohusiana...
Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.
Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi.
Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama...
An example of a composting plant to be built in Dar es Salaam and neighboring townships
1. Introduction
Kibanga Vision Health Services Limited (KVHSL) is a private company registered in Tanzania since 2019.
It now intends to implement Kibanga Organic Manure Plant (KOMP) Project.
A...
Wadau ninachangamoto hapa naomba msaada kwa yeyote yule anaejua maduka wanapo uza Vyombo vya jikoni kama sufuria, sahani, vijiko, miko na vinginevyo nisaidie kuniambia maana ninauhitaji navyo.
NB: Bei ya kawaida
Wote tumeona kwamba mkuu wa mkoa RC Makalla na serikali kwa ujumla wamewakomalia wamachinga waondoke maeneo ambayo hawatakiwi kisheria.
Hiyo sawa; lakini kuna suala hili la mbuzi wa Dar ambao wanajichunga wenyewe Magomeni, Mbagala, Mbezi, Shekilango nk ambao nao wanaleta uchafuzi wa...
Kutokana na ukubwa wa uchumi mkoa wa Dar es salam na umuhimu wa mkoa huu kwa uchumi wa taifa letu, napendekeza Serikali ianzishe wiki maalum na kuutangaza mkoa huu kitaifa na kimataifa.
Katika wiki hilo kuwe na vipindi na matukio mbalimbali yanayoielezea Dar es salam kinagaubaga vipindi hivyo...
Mhe. @SuluhuSamia akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 04, 2021 alipokua akitokea nchini Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi duniani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.