Aliyewahi kuagiza Alibaba au anajua office zao zilipo kwa Dar

De Professor

JF-Expert Member
May 21, 2021
206
395
Wadau naombeni nisiwe na mambo mengi naombeni kujua yeyote aliyewahi agizia mzigo Alibaba ulimfikia vipi na ofisi za agent zao hapa Dar zipo wapi?

Mimi nina experience na Kikuu nimeagiza sana na kupokea mizigo yangu mara ya mwisho nilinunua mzigo wa Million 1,200,000/= nilifanya maana ofisi zao nilienda pale Shoppers plaza msasani so nikawa confident kikitokea chochote ninao wa kukabana nao.

Natamani Alibaba wana vitu vingi na cheap zaidi ya Kikuu.
 
Wasi wasi wangu ni kwamba unaweza purchase kitu cha bei kubwa ikitokea longo longo unamfata nani maana kwa kuchat tu na mtu haitoshi
Alibaba na Aliexpress ni waaminifu sana, huwa hawaachii hela kwa supplier mpaka wewe ukubali kwamba umepokea mzigo wako. Na usipopokea unafungua dispute ambapo baada ya siku 21 za kazi hela yako inarudi yote. Namna ya kupokea mzigo wako ni kupitia posta. Taadhari ukishalipia mzigo ukaona supplier hajafanya shipping ndani ya siku 7 anza kumbana, mawasiliano yote yafanyike kupitia platform ya ALIBABA usikubali mawasiliano kwa njia ya email.
 
Wasi wasi wangu ni kwamba unaweza purchase kitu cha bei kubwa ikitokea longo longo unamfata nani maana kwa kuchat tu na mtu haitoshi
Alibaba ni mtandao safe Sana Kwa biashara , scams ni wachache! Jamaa wapo proffessional alaf wachina Wana Sana, ni kama bongo tuu..mnacheka mnafurah, mnataniana alaf wachangamfu sana. Unakuta demu ana miaka 20 na ni marketing manager wa kiwanda, full kutabasamu yaani.
 
Alibaba ni mtandao safe Sana Kwa biashara , scams ni wachache...!! Jamaa wapo proffessional alaf wachina Wana Sana , ni kama bongo tuu..mnacheka mnafurah , mnataniana alaf wachangamfu Sana...unakuta demu ana miaka 20 na ni marketing manager wa kiwanda , full kutabasamu yaan
Alibaba kuna wale wa buy 2 get 1 free hawa nao vipi kwa wazoefu Mwl.RCT
 
buy 2 get 1 free hawa nao vipi kwa wazoefu @Mwl.RCT
Ni lugha ya biashara ni sawa na mwingine anakuandikia.

Tuna 'promo' ya mwisho wa mwaka, bidhaa hii utapewa BURE ila lipia ghalama ya kusafirisha tu, Ila kiuhalisia gharama ya bidhaa husika imejumlishwa pamoja na ghalama ya kusafirishia.

Shituka hakuna kitu FREE kwenye ulimwengu wa kibiashra.
 
Alibaba ni mtandao safe Sana Kwa biashara , scams ni wachache. Jamaa wapo proffessional alaf wachina Wana Sana , ni kama bongo tuu..mnacheka mnafurah, mnataniana alaf wachangamfu Sana. Unakuta demu ana miaka 20 na ni marketing manager wa kiwanda , full kutabasamu yaan
Fala wewe utakuwa ushakutana na ka she kangu kana miaka 21. Tuna chat mpk private tushakuwa wana sana sometime ananitafutia vitu nje ya ofis kwa uaminifu ananitumia. Juzi kameninunulia piano na simu pesa kalipokea kwa western union nje ya mfumo kabisa nwa alibaba na kametuma kwa agent.
 
Back
Top Bottom