dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LATRA yasitisha Leseni za baadhi ya mabasi ya Dar Express, Kidia One, Luwinzo, Super Feo

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni za usafirishaji kwa mabasi 22 kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Februari,2023 Hatua hii ni kutokana na vitendo vya kuingilia Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari (VTS) na kusababisha mfumo kutotuma taarifa ama kutuma taarifa kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nauza nguo Vingunguti Dar

    karibu kwa nguo za kike short dress na magauni bei chee 7k. Namba 0787616723 whstpp
  3. G

    JamiiForums Tanzania Majiji mengine yote yakiungana yanaweza kuifikia Dar angalau ile ya miaka 20 iliyopita ?

    -Hotels -Makazi -Starehe -Elimu -super markets -n.k
  4. JamiiForums Tanzania Mwili wa Bodaboda wakutwa msituni Dar

    Wakati bado tukio la kutekwa kwa Maliki Lukonge wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani, likiwa halijapata ufumbuzi, mwili wa mtu ambaye jina lake halijafahamika, umekutwa umetupwa kwenye msitu wa Pugu Kazimzumbwi wilayani Ilala, ukiwa na majeraha kwenye mikono na kutobolewa macho. Lukonge alitekwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Ndege ya precious Air yashindwa kutua Dodoma

    Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua. --- Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Watu wa mikoani mnao agiza bidhaa Dar es salaam pitieni hapa

    Deleted
  7. JamiiForums Tanzania Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

    Niko Mbeya, hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka. Nimewasiliana na mtu yuko Dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper. Kwanini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
  8. JamiiForums Tanzania Nitume, niagize popote ndani ya Dar

    nb mwenye aliniomba nimtangazie ameshapata kazi:ahsante
  9. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Rais Samia, tuondolee huyu RC Amos Makalla mkoa wa Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla, amesema wahalifu wanaodaiwa kuwa Panyarodi waliovamia maeneo ya Bunju sio wakazi wa mkoa huo, kwani kazi ya kuwashughulikia wahalifu hao ilishaimaliza. Wahalifu hao wakiwa kundi la watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya wanane, walifika kwenye mtaa makazi...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta Apprtment ya NHC Dar

    Habari wakuu Natafuta appartment ya NHC kati kati ya mji kuanzia magomeni, Upanga, Mikocheni na maeneo yoyote jirani na Mjini Piga 0713- 039 875 kama unafahamu utaratibu
  11. JamiiForums Tanzania Leo Kibaraka wa CCM mzee Lipumba alikuwa na mkutano hapa Dar, mbona hatupati updates?

    Leo yule kibaraka wa CCM alikuwa na mkutano wa hadhara hapa dar, je alikuwa na jipya lolote? CCM walikuwa wanamjazia watu ili ionekane bado yuko hai kisiasa na chama chake. Kwa wale walihudhuria huo mkutano hebu watupe nini aliongea, na mahudhurio yalikuwaje?
  12. JamiiForums Tanzania Walaghai na matapeli wote ambao mmeigeuza wizara ya ardhi dar kama chaka lenu achaneni na kazi hizo ni lockup tu.

    Nipende kumpongeza kamishna mpya ambaye amekuja kwa ajili ya mkoa wa dar na pwani, MR. LEO, dhamira yako njema ya kubadilisha taswira iliyokuwepo na kujenga mtazamo mpya inaonekana waziwazi, hongera kwa mfumo wako mpya ambao umeuweka hakika wengi wataumbuka, pia nafurahi ya kuwa umetambua vizee...
  13. JamiiForums Tanzania Barabara ya Mvuti-Dondwe itangazwe kuvutio cha utalii ndani ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam

    Wana JF nimeanza kuitangaza barabara hii ni kivutio ambacho kinavutia kwa maana kuwa inavutia. Kwanza tunatakiwa kujua utalii ni kutoka sehemu moja kuelekea sehemu tofauti kwa nia ya kuona yaliyopo huko na kwamba binadamu anaweza kuvutiwa kuona na mambo mabaya na mazuri, ila mara nyingi...
  14. JamiiForums Tanzania Nyumba za Dar es Salaam ya 1950s

    NYUMBA ZILIZOKUWAKO DAR ES SALAAM YA 1950s Hapo chini ni mfano wa nyumba nyingi zilizokuwapo Dar-es-Salaam miaka ya 1950. Nyumba hizi zilikuwa na vyumba sita vyumba vitatu kila upande vikiangaliana na katikati kulikuwa na ukumbi mrefu. Uani kulikuwa na mabanda madogo jiko, vyoo na bafu...
  15. JamiiForums Tanzania 'Panyaroad' washambulia tena watu kwa Mapanga Dar

    Jeshi la Polisi mkoani hapa lina washikilia watu wanne kufuatia tukio la vijana wanaodhaniwa kuwa ni wa kundi la Panyarodi kuvamia makazi katika eneo la Bunju B Mtaa wa Idara ya Maji saa 8 usiku wa kuamkia Februari 10, 2023. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dr es Salaam, Jumanne Muliro amesema...
  16. JamiiForums Tanzania Ripoti: Dar yaongoza kwa watu kuwa na michepuko zaidi ya miwili

    Wakati takwimu za Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) zikionyesha maambukizi ya ugonjwa huo yameshuka kwa asilimia 47, ripoti mpya ya Wizara ya Afya imeonyesha viashiria vya uwezekano wa kuongezeka kwa virusi kutoka kwa wasiokuwa wanandoa wala wachumba (michepuko). Ripoti hiyo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Muwekeza/ muendeshaji au Mnunuzi wa guest house anahitaji Dar

    Tangazo hili limekaa Kwa option zote mnunuzi au muendeshaji Guest house ipo Kata ya Minazi mirefu Kiwalani, wilaya ya Ilala Jiji ipo katika hali nzuri kabisa ina vyumba 10 self, maji ya Dawasa na ya visima virefu connected, eneo ukubwa ni square meter 400. Kwa mnunuzi offer ni million 60...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya mvua na foleni za barabarani Dar es Salaam?

    Moja ya jambo ambalo inawezekana changamoto ni miundombinu au labda ni vyombo vyetu vya usafiri, bado huwa nashindwa kuelewa vizuri, yaani ikitokea mvua imenyesha kidogo tu kwenye Jiji la Dar es Salaam hasa maeneo ya town, lazima foleni barabarani ziibuke kwa kasi. Najiuliza, hivi tatizo ni...
  19. JamiiForums Tanzania Amos Makalla ametudhalilisha na kututukanisha wana Dar es Salaam na watanzania kwa ujumla

    Nimeshangazwa na kitendo cha mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Amos Makalla kutumia kodi za walalahoi kukodi ndege ya kuwapeleka wamachinga na wadau wengine nchini Rwanda eti kujifunza usafi. Inamaana Watanzania wenyewe ni wachafu na hawawezi kujifunza usafi mpaka waende kufunzwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Watu 45 wamepandikizwa Mimba Dar, 35 wamepata ujauzito

    Kiasi cha Sh4.5 bilioni kimetumika kufanya uwekezaji wa ujenzi, miundombinu na vifaa tiba vilivyotumika kuanzisha Kituo cha Huduma Pandikizi (IVF) cha Hubert Kairuki. Kituo hicho cha kutoa huduma hiyo kipo Bunju A jijini Dar es Salaam kikiwa na uwezo wa kufanya upandikizaji kwa watu 1,000 kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…