Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi
Mawasiliano: 0756704145
ATTENTION ATTENTION ATTENTION ATTENTION
Mwalimu aliye tyri kufundisha Cambridge curriculum year6.
Mwanafunzi yuko dar seabreeze apartment.
Kwa wiki sikutano sawa na siku20 kwa mwezi na kama upo tyri kulipwa kwa siku20.za mwezi 160,000 basi njoo inbox.
Ukiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako.
Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu...
Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam.
✅ Robot tayari ipo, kazi yako ni kuingia kwenye akaunti, kufuatilia maagizo ya robot, na...
Juzi nikitoka zangu Mtwara huko nikasema nije kupoa kidogo mjini of course I had a company my OG circle wakami invite bahari beach somewhere knows as jungle tukae chill na my nigas a lot of stories Leo nikasema sasa nikawe na relatives wacha NI request bolt kdg ila nipitie njia ya Goba
Aisee...
Viunga gani vya jiji letu la Dar es Salaam unavisikia tu ila haujawahi kufika?
Naanza: nimeishi Dar sijawahi kufika ila nimeshapasikia:
Chanika
Chamazi
Makongo juu
Kivule
Kiwalani
Yombo vituka
Mabwepande
Mburahati
.
Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona
● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka...
Elite Home Tuition Services – Dar es Salaam
Elimu bora nyumbani kwako
Unatafuta maendeleo ya kweli kwa mtoto wako bila usumbufu wa msongamano wa madarasa? Elite Home Tuition tunakuletea walimu bora hadi nyumbani kwa viwango vyote na mitaala yote.
Mitaala yote inafundishwa:
– Tanzania...
Dkt. Mwami, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amezungumzia umuhimu wa kuifufua upya harakati za Upan-Africanism kwa kuanza upya misingi yake ili kuikomboa Afrika. Amesisitiza kuwa uasi si jambo baya, hasa pale ambapo mtu anaamua kuasi mifumo kandamizi kwa lengo la kujikomboa...
Wanawake muwe na huruma aisee, imagine jamaa anatoka na mwanamke mkoani Kigoma vijijini ndani ndani anaenda nae mjini Dar es salaam, anapambana kufa kupona familia ile ishibe na bills zote zilipwe, then mwanamke baada ya kutakata, kupendeza na kuwa mrembo wahuni wanaanza kumvizia, na yeye alivyo...
Kama nchi ni muhimu sana kuwa sehemu ya soko la refurbished ili kukuza wigo wa ajira na kuongeza mapato ya serikali
NIKIWA RAIS DAR ES SALAAM ITAKUWA NI KITOVU CHA BIDHAA ZA REFURBISHED
The global refurbished electronics market is experiencing substantial growth, with a projected market size...
Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji.
Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
Habari wakuu,
Sikutaka kupitia kwa dalali hivyo nimekuja kwenu moja kwa moja kama una mjengo unauza tuwasiliane moja kwa moja na mimi tufanye biashara natafuta mjengo mmoja mkali sana, hata kama sio ghorofa lakini ni Luxury kali sana tunaweza kufanya biashara.
Napendelea kupata maeneo ya...
Wakuu
Naona jimbo la Kawe watu wanalichangamkia sana.
===
Geofrey Timoth amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Timoth amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa Vijana CCM Wilaya, Amos Richard. Jimbo hilo...
Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza Kikao kizito...
Ukiacha zoezi zima la kuzuia ujenzi usio na kibali kugubikwa na Rushwa, wanaodai kulipia hivyo vibali wanadai wamelipa mkononi bila kupewa control number.
Lakini kisheria ni halali kulipia hivyo vibali kwenye maeneo ambayo yapo kwenye mpango wa kurasimishwa?
Mtu anajenga ukuta wa nyumbani...
Kama unatafuta msimamizi wa mradi au kazi nipo. Mikoa miwili napatikana Mbeya na Dar es salaam.
Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
0756704145