dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam

    Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam, nicheki 0756704145
  2. Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam

    Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam, nicheki 0756704145
  3. Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa fedha za kujenga Arena ya kisasa kwa ajili ya kuwawezesha wasanii kupata maeneo rasmi na mahususi kwa ajili ya matukio yao ya kisanii tayari zimekwisha patikana. Akizungumza...
  4. House4Rent Modern Villas for Rent Near Stanbic Bank Head Office, Dar es Salaam

    These beautiful villas are ideally located near the Stanbic Bank Head Office, offering an unbeatable combination of convenience, comfort, and tranquility. The neighborhood is peaceful, family-friendly, and just a short drive to the city center and peninsula areas. Perfect for couples, business...
  5. Polisi kitengo cha Trafiki mnawachekea sana bajaji na daladala.Wanachangia foleni sana barabara za Dar es Salaam

    Huu mji mgumu sana. Foleni zimekua tatizo sana kwa Dar kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea. Sasa vijana wa bajaji na daladala wanaongeza ugumu wa ili tatizo. Angalia kwenye vituo vya daladala mfano riverside au Morogoro rd kwote kwenye vituo vya mwendokasi. Bajaji na daladala...
  6. Plot For Sale at Sokoine drive Dar es salaam

    Plot For Sale. Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station and Dar port. •Perfect for; Yard, Garage, container’s storage, godown. Location: Gerezani street/Sokoine drive. Size: 903sqms. Permit: Residential & Commercial. Document: Title Deed. Price: Tsh 1.5B. For more...
  7. Dar es salaam 25 year project

    Maoni ya mpango wa maendeleo wa miaka 15-25 wa kuifanya Dar es salaam kitovu cha biashara za kimataifa Nicolas Jovin Clinton Gabone Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Mageuzi (JUVIMA)- NCCR-Mageuzi USICHOKE ISOME YOTE Dar Es Salaam, mji mkuu wa kiuchumi wa Tanzania na kitovu cha...
  8. Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

    LINDENI WATOTO WENU LA SIVYO WATAISHIA KUFANYIWA USODOMA Ukiwa masikini hawa wanawake wa mjini wanakuita mdhaifu ila ndio hao hao wa kwanza kufurahia kampani ya hawa chapati
  9. Kama unitaji kukuza biashara mtandaoni nitafute nipo Dar es salaam, Mbezi

    Kama unitaji kukuza biashara mtandaoni nitafute nipo Dar es salaam, Mbezi Nina ujuzi wa IT (information Technology) na digital marketing, graphics design pamoja na kusimamia akaunti zako za mitandao ya kijamii (social media manager). Gharama yake ni 400,000 tsh kwa mwezi, mawasiliano...
  10. R

    GE2025 Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es salaam imemteua Shetta kugombea Udiwani Kata ya Mchikichi

    Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es salaam imemteua Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya na Mwanachama wa Chama hicho, Nurdin Bilal Juma (Shetta) kugombea Udiwani Kata ya Mchikichini Wilaya ya Ilala Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Ally Bananga...
  11. Watu wawili Mbaroni kwa wizi wa Tsh. milioni 105 Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa wanne, wakiwemo wawili wanaodaiwa kuhusika na wizi wa Shilingi milioni 105 na wawili waliokutwa na pikipiki za wizi, katika msako uliofanyika mwishoni mwa Julai na mapema Agosti 2025. Tukio la kwanza lilitokea Julai 27, 2025...
  12. S

    Nasimamia miradi na ujenzi wa nyumba, Majengo na n.k, mkoa wa dar es salaam

    Kama unahitaji msimamizi wa miradi au nyumba inajegwa kwa mkoa wa dar es salaam nafanya kwa bei ya 300,000 Tsh kwa mwezi, elimu yangu ni fundi mitambo ngazi ya stashahada, mawasiliano - 0756704145, dar es salaam, Mbezi.
  13. GE2025 Jimbo la Segerea Dar es salaam tunaelekea kudanganywa tena Oktoba 2025 kwenye Ubunge

    Binafsi nimekuwa najiuliza sana, nchi nzima hii kila jimbo huwa linawakilishwa bungeni na mbunge ambae anaeleza shida za jimboni kwake na kupata utatuzi. Huku Tabata nimeambiwa tupo ndani ya jimbo la Segerea, sasa nikauliza, mbona huu ubovu wa kutisha wa barabara huku Tabata, tena Dar es...
  14. Mnaotamani kuja Dar es salaam hii ndio dar yenyewe je! Mtaiweza?

    Ndugu zetu wa Mikoani hii ndio dar es salaam sasa, huku usafiri wa umma hasa nyakati za asubuhi na jioni bila kuwa mbabe haupandi. Nimewahi kushuhudia dada mmjoa akiwa katika purukushani za kuingia kwenye usafiri ile vuta ni kuvute, akajikuta maziwa yote yapo wazi, na yeye hakujali wala nini...
  15. V

    Unahitaji kuchimba kisima mkoa wa Dar es Salaam karibuni sana well drilling

    ✅JE UNAHITAJI KUCHIMBA KISIMA CHA KISASA CHA MAJI SAFI NA SALAMA KAMA UKO DAR ES SALAAM TUMEKUPA PICHA TU YA WATER TABLE IKO MITA NGAPI KWA MAENEO TULIYOCHIMBA VISIMA Feri_ kigamboni mita 50 Kisota _Kigamboni mita 70 Geza_Kigamboni mita 70 Dege_Kigamboni mita 60 Mbutu kichangani_Kigamboni...
  16. D

    Kwa Mahitaji ya Nyumba, Vyumba Frem Dar es salaam

    Nimerudia Kazi Yangu Jasiri haachi asili! Nimerudi rasmi kwenye kazi yangu ya udalali kwa nguvu mpya na uaminifu ule ule. Karibuni sana kwa huduma bora na zenye uhakika. Ninapangisha: Nyumba Vyumba Fremu za Biashara Eneo: Jiji zima la Dar es Salaam (kwa haraka zaidi maeneo ya Mbezi...
  17. Miji ya Chalinze na Msata kama lango la jiji la Dar es Salaam haipaswi kuwa vile kama ilivyo

    Kama unakaribia Dar es Salaam kama umetokea morogoro ni wazi kwamba ukifia chalinze ni kama unaanza pata picha jiji la dar es salaam, same kwa msata kama unatokea njia ya Tanga ukifika msata ni kama umeanza kupata picha ya Dar es Salaam Ila cha ajabu unapofika chalinze au msata haya maeneo sio...
  18. GE2025 Eng. Godwin Kamala aja na vipaumbele vitatu kwa wananchi wa jimbo la Kawe, Dar es salaam

    ENG. GODWIN KAMALA AJA NA VIPAUMBELE VITATU KWA WANANCHI WA JIMBO LA KAWE, DAR ES SALAAM Mhandisi Godwin John Kamala ambaye aliteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuwa Mgombea Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kawe Jijini Dar es Salaam ameendelea kunadi sera zake kwa Wajumbe wa Kata Aidha...
  19. A

    Natafuta wasafirishaji wa mifungo aina ya nguruwe kutoka mikoa ya singida, mbeya, njombe, moshi n.k kuja dar es salaam bagamoyo. Wadau wa kusafirisha?

    Naomba msahada wa wadau wanasafirisha mifugo au wanaofahamu wadau wa hizo kazi. Kutumia marolli kutoka mikoni kama singida, mbeya, njombe, moshi mwanza n.k. kuja dar es salaam. Kama kunamtu mwenye ufahamu wa gharama au wadau wa kazi za ushafirishaji naombeni msaada.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…