dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. B

    Maji na umeme Dar es Salaam

    Mlioo karubi na Mhesimiwa Rais Samia mwambieni haya: Dar maji imeshafikika lita 20 shilingi mia tano, watumiaji umeme kujipatia mkate wao hawana kazi Sasa mwambieni sifa za Aweso za "NANI. KAMA MAMA, na Makamba za MAJIKO YA GESI KILA KIJIJI kwetu sisi tunotoa zaidi ya 70% ya pato la seriikali...
  2. Mahali ambapo matunda yanapatikana kwa wingi Dar es Salaam

    Naomba kufahamishwa masoko maarufu hapa Dar es salaam ambayo yana utajiri mkubwa wa matunda yanayouzwa kwa bei ya jumla na rafiki. Hii ni kwa lengo la kufungua biashara hii hapo baadaye. Itapendeza kama utaweka bei za matunda hayo hapa. Ziada: Mahali nitakapopata brenda ya kutotumia umeme kwa...
  3. Kitu gani kinaendelea Baa za Dar?

    Kama nilivyoanza hapo juu kuuliza kuna kitu gani kinaendelea ndani ya bar za Dar es Salaam. Mmimi sio mtu wa maji ila napenda kujichanganya na wana siku moja moja kutazama EPL na wana huku tukipata maji na kutoa lock si unajua bhana maji ya baba ni mazuri kwa afya ya kiumbe hai yoyote yule...
  4. DOKEZO DAWASA yatoa notisi ya kusitisha usambazaji wa maji ya Visima kwa baadhi ya Maeneo ya Jiji la Dar es salaam

    Mamlaka ya Huduma za Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imetoa agizo la kusitisha biashara ya usambazaji wa maji ya visima katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es salaam ndani ya siku thelathini (30) kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa kwa wahusika. Agizo...
  5. Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

    Katika ulimwengu wa roho, Dar es salaam ni jiji ambalo wanaishi binadamu na majini. Majini ni nini? In my personal opinion which is based upon my personal understanding of the spiritual world, majini ni viumbe ambao kwa ujumla wao wapo more advanced in technology kuliko binadamu kwa ujumla...
  6. Maeneo ya Dar es Salaam kukosa umeme Oktoba 24 & 25, 2022, TANESCO yasema kuna maboresho ya mitambo

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kukosekana kwa umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kutokana na uwepo wa matengenezo kadhaa, leo Jumatatu Oktoba 24, 2022 kuanzia saa moja asubuhi hadi saa nane mchana. Matengenezo yanayofanyika katika mtambo namba mbili wa kuzalisha...
  7. Kongole Precision air kwa kuongeza idadi ya safari kati ya Dar es salaam kwenda Hahaya- Anjouan

    Shirika la Ndege la Precision Air nchini Tanzania limeongeza idadi ya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Hahaya-Anjouan Comoro hadi mara 3 kwa wiki ikiwa ni wito uliotolewa na Balozi wa Comoros nchini Tanzania kufuatia uwepo wa fursa mbalimbali za utali, kilimo na Afya baina ya Tanzania na...
  8. Walimu 14 Dar es Salaam wanashikiliwa kwa kukiuka sheria katika mitihani ya Darasa la 7

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia Walimu 14 kwa tuhuma za kukiuka sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za mitihani ya darasa la saba iliyofanyika Oktoba 5-6, 2022. Uchunguzi wa suala hili unaendelea na taarifa zitatolewa na mamlaka zinazohusika na masuala ya elimu...
  9. Australia's Got Talent 2022 The Amazing Ramadhani Brothers from Dar es salaam Tanzania

    Golden Buzzer!! Summary Ibrahim and Fadhil stun the Australia's got Talent with heart- stopping stunts. Both Ibrahim and Fadhili made both the judges and the show participants feel the tension through their outstanding acrobatics. Unravelling their journey with The Beat, the two detailed...
  10. Wasafiri Stand ya Magufuli (Dar es Salaam) kupimwa maambukizi ya Vizuri vya Ebola

    Serikali imeweka kituo maalum cha ufuatiliaji wa ugonjwa wa Ebola kwa abiria wanaotoka mikoa ya mipakani mwa Tanzania na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli jijini Dar es Salaam. Akizungumza na EATV mratibu wa huduma za maabara kutoka Manispaa ya Ubungo Nalimi Nacharo...
  11. Uhuni: Korosho sasa kusafirishwa kwa malori kwenda bandari ya Dar es Salaam

    Wakazi wa Mtwara wamepigwa pigo takatifu baada ya kupata taarifa kuwa sasa ni rasmi Korosho hazita pitia bandari ya Mtwara. Utaratibu wa usafiri utakuwa hivi: 1. Mkulima atavuna korosho na kuzipeleka ghalani kungoja wanunuzi ambao hupatikana kwa njia ya mnada. 2. Baada ya Korosho kununuliwa...
  12. Polisi yawakamata Panya Road 14 Unguja, 6 kati yao wametokea Dar es Salaam

    Vijana I4 kati yao 6 wakitokea Dar es Salaam wanaodaiwa kujihusisha na uhalifu kwa kutumia silaha za jadi maarufu kwa jina la Panya Road wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kupora na kujeruhi watu kadhaa Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibu, ACP Richard...
  13. Aidan Eyakuze: Ripoti ya TWAWEZA iliyoonesha kupungua kwa Umaarufu wa Rais ilifanya nipokonywe Hati ya kusafiria

    Waraghbishi ni wananchi wanaofanya kazi ya kuichokoza jamii iweze kujitambua na kuona wao ni watendaji wakuu katika maendeleo ya maisha yao. Zaidi ya waraghibishi 170 kutoka Lindi, Mtwara, Dar es Salaam, Maswa, Mbogwe, Kigoma-Ujiji, Kishapu na Pangani wanakutana Dar es Salaam kufahamiana...
  14. Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

    Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali. Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na...
  15. Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

    Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu? Wengi wapo huko Kanda ya Ziwa, Magharibi, Kusini na Nyanda za Juu Kusini.
  16. DOKEZO Ombaomba wa Dar es Salaam wanamilikiwa na magenge ya kihalifu

    Baada ya Serikali ya Kenya kugundua 90% ya Ombaomba wa Nairobi Wanatoka mikoa ya kanda ziwa na baada ya Serikali kusema itaondosha omba omba wote Dar es Salaam kuwaudisha kwao au kwenye nyumba za wazee imegundulika kwamba wengi wao ni watu from Dodoma na wana ndugu zao na koo zao na mashamba...
  17. Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika

    .
  18. J

    Natafuta mchumba wa kike

    Mimi ni mwanaume umri 37 ni mwl natafuta mschana awe anajipenda na kujiheshimu nipo Dar es salaam 0689104184 siyo uchumba kuoa
  19. Polisi watangaza kuwakamata wahalifu 167 wa Panya Road wakiwemo wanaonunua mali za uhalifu

    Polisi inawashikilia watuhumiwa hao wa uhalifu ambao wamekutwa na TV 23, Redio 2, kompyuta 2, spika 2 na silaha za jadi kadhaa zinazotumika kufanya uhalifu. Pia magari matatu aina ya Toyota Carina na Toyota Noah mbili na pikipiki tano zimeshikiliwa zikidaiwa kutumika katika matukio ya kihalifu...
  20. Kifo Cha Balozi Paul Rupia: Dar es Salaam Tumefiwa

    KIFO CHA BALOZI PAUL RUPIA: DAR ES SALAAM TUMEFIWA Sidhani kama kuna mtu ana ujasiri wa kunyanyua kalamu yake pale Abdallah Tambaza atakapoandika historia yoyote inayuhusu Dar es Salaam iwe matukio au iwe taazia. Naitazama taazia ya Balozi Paul Rupia baada ya kumaliza kuisoma na kuna kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…