dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Kabla hujafika Dar es Salaam, ilikuwa ukisimuliwa habari zake ulikuwa unajenga picha gani kichwani?

    Habari wana JF, Binafsi kabla sijafika Dar nilikuwa na picha ya tofauti kidogo kichwani hasa ubungo na wakati huo anayekusimulia ametoka Dar eti amesahau hadi kilugha si unajua wanyakyusa tena kwa mbwembwe ndizi alianza kuuliza eti zinaitwaje kilugha? na amekuja na mikate ile mikubwa huku...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa Shule ya Msingi Mshikamano iliyopo Kivule, Dar

    Shule inapatikana Wilaya ya Ilala inajumuisha jumla ya madarasa 16, jengo moja la utawala, matundu 24 ya vyoo. Shule imejengwa kupitia mradi wa BOOST na umegharimu jumla ya Tsh. Milioni 475. Zaidi ya wanafunzi 1395 wanatarajiwa kupata elimu kwenye Shule hiyo. Faida za shule Kupunguza...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2024

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2024 https://www.youtube.com/watch?v=N16fn896FLM
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, nilifuatilia cheti cha kuzaliwa Edina kule Rita Dar es Salaam na sasa nimechoka

    Katika kufanya marekebisho ya cheti cha Edina bint yenu, si nikapeleka kila kitu Rita.? Kwanza mchezo ulianza mwaka 2018, nimepigwa tarehe style ya kirudishwa wiki wiki. Piga ni wiki ya ngapi tangu 2018? Basi ndivyo ninavyofanyiwa hadi leo hii. Naelewa kuwa mkono mtupu haulambwi. Inatakiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Scholarship Opportunity for Postdoctoral Position at University of Dar es Salaam March, 2024

    SCHOLARSHIP OPPORTUNITY FOR POSTDOCTORAL POSITION Introduction The University of Dar es Salaam, through funding from the AIR Equity InitiativeP3- Africa Programme, is offering a full-time post-doctoral/sabbatical position for eligible candidates to further their research portfolio. Key...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwaapisha Viongozi Wateule - Ikulu, Dar es Salaam, Machi 13, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=gB61__EG4Uo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 13 Machi, 2024 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha...
  7. JamiiForums Tanzania Mpango Mji wa Dar es Salaam unavyopotea kwa Kasi, Ujenzi bila Mpangalio

    Wadau, nimepita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam katika hali ya kawaida mpango mji haueleweki tena au haufuatwi. Watu wanajenga hovyo sijui kama wanavibali au ni mamlaka zimelala. Baadhi ya vitu vinashangaza, kwa sasa asilimia kubwa ya nyumba zilizopakana na barabara wanaweka frame za...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kijana mkazi wa Dar es Salaam anatafuta bajaji ya mkataba

    Bwana mdogo anatafuta bajaji ya mkataba. Ni mkazi wa Dar. Nimefikisha hitaji lake Jamiiforums kama platform sahihi. Wasifu wake: Ameshawahi kuchukua bajaji za mkataba 2 na kufanikisha kumaliza kikamilifu mkataba. Licha ya kutafuta bajaji ya mkataba ana biashara nyingine pembeni. Karibuni wadau.
  9. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine kusaga juis ya miwa model YF L80

    Mashine n mpya Npe 1.4M Kujieleza 📞📞07
  10. JamiiForums Tanzania Zawadi Pekee kwa Rais Samia ni Wanawake Kuingia Nafasi za Maamuzi Wenyeviti Serikali za Mitaa katika Mitaa 564 Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Dar es salaam Ndugu. Mwajabu Mbwambo, ameshiriki katika mkutano wa waandishi wa habari uliondaliwa na katibu mkuu Uwt Taifa Ndugu Joketi Mwegelo. Ukiwa na lengo la kuwahabarisha wanawake katika kuelekea siku ya wanawake duniani kuendelea kumuunga...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutembelea Mikumi from Dar es salaam

    Habari? Wadau wa utalii na wote wanaoweza kunisaidia kuhusu utalii wa mikumi. Nina Mtalii Mume&Mke tumefanya nao kazi ila wanataka kuona wanyama in cheap and convenient way, nikawaambia mbuga ya kwenda ni mikumi sasa naombea msaada wa gharama ya kutoka morogoro mpaka mikumi,kulala mbugani siku...
  12. JamiiForums Tanzania Nani ana MP3 ya wimbo wa Orchestra Makasi Dar es Salaam jiji umbea mwingi?

    Wakuu naomba mwenye wimbo wa orchestra makassy Dar es salaam jiji umbea mwingi, ukila kisamvu kaza roho mama Mwanza aaaa mteva, shinyangaaa mteva naomba kuwasilisha.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Najuta sana kusomea Dar es salaam

    Mji ulinichanganya sana hata mchumba wangu wa kijijini nikamsahau. Sasa najuta maana hamna nilichoambulia na mchumba ashaolewa kijijini
  14. I

    JamiiForums Tanzania Huduma bandari ya Dar Es Salaam hazijasimama, puuzeni uzushi

    Jamii imepewa wito wa kupuuza taarifa zinazoenea hivi karibuni zikieleza kuwa shughuli za uendeshaji katika Bandari ya Dar es Salaam zimesimama badala yake inapaswa kufahamu kuwa Bandari hiyo imekuwa ikifanya kazi kwa saa 24 tena ikitumia teknolojia ya kisasa katika kurahisisha zoezi la utoaji...
  15. JamiiForums Tanzania TPA: Hakuna Mgomo katika Bandari ya Dar es Salaam

    Jumapili Machi 03, 2024 kupitia mitandao ya kijamii na makundi sogozi, zilisambaa taarifa za kudorora kwa utendaji kazi ya kuhudumia Meli na Shehena katika Bandari ya Dar es Salaam kunakohusishwa na mgomo wa wafanyakazi wenye madai mbalimbali likiwemo kufutiwa mikataba yao ya kazi. Kufuatia...
  16. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata malighafi za kutengenezea sabuni ya maji jijini Dar es salaam?

    Habari wana JF, nataka kumfungulia mwanangu duka la kuuza sabuni za maji. Tayari ameshapata knowledge on how to prepare it kupitia Social Media. Kilichobaki ni mahali pa kupatia malighafi za utengenezaji kama vile: (a) Sulfonic Acid (b) Slesi (c) Soda ash (d) Alca 2 ____________________H2O (e)...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Sehemu safi naweza oga Dar es Salaam

    Hope mmeamshwa salama. Ningependa kujuzwa kama kuna sehemu safi Dar wanayotoa huduma ya bafu / kuoga tu (bila kujali kama mtu amelala hapo kwao). Kama zipo za karibu na Ubungo, ingependeza zaidi. Natanguliza shukrani
  18. JamiiForums Tanzania Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavyo jieleza. Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam. Kama unayo dukani kwako taja bei yako na location ya duka lako bila kusahau mawasiliano yako.
  19. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Korea ya Kusini upo sehemu gani hapa Dar es Salaam

    Habari wakuu, Nahitaji kufika ubalozi wa Korea ya Kusini mida hii. Naombeni location, nimejaribu kutafuta Google naona picha picha.
  20. JamiiForums Tanzania Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

    Kuna kitu sijui naweza kusema ni nini, maana si ndege kwa muonekano wa taa ulivyokuwa mrefu, ila nimeshindwa kuelewa kwa sababu ya giza. Kimetokea uelekeo wa Bagamoyo kwenda kigamboni, mliopo huko hadi mbagara mnaweza kutujuza au anayeweza kuelewa ni kitu cha aina gani. Kwenye komenti No. #7...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…