Kutumia sponge kupika chapati ni salama kiasi gani kwa afya za walaji?

Jun 27, 2016
1
3
Kumekuwa na tabia ambapo wapika chapati wengi mitaani hasa migahawa ya jioni hutumia sponge/vipande vya godoro kupika chapati.

Je, bidhaa hiyo ni salama kwa kutumika kupikia chapati? Kama kuna Wataalamu wa Afya naomba kujibiwa ama ni uelewa wangu mdogo kuhusu usalama wa chakula na sponge hizo;

Naomba kueleweshwa kuhusu suala hili

Pia soma:Utayarishaji chapati kwa kutumia sponji ni tishio kwa afya ya mlaji
 
Aliyekwambia sponji ni kipande cha godoro nani?

Nenda dukani kaagize sponji uone watakata godoro?
 
Godoro ni spnge ila sponge sio lazima liwe godoro.btw mim huwa sili chapat nikishakuta tu jamaaa anasukuma ila anachoma na sponchi.wamama nyumban hutumia kitambaa safi cheupe skiu hiz wanaona kitambaq kizqman wanatumia magodoro.ambayo yana disolve in due time
 
Sasa hapa ndo umeandika nini, hauli chapati za sponji ila nyumbani mnatumia magodoro!
 
Back
Top Bottom