Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Natanguliza shukran zangu kwenu
Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana
Kikubwa tu tupendane
Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo
Pia na kwa wale...
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto
1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi
2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo
3:TIN ya mnunuzi
4: Kiapo cha umiliki
5: Picha...
Tabia hii ife kabisa msiwe mnajimaliza sana kwanini lakini Grahams Half american Zulu man MENEMENE TEKERI NA PERESI De Opera Gily Gru Labella Monetary doctor Fake P
Shirika la Reli Tanzania (TRC), linapenda kutoa pole kwa abiria waliokuwa wakisafiri kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma Januari 8, 2025 kufuatia usumbufu uliojitokeza kutokana na hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika kituo cha Ihumwa Dodoma majira ya saa 5:38 usiku.
Tunajua kuwa safari...
To: President, Bishop Wolfgang Pisa, OFM
Tanzania Episcopal Conference (TEC)
Kurasini Centre
P.O Box 2133
Dar es Salaam.
7 January 2025
Mhashamu Baba Askofu Pisa,
YAH: MAMBO YANAYOISIBU SAUT MWANZA.
Tumsifu Yesu Kristo.
Kwanza nikupe hongera kwa kuchaguliwa kwako kuwa Rais wa TEC...
Anonymous
Thread
bishop
conference
dardaressalaam
january
kurasini
president
tanzania
tanzania episcopal conference
tec
Baadhi ya Watu waliotoa ripoti za kuibiwa simu katika vituo vya Polisi Stakishari Ukonga Jijini Dar es Salaam na katika Kituo cha Kilwa Roads Police wanasema kila wanapofuatilia simu zao zilizoripotiwa kuibiwa huzikuta kwa watu ambao wamezinunua kutoka kwa watu waliopewa simu hizo na maafande...
Ninauza kiwanja cha sqm 4400 - 5000 kiko Lingato ambayo iko wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam mpakani na Lugwadu ambayo iko Mkuranga Pwani. Ni maeneo jirani na kwa Pinda Kigamboni. Bei maelewano
nicheki 0783677210
Husika na mada tawa hapo juu, huu ni mwaka Wa pili, chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamekataa kutoa kadi ya bima kwa wanafunzi. Huwezi kufanyiwa registration hadi ulipe ela ya bima na costs nyigine, lakini hawatowi kadi za bima. Wanatoa tu namba ya bima. Hii imekuwa changamoto kupata...
Huyu bwana ni wazi anasumbuliwa sana na uovu aliofanya Dar es Salaam, ambao ulitia ndani kuteka na kuua watu. Sasa hili linamchanganya sana kiakili, na huenda anapata ndoto na maono yanayomvuruga kichwa kutokana na damu alizomwaga moja kwa moja au kuratibu mipango ya damu hizo kumwaga...
Heri ya mwaka mpya!!!!
Ni matarajio yangu nyote mmevuka salama, Ndg zangu nataka kwenda Kampala Uganda 🇺🇬 kukaa siku 10.
Sasa basi naomba msaada wenu mnipe taarifa kuhusu gharama za nauli kwenda, malazi na sehemu nzuri za kufikia, masoko ya nguo za mitumba.
Nataka nisafiri kwa bus, je ni...
Dar es Salaam, 01 Januari, 2025:
Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba – Desemba 2024) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trilioni 8.741, sawa na ufanisi...
Siku hizi ukitembea katika jiji la Dar es salaam, hali imekuwa si hali ni makelele mtindo mmoja. Hakuna utulivu kabisa.
Ukienda masokoni kila mwenye kibanda chake ana spika na rerding inayoita biashara yake non-stop kuanzia asubuhi saa mbili hadi usiku au jioni mida ya kufunga kazi.
Wakati...
Wahitimu wa Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Upanga Dar Es Salaam wapo katika wakati mgumu baada ya chuo hicho kushindwa kuwapa vyeti vyao vya kuhitimu bila maelezo yanayoeleweka.
Hatua hiyo imekuja mwezi mmoja baada ya wahitimu hao kutunukiwa shahada za umahiri na aliyekuwa Makamu wa Rais wa...
Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry akaniita ati nimwonyeshe simu yangu my gallery eti nimepiga picha ilhali sijapiga picha kabisa...
Anonymous
Thread
dardaressalaam
ferry
from
kenya
kigamboni
kuelekea
mimi
recently
Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa.
Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri.
Kuna...
29 December 2024
Dar es Salaam
Maandamano ya Jubilei Jimbo Kuu jijini Dar es Salaam 2025
https://m.youtube.com/watch?v=hDK2Hmt-zN8 yaliyoanzia kanisa la St Peters lililopo Oysterbay Mbuyuni hadi kanisa kuu la St Joseph eneo la Posta katika ya jiji la Dar es Salaam eneo la Posta.
Huko Tabora...
Kabla ya yote, Maisha ni Mahusiano
Dar es Salaam kama yalivyo majiji mengi kuna idadi kubwa ya watu.
Na sehemu kubwa ya hao watu ni vijana.
Kila mwaka kuna idadi kubwa ya vijana wa kike na kiume wanaingia jijini, iwe kutafuta elimu, kutafuta kazi, na hata kutembelea ndugu. Na wengi hapo...