Kweli sisasa ni mchezo wa ajabu, usio na rafiki wala adui wa kudumu.
Marekani imewekea vikwazo makampuni ya kichina na ya waasi, hususani kundi la PARECO, lililokuwa likiendesha mgodi wa Rubaya, ambao madini yake ni mhimu wa kampuni za Marekani, kwa mahitaji ya viwanda vya siraha na teknolojia...