Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.
Mwezi January mwaka huu 2026, kampuni ya mabasi ya mwendokasi MOFAT ilituma ombi kwa LATRA kwamba walikuwa wakipata hasara ruti ya Mbagala kutokana na uwepo wa bajaji, bodaboda na daladala. Sisi wa zamani tunakumbuka wakati wa zoezi la ubinafsishaji sekta ya benki, benki binafsi za nje walitaka...
Leo nilikuwa naenda town, bahati mbaya gari nililosimamisha lilikuwa limejaa. Sasa bhana kuna Mdada mwenye Makebo Makubwa akawa amesimama mbele yangu.
Sasa Gari likaondoka ee bhana ya Mungu mengi, kutokana na msongamano, akawa ananigusa mara kwa mara kila gari lilipopiga breki au kuondoka...
Wanannchi tunaoishi Moshono, Arusha, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya usafiri, hususan nyakati za asubuhi tunapoelekea makazini.
Kwa muda mrefu, bajaji zilikuwa msaada mkubwa katika kuturahisishia usafiri, lakini kwa sasa zimezuiwa kuingia na kufika Moshono kutokana na vikwazo vinavyowekwa...
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polis (ACP)Zauda Mohamed, amewaomba wamiliki na madereva wa vyombo vya moto vinavyotoa huduma za usafirishaji maarufu kama “daladala” mkoani humo kukaa pamoja na mamlaka husika, ikiwemo Jeshi la Polisi, ili kutafuta...
Kwanini daladala za Mbeya wanachukua nauli shs 1000 badala ya nauli halali ya shs 700-800.
na wakati umbali hauzidi hata km 10 ??
Mfano kutoka Uyole hadi Kabwe au Mwanjelwa ni Km 7 lakin tunalipa 1000, lakini pia hata ukiwa unashuka vituo vya njiani wanatoza 1000
pia kituo hadi kituo nauli...
Makonda wa daladala za Masaki-Gerezani wamekuwa wakichukua nauli iliyozidi.
Nauli ni 700 wao ukiwapa hela kama 1000 na kuendelea wanakukata 800 kwa kisingizio cha kukosa chenji.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli
Hili gari linatoza nauli tofauti na kilichoandikwa hapo, abiria ukilalamika wanasema mafuta yako juu, kwani sisi wananchi sauti zetu tuzipaze wapi?
Kinyerezi hadi Mlimani City abiria unakatwa shilingi 1,000 wakati ticket inasoma 900, hili gari konda na dereva wake wanajiona LATRA.
Pia soma ~...
Waendesha baiskeli maarufu kwa jina la daladala katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Simiyu wameongeza nauli kutoka Sh500 hadi Sh1,000 kwa safari za ndani, wakidai hatua hiyo imetokana na kupanda kwa bei ya mafuta pamoja na gharama nyingine za maisha.
Hatua hiyo imeanza kuonekana katika baadhi...
Wakazi wa Kimanga, Dar es Salaam, wataanza kukumbana na adha ya usafiri kuanzia kesho baada ya wamiliki wa daladala zinazotoa huduma katika barabara hiyo kutishia kuanza kugoma.
Hatua hiyo imefikiwa kama njia mbadala ya kushinikiza mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kutengeneza barabara ya...
Tunapata changamoto Magari ya Mbezi To Makumbusho Via Kimara Hayapakii Ruti Ya Makumbusho yanaishia Magomeni Ni Kero Kwa Abiria Wengi Ndani ya Stendi ya Mbezi Luis.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli
Anonymous
Thread
abiria
daladaladaladala za mbezi
magomeni
makumbusho
mbezi
Hawa LATRA Arusha ni kama wana share kwenye vyombo vya usifiri au kuna bahasha wanapitiziwi ili wakae kimya.
Nauli mpya zimeanza kutumika mei mosi, ila cha ajabu Arusha ndio sehemu pekee Dalaladala wana kiwamgo chao cha nauli nje ya nauli zilizo tolewa na LATRA na mbaya zaidi LATRA wapo...
Abiria na kondakta wa daladala wameingia kwenye mzozo wa kurushiana ngumi na kushikama mashati kutokana na kutoelewana kuhusu nauli mpya ya Sh 700 katika safari ya Mbezi Makumbusho kupitia barabara ya Morogoro.
Tukio hilo limetokea leo majira ya saa 2:40 asubuhi baada ya abiria mmoja kudai kuwa...
Hii ni Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule ni mbovu sana kiasi kwamba hata daladala zinakuwa chache, wananchi wengi wanaotegemea usafiri huo wanapata tabu sana, sababu watu wanaogopa kupeleka magari huko barabara ni mbovu vyombo.
Wakipeleka zinakuwa katika mazingira ya kuharibika, tunatoa wito...
Jina la Daladala kwa mabasi ya safari za mjini (Town trip) limeanza wakati nauli ikiwa sh.5 tu.
Leo tunaongelea nauli ya tshs.1000 kwa route ndefu hivyo tunaomba Mh Rais atusaidie na Sisi magari yetu yaitwe Buku Buku badala ya Daladala kama alivyofanya Kwa waheshimiwa Mamalishe.
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza viwango vipya vya nauli kwa mabasi ya masafa marefu, mabasi ya mijini (daladala), teksi mtandao pamoja na pikipiki mtandao.
Tangazo hilo limetolewa jana Ijumaa Aprili 17, 2026 kupitia Gazeti la Serikali ambapo zitaanza kutumika siku 14...
Wakuu kwema, katika kutafuta riziki, ninatoa huduma ya kusafirisha abiria jijini, magari yangu yote 5 yanaanzia Mbagala kwenda mjini na sehemu nyingine za jiji.
Jana saa 6 usiku nimewapigia madereva wangu wote kwenye conference call kupitia group la Whatsapp kuwaamuru wawajulishe makondakta...
Zaidi ya Madereva 400 wa Daladala katika Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela, wamesitisha huduma kwa muda wakisubiri kauli ya serikali kuhusu upandishwaji wa nauli baada ya kupanda kwa bei ya mafuta.
Soma pia LATRA: Kupanda kwa bei ya Mafuta sasa, hakuathiri Nauli
Chanzo: ITV
Ni mara kadhaa nimewahi panda gari konda na dereva wakawa wamepishana kauli hawaelewani wanagombana, ila hii ya leo walizidi.
Leo nimepanda daladala kutoka Tegeta kwenda Mwenge, konda na Dereva wakawa wanagombana, ugomvi wao ulianza kabla sijaingia hivyo sijui chanzo hasa cha kupisha kwao...
Kuna siku sikulipa nauli, ndani kulikuwa giza, afu nilikaa na limama libonge, kwa hiyo kondakta hakuniona.
Sasa juzi daladala ilijaza kwelikweli. Me nilibatika kusimama. Sasa kuna mdada mrembo huyoo! Alisimama nyuma yangu, afu mbele yangu, kulikuwa na jamaa. Tulikuwa tunashusha(kitonga hiyo)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.