daladala

Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Emily magnus

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Daladala bwana! Kuna vituko sana

    Kuna siku sikulipa nauli, ndani kulikuwa giza, afu nilikaa na limama libonge, kwa hiyo kondakta hakuniona. Sasa juzi daladala ilijaza kwelikweli. Me nilibatika kusimama. Sasa kuna mdada mrembo huyoo! Alisimama nyuma yangu, afu mbele yangu, kulikuwa na jamaa. Tulikuwa tunashusha(kitonga hiyo)...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je, na zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG Nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG ni Sawa na TZS 1550

    Je zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG Ambayo ni Sawa na Lita 1 ya Petroli/Dizeli ni TZS 1550 tu. Kufuatia kuongezeka kwa bei za mafuta katika soko la kimataifa, hali hii mara nyingi husababisha ongezeko la...
  3. Fortyseven

    JamiiForums Tanzania Badala ya mafuta twende na daladala na magari ya serikal ya gesi na umeme

    Hivi ndugu zangu watanzania haiwezekani kwa wasomi tulionao hapa bongo au hata wa kuazima tukazibadili daladala zilizopo na magari ya serikali yatumie gesi asilia kuliko kutegemea mfereji wa Hormuz? Au kwanini serikali isipitishe sheria kuanzia 2030 magari na daladala malori na magari ya...
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Daladala Mwanza, Dar es salaam zaomba kusitisha huduma ya usafiri kuanzia kesho tarehe 09

    Saa chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra) kutangaza kuongeza muda wa wiki mbili zaidi wa kupokea maoni kuhusu mapitio ya nauli, Umoja wa Wasafirishaji Abiria Dar es Salaam na Mwanza umeomba kusitisha kutoa huduma. Kwa mujibu wa wasafirishaji hao, sababu kuomba...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Gari used Missubish Rosa au Nissan Civilian kwa ajiri ya biashara ya daladala

    Ndugu zangu kuhangaika hakuishi, mwenye connection ya mahali napoweza kupata gari nzuri kidogo ambayo ni ktk hali ya Used hapa Bongo. Nataka nijilipue kwenye biashara hizi pasua kichwa za Daladala Ktk utafiti wangu wa swali naona kama Nissan Civilian au Mitsubishi Rosa itanifaa.. Tuwekane Sawa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote

    Hivi kwanini daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote? Yanatakiwa kuishia Buza lakini hayafiki yanaishia Tandika. Hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka miwili sasa nah atua hazichukuliwi kama nilivyosema.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Responded Marekebisho ya vyoo Stendi ya daladala Mbezi Luis yameanza kufanyika

    Leo Februari 2, 2026, nikiwa katika harakati zangu, nilipita Stendi ya Daladala Mbezi Luis maarufu Mbezi Mwisho na kushuhudia ukarabati wa vyoo ukiendelea. Awali, niliwahi kuona andiko hapa JF likieleza changamoto za miundombinu hiyo, hususan baada ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Justine Kalikawe: Mwanamziki wa Reggae Mtanzania, Ndio kwa mara ya kwanza nasikia wimbo wake kwenye Daladala leo

    Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI" AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ajali: Daladala lagonga kingo za barabara na kusababisha vifo

    Usiku huu muda wa saa tano usiku imetokea ajali mbaya ya barabarani. Gari ya abiria inayofanya safari zake kutoka Mbagala kwenda Kigamboni ilipoteza uelekeo na kugonga kingo za barabara na kusababisha kupinduka korongoni. Ajqli hiyo imetokea katikati ya Mikwambe na Kijichi jirani na kituo cha...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: "Hu arr yuu"- kumbe ilikuwa nguvu ya mshika bomba la daladala!

    . Ulanzi si maji. Na ukiutwika kisawasawa, simba utamwona kama paka tu. Na kwa uhakika utamwambia hata huyo simba " Gerra raa hia!" Siku ya pili ndo unajiuliza, hivi nilisemaje vile? Tanzania Distilleries asante kwa kinywaji chenye pawaa!! Za chinichini
  11. Think2

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa askari wa jeshi kupanda daladala za jerojero

    Askari unapandaje daladala za jerojero?? Umeshindwa hata kununua ka IST asee . Unatoka umepiga zako kumbati unaingia kwenye daladala za kulipia jerojero ni aibu.
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazee waanza kukosa seat kwenye daladala, GenZ hawana utani

    GT Sasa hali ni tete kila mtu atakula anakopeleka mbegu. GenZ wameamua kuwakomoa wazee wanaotia tia huruma huku wamesimama. Kitendo cha kushangilia na kupiga makofi mbele ya Samia akijitamba kuua watanzania kimewaudhi sana GenZ. Ngoja tuone mpaka mwisho movie itakuwaje
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mdau Huwa unasalimia mtu unayekaa naye siti moja kwenye daladala au unakaushaga

    Habari wakuu Binafsi mimi huwa na mikausho mikali sana ili kutojipa stress maana wengi kwenye dala dala wanakuwa kama wamevurugwa hivi, unaweza kusalimia mtu halafu akakunyamzia. Vipi Wewe unatabia gani kwenye daladala ? #Oktoba_tunatoka
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Moto ulivyozua hataruki kwa abiria daladala ya Gongolamboto Masaki

    Abiria ambao walikuwa kwenye usafiri wa daladala Eicher T 798 EDZ walijikuta katika taharuki baada ya gari hilo ambayo walikuwa wanasafiria kutoka Masaki kwenda Gongolamboto kuwaka moto kwa chini. Moto huyo uligundulika na Wananchi ambao wapo nje ya gari hiyo na kusaidia gari hiyo kusimama na...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwendokasi Kivukoni-Kimara imezidiwa, daladala ziruhusiwe

    Aisee najua watz wengi wenye maisha ya kawaida hutumia usafiri huu ili kupunguza gharama za maisha. Njia ya Kivukoni - Kimara ina bajaj lakini bado mwendo kasi ni vita ya kufa na kupona ambapo hali hii sio tu ni madhara kwa watumiaji bali pia kwa magari yenyewe na miundombinu. Inaonekana kabisa...
  16. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni mtamu ila kuna muda ni mchungu kula chuma hicho

    Kama Video inavyojielezea
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, Tanzania hakuna usafiri wa mwendokasi ila daladala za kawaida zinaweza kugeuzwa mwendokasi

    Kinachotakiwa ni kuweka dalala katika madaraja mawili ya nauli kama ilivyo katika vivuko ferry(Azam na cha serikali). Mfano Makumbusho mpaka posta zinawekwa daladala ambazo nauli ni shillingi 2,000 na inakuwa hakuna kupakiza abiria njiani itakapotoka stendi mpaka itakaposhusha abiria wote posta...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Udiwani kata ya Kariakoo Haji Manara akiomba kura ndani ya Daladala

    "Tunapita mtaa kwa mtaa, kijiwe kwa kijiwe, Namuombea kura Rais. Mimi nagombea Udiwani Kariakoo, watakaopiga kura Kariakoo naomba kura kwangu lakini muwachague wabunge wangu wa CCM na madiwani" Alisema Manara na kuongeza kuwa. "Nimeingia kwenye hii daladala, Naomba kura. Na maana ya kupita...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kitila Mkumbo aomba kura kwenye daladala

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Alexander Mkumbo leo Septemba 12, 2025 amefanya kampeni za aina yake kwa kuomba kura kwa abiria walio ndani ya Daladala zilizokuwa zinachukua abiria katika Kituo cha Riverside, Ubungo Dar Es Salaam. Kitila...
  20. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania KERO Daladala kupakia/kushusha abiria popote wanapojisikia kunasababisha foleni, Mamlaka zimeshindwa kuwadhibiti?

    Kumekuwa na 'Trend' hivi karibu kwa wasifirishaji abiria Mjinia "DALADALA" kukwepa Vituo Rasmi vilivyotengwa kwaajili ya Kupakia na Kushusha abiria na kisha kuegesha njiani ili kumzui mwenzake aliye nyuma asimpite. Hii imekuwa Kero kubwa sana ambayo husababisha foleni na msongamano mkubwa wa...
Back
Top Bottom