Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 821
- 1,501
Kuna siku sikulipa nauli, ndani kulikuwa giza, afu nilikaa na limama libonge, kwa hiyo kondakta hakuniona.
Sasa juzi daladala ilijaza kwelikweli. Me nilibatika kusimama. Sasa kuna mdada mrembo huyoo! Alisimama nyuma yangu, afu mbele yangu, kulikuwa na jamaa. Tulikuwa tunashusha(kitonga hiyo). Sa dereva aliminya breck mara kadhaa, akawa kama anachekecha. Sa si tulikuwa tumebanana, yule dada akawa ananichegamia(kwa mbali nikawa nasikilizia joto). Wacha mshipa usimame!
Nikawa naogopa yule jama atasema namtamani. Qudaadeq mshipa ukazidi kuchachamaa. Nikajaribu kujisahaulisha nisimuwaze yule dada, yaan ndo kwaanza navuta picha yupo kitandani. Uzuri nilikuwa nimevaa kiboksa cha mpira(cha kubana). Kwa hiyo jamaa haushtukia. Ila baada dk 2 mambo yakawa sawa.
Hebu nawe tuambie, tukio gani lilikukuta kwenye daladala likakupa taabu au furaha.