Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.
Kinachotakiwa ni kuweka dalala katika madaraja mawili ya nauli kama ilivyo katika vivuko ferry(Azam na cha serikali). Mfano Makumbusho mpaka posta zinawekwa daladala ambazo nauli ni shillingi 2,000 na inakuwa hakuna kupakiza abiria njiani itakapotoka stendi mpaka itakaposhusha abiria wote posta...
"Tunapita mtaa kwa mtaa, kijiwe kwa kijiwe, Namuombea kura Rais. Mimi nagombea Udiwani Kariakoo, watakaopiga kura Kariakoo naomba kura kwangu lakini muwachague wabunge wangu wa CCM na madiwani" Alisema Manara na kuongeza kuwa.
"Nimeingia kwenye hii daladala, Naomba kura. Na maana ya kupita...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Alexander Mkumbo leo Septemba 12, 2025 amefanya kampeni za aina yake kwa kuomba kura kwa abiria walio ndani ya Daladala zilizokuwa zinachukua abiria katika Kituo cha Riverside, Ubungo Dar Es Salaam.
Kitila...
Kumekuwa na 'Trend' hivi karibu kwa wasifirishaji abiria Mjinia "DALADALA" kukwepa Vituo Rasmi vilivyotengwa kwaajili ya Kupakia na Kushusha abiria na kisha kuegesha njiani ili kumzui mwenzake aliye nyuma asimpite.
Hii imekuwa Kero kubwa sana ambayo husababisha foleni na msongamano mkubwa wa...
Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema.
Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
Kwanza kabisa samahanini Dada zangu sina lengo baya ila ni kuwekana sawa.
Naelewa kuna changamoto sana katika masuala ya usafiri muda mwingine hamna namna kabisa inabidi tubanane mithili ya kukumbatiana.
Ila inapokua haina ulazima wa kufanya hivyo basi baadhi ya kina Dada mliobarikiwa mizigo...
Ni wazi, LATRA kama chombo cha udhibiti kimeshindwa kudhibiti tabia ya Makondakta na Madereva wa daladala za Segerea-Kawe kuongeza nauli kiholela.
Ikifika jioni, daladala hizi zimekuwa na utaratibu wa kuongeza nauli kinyume na sheri, zikidai wastani wa Tsh. 1000-2000 kwa baadhi ya siku.
Kwa...
Siku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga uncle (kwani nimezaliwa na mama zao?).
Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza...
Najua hii posti akiona ndugu yangu Lucas lazima atabubujikwa na machozi ya furaha..
Lakini kwa jinsi mwaka huu ulivyo baada ya Chadema kujitoa kwenye uchaguzi Sisiemu hakuna wa kushindana nao..
Hizo gharama ikiwemo na yale mabasi ni bora kuyapeleka kwa wananchi tu..
Sioni ulazima wa kutumia...
Wakuu,
Naomba kuwasilisha kero inayowakabili wananchi wanaotumia usafiri wa daladala kutoka Mbezi kupitia Goba - Kawe na zile zinazoelekea Makumbusho.
Nyakati za asubuhi, kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa daladala. Magari yaliyopo kwenye ruti hii yanaonekana kuzidiwa uwezo, kiasi kwamba...
Siku chache baada ya Mwananchi kutoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuhusu njia ya Makongo Juu kuwa na uhaba wa Daladala mamlaka hiyo imetoa mwongozo ukiwataka Wadau kujitokeza kuongeza huduma ya usafiri katika njia hiyo.
Taarifa ya LATRA imeeleza "Katika hatua ya...
Mimi binafsi nimewahi kushuhudia mtu akilia kwa uchungu baada ya kusahau pochi yenye kila kitu kadi, hela, vitambulisho kwenye siti ya daladala. Hakujua hata jina la gari, wala namba. Hakujua pa kuanzia.
Kwa nini daladala zetu hazina mfumo wowote rasmi wa kutunza vitu vinavyosahaulika?
Wakuu...
Watu wa kimara wanateseka sana na ni mda mrefu sasa sahivi hata mtu akitaka kuhamia kimara na anafanya kazi posta au kariakoo na hana usafiri bnafsi basi anajifikiria mara kumi kumi sababu ya adha ya usafiri wa mwendokosi
Magari ni machache usafiri ni wa kugombania sana, kuna watu wanafika...
Yaani Jiji la Mbeya kuna mambo ambayo siyo mazuri na tukikaa kimya yataendelea, mojawapo ni hili suala ninaloenda kulizungumza leo.
Hivi LATRA Mbeya mmeshindwa kabisa kutatua hii kero ya Daladala kukatisha route?
Yaani Daladala inatoka Uyole inaishia Kabwe, abiria wanapata shida huku wengine...
Kuna watu hawana soni kabisa unawezaje kuwa kwenye daladala ya umma halafu ukipigiwa simu unaongea kwa sauti ya juu sijajua lengo la watu wa aina hii kwamba wote tukusikie au ni kutafuta approval kwamba wewe ni nani. Utapeli tu
Kwani Sisi waafrika tuna laana gani jamani?
Hivi ni akili gani pale Morogoro kugeuza kituo cha daladala parking na kuacha daladala zishushe abiria sehemu ambayo hakuna kituo?
Ni nani aliyeturoga jamaniiiiiii!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.