Simu ya infinix inajaa chaji kwa dakika 10

DUMEGUY

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
500
204
Kampuni ya infinix wamemtumia Concept phone 2021 unbox therapy na kuizungumzia pia kushangazwa kwa kujaa chaji kutoka 0 hadi 100 ndani ya dakika 10 tu.



7B1CF504-0B9A-4B5A-954E-0677D606F8E4.png

55F10916-6795-429C-936E-5F59B00E2692.png
 
Betri litakufa mapema

Yeah litakufa mapema kabisa wanasema hizo wanazoziita ultra fast charger ndio zinaua battery mapema linakuwa halina hata maisha marefu. duh dakika 10 nataka jujua battery life vipi linakaa au ndio unacharge dakika kumi unatumia nunu saa tu

Nahis tunaendea kwa ile air charge...concept ya xiaomi ya device kuwa charged bila ya waya wala wireless charger hewan hewan hiyo
 
Ndio maendeleo haya. Nakumbuka zamani ukinunua diskava unachaji saa24 hata kama imejaa unaambiwa iache tuu kwenye moto.😂😂😂😂😂 Tumetoka mbali sana
 
Dah....how? Jifunze mifumo ya kuchaji inavyofanya kazi.....chaji ni nishati...ina hisabatu zake za kuingia....ina hisabati jinsi inavyotoka
wacha ubishi,hawa jamaa zenu wanakuja na kitu ambacho wengine waliishafanya.

oppo amefanya majaribio na chaja yake ikaonyesha uwezo wa kujaza 100% ndani ya 8.akarudisha utafiti kabatiti kwanza maana battery inaishiwa ubora mapema.
 
Hamna tatizo hayo ni maendeleo ya technologia. Inamaanisha hiyo battery inakuwa vi-battery vidogo vidogo vingi ndani (selli ndogo nyingi) ambavyo vichajiwa kila kimoja kivyake kwa umeme mdogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom