TTCL yarejesha vifurushi vya zamani vya DATA, SMS na DAKIKA

pendolyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
504
500
Katika kutii agizo la Serikali lilitolewa April 2 la kusitisha gharama mpya za vifurushi, TTCL Corporation April 3 ilianza na kukamilisha mchakato wa kurejesha gharama za zamani za vifurushi"Kaimu Mkurugenzi wa Biashara Leonard Laibu

Tunapenda kuufahamisha umma wa watanzania kuwa shirika linaendelea kuwajali watanzania na wateja kwa ujumla kwa kuwapa huduma bora za mawasiliano"kaimu Mkurugenzi wa Biashara Leonard Laibu

Kuendelea kwa vifurushi vya zamani kulitoa fursa kwa wateja wa TTCL na wananchi kuendelea na kutumia huduma za mawasiliano"kaimu Mkurugenzi wa Biashara Leonard Laibu

Tunapenda kuwataarifu RASMI watanzania kuwa vifurushi vyetu vya zamani vimerejea kama kawaida,hivyo tunawaalika watanzania waendele kufurahia Huduma zetu"Kaimu Mkurugenzi wa Biashara Leonard Laibu

Tunawakaribisha Watanzania ambao hawajarudi nyumbani, basi watembelee mawakala wetu ambao wamesambaa maeneo mbalimbali nchini au kutembelea vituo vyetu vya Huduma kwa wateja ili waweze kusajiri laini zetu"kaimu Mkurugenzi wa Biashara Leonard Laibu

Tunawahakikishia Watanzania tutaendelea kutoa Huduma za mawasiliano kwa weledi na ubunifu ili kukidhi mahitaji ya wateja wetu na Watanzania kwa ujumla"kaimu Mkurugenzi wa Biashara Leonard Laib.

IMG_20210420_154142.jpg
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
6,064
2,000
TTCL mbona walirudisha vifurushi vya zamani kesho yake baada ya Tangazo la TCRA? 1000 Tshs napata 1.2GB dk 10 za mitandao yote, sms 50 kwa siku 5....speed yake sasa 3G utadhani 4G, zile muvi kubwa za torrents najiunga na kifurushi cha #Bandika BAndua usiku saa 6 nadownload GB nying tu kwa sh. 1000!

Samahaniu nimeandika utadhani ni afisa masoko wa TTCL, mimi ni mwananzengo tu, nipo zangu kijijini, ila penye kusifia lazima tusifie bwana! Au nasema uwongo wanajF
 
wakuja town

JF-Expert Member
Oct 26, 2020
875
1,000

Vp 40 ya mwendazake ni lini mkuu, samahani lkn.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
103,722
2,000
TTCL mbona walirudisha vifurushi vya zamani kesho yake baada ya Tangazo la TCRA? 1000 Tshs napata 1.2GB dk 10 za mitandao yote, sms 50 kwa siku 5....speed yake sasa 3G utadhani 4G, zile muvi kubwa za torrents najiunga na kifurushi cha #Bandika BAndua usiku saa 6 nadownload GB nying tu kwa sh. 1000!
Samahaniu nimeandika utadhani ni afisa masoko wa TTCL, mimi ni mwananzengo tu, nipo zangu kijijini, ila penye kusifia lazima tusifie bwana! Au nasema uwongo wanajF
Inatumiwa na nyinyi lumumba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom