cryptocurrency

  1. Kama na wewe ni kijana wa kitanzania na una hii tabia basi huu uzi unakuhusu

    Najua vijana wengi wa kitanzania hasa wa umri kuanzia miaka 17 na kuendelea, huwa tunapenda sana kujifunza fursa mpya zinazotokana na maendeleo ya sayansi ya teknolojia. Kwa sasa ukiangalia, vijana wengi sana wanatumia muda wao mwingi kujifunza njia mbali mbali za kujiingizia kipato kupitia...
  2. M

    Forex trading Vs cryptocurrency

    Habari wadau. Naomba kujua utofauti kati ya Forex trading na Cryptocurrency ili nijue nakaa wapi ili niwe vizuri zaidi
  3. Wadau wa Cryptocurrency njooni tushauriane coins za kununua!

    Nafahamu Jf ni jukwaa kubwa lenye wadau wa kila aina! Hivyo basi kupata wadau wanaojihusisha na hizi coins either kutrade au kuhold itakuwa si jambo la ajabu. Kwa upande wangu nimeanza kutengeneza portfolio kwa ajiri ya long term investment(miaka 15 mpka 20), lengo ni kufikisha usd 2000 mpka...
  4. Michongo 10 itakayo kuingizia pesa kwenye blockchain & cryptocurrency 2025".

    Leo nataka nizungumzie Namna 10 unazoweza kujihusisha nazo kwenye Blockchain Technology & CRYPTOs na ukapiga pesa. TAHADHARI: Mimi sio mshauri wa mambo yako ya kifedha. Mambo yote niliyoandika hapa ni kwa ajili ya kutoa ufahamu/elimu/uelewa tu. Hakikisha unamtafuta mshauri wako wa masuala ya...
  5. Uzi mfupi nikimalizia kuhusu aina za Staking kwenye cryptocurrency

    Flexible Staking, hizi huwa faida ndogo na risk ndogo kwa kuwa unaweza kutoa muda wowote unaotaka. Sio lazima uweke kufikia siku zote za plan hiyo ya investment. Locked Stakings, Hizi mara nyingi huwa na faida kubwa na risk kubwa. Katika hizi ukichagua plan ya kuwekeza kwa mwaka 1 basi hutaweza...
  6. Ukiacha kuogopa watu utakuwa ni Unstoppable

    Happy thursday Leo nimekuletea hii story ambayo kwa asilimia kubwa itawahusu watu wanaojivuta au kuogopa kufanya kitu kwa sababu mbali mbali kama vile kuogopa maneno ya watu n.k Sasa tuanze, hebu fikiria kampuni ya Coca-Cola ambayo ni moja ya brand kubwa zaidi duniani. Inajulikanakila kona ya...
  7. Msaada wa Vitabu vya cryptocurrency.

    Habari wanajamvi, wakubwa shikamoni. Naomba msaada wa vitabu vya cryptocurrency.
  8. Njia nne unazoweza kuzitumia kutoa crypto zako kwenye app ya Binance

    Kama umekuwa ni mtumiaji wa hizi cryptocurrency exchanges kama OKX, BYBIT au Binance kwenye kufanya transaction za cryptocurrency basi utakuwa umegundua kuwa P2P au Peer to peer trade ( Biashara baina ya mtu na mtu) kuna namna fulani imekuwa sio safe sana kuitumia kama mwanzo hasa kama unaifanya...
  9. Jifunze utofauti uliopo kati ya Coin vs Token kwenye Cryptocurrency

    Habari wana JF, ni mda sasa sijapost kitu kuhusu blockchain and cryptocurrency ila leo nikapata idea nikaona nilete uzi mwingine unaoelezea kuhusu blockchain and cryptocurrency. Huenda ukawa unaijua au ushawahi isikia au unaifahamu ila bado kuna vitu vinakuchanganya unashindwa kuvielewa basi...
  10. Lema na CHADEMA hawaijui "The National Payments System Act of 2015" isiyotambua matumizi ya CRYPTOCURRENCY

    Wako hoi kiuchumi ,taabani kifedha. Makao makuu ya Chadema yana ukata na njaa kali....mara wanakimbilia ubalozi wa Norway tusipate misaada (dola milioni 7.)kila fiscal year.Mara uchaguzi mkuu usiwepo ,kumbe yote ni "nakama" ,waya mkali ,ulofa hapo makaoni. Makamu Mwenyekiti ndg.Lema anawayawaya...
  11. PreGE2025 Lema: Tukiruhusiwa tutatumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili kuweza kukusanya michango ya mkakati wa Tone Tone

    Mwenyekiti wa Kamati ndogo ye fedha ya CHADEMA CHADEMA ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema amesema wapo tayari kutumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili kuweza kukusanya michango ya kwenye mkakati wa Tone Tone. Soma Pia: Godbless Lema: Mkakati wa Tone...
  12. Jinsi ya kujua thamani ya coin unayotaka kuinunua

    Kwa kawaida, watu wengi, hasa wale wanaoanza safari yao kwenye ulimwengu wa cryptocurrency, mara nyingi hupenda kuangalia bei ya coin. Wanafikiria, “Hii bei ni ndogo sana! Acha ninunue kabla haijapanda!” Lakini, rafiki, ngoja nikushike mkono na kukuonyesha siri kubwa ya soko hili kwani bei ya...
  13. S

    SoC04 Tanzanian Tales: Embracing Cryptocurrency in a Changing Technological Landscape

    In the bustling city of Dar es Salaam, Tanzania, where the rhythm of life pulses through the streets, a quiet revolution was underway. Over the next five years, technology would weave a new narrative into the fabric of Tanzanian society, reshaping how people interacted with money and finance. At...
  14. Jifunze kuhusu DeX na CeX pamoja na hasara na faida Zake katika Cryptocurrency.

    Kama unapitia thread hii naamini unaelewa kuhusu cryptocurrency kwahiyo sitaelezea kuhusu introduction to Cryptocurrency kwasabu naamini hizo mada zipo humubau waweza kuzikuta Google. Katika Cryptocurrency wadau wengi wamekua wakiamini ni njia Moja salama zaidi ktk kufanya miamala salama na...
  15. Uturuki: Boss wa cryptocurrency jela miaka miaka 11,196 kwa udanganyifu

    "Bosi wa sarafu ya Kidijitali (cryptocurrency) nchini Uturuki na ndugu zake wawili wamefungwa kifungo cha miaka 11,196 kila mmoja kwa udanganyifu dhidi ya wawekezaji ambao walipoteza mamilioni ya dola. Faruk Fatih Ozer, mwenye umri wa miaka 29, aliikimbia Albania mwaka 2021 na mali za...
  16. Serikali: Tunatoa angalizo wanaowekeza kwenye cryptocurrency, mifumo ya Tanzania haiwezi kubainisha fake na genuine

    Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba akizungumza leo Jumatatu Julai 10, 2023 kwenye Uzinduzi wa Ripoti mpya ya FinScope Tanzania 2023, Jijini Dar es Salaam amesema: Huduma za cryptocurrency hazipo kwenye uratibu mzuri na tumekuwa tukitoa tahadhari kwa watu wanaotumia uwekezaji...
  17. R

    Matumizi ya neno KUWEZA kwenye vyombo vya habari yamekaaje?

    Ukisikiliza vyombo vya habari vikiripoti matukio ya vifo au majeruhi utasikia Kwa mfano " watu wawili wameweza kupoteza maisha" au " mtu mmoja aliweza kujeruhiwa". Haya ni matumizi sahihi ya kitenzi hiki? Nimejifunza lugha za mataifa mengine na msaada mkubwa kwenye kujifunza ilikuwa kusikiliza...
  18. KWELI ISLM, Islamic Coin: Cryptocurrency ya kiislamu yaidhinishwa na Fatwa

    Miaka ya 2000s imekumba na mabadiliko mengi ya kiteknolojia ikiwemo uwepo wa safaru za kidigitali ambazo haiziwezi kudhibitiwa na mamlaka za serikali (Benki Kuu). Sarafu za kidigitali zinazotambulika hadi sasa ni pamoja na BitCoins na OneCoin. Sarafu nyingine ya Islamic Coin (ISLM) imeibuka...
  19. 📈 How to analyze tokenomics and earn even more?

    "jamiiForum stop taking down my posts" Tokenomics is the economics of tokens and their application in a project. By understanding tokenomics you can predict where the best entry and exit points will be. There are 2 types of tokenomics: inflationary and deflationary: ✅ Deflationary - the...
  20. Crypto na ahadi ambayo haijatimia

    NB: Uzi ni mrefu, kinoma 👽 Uchumi wa dunia umekuwa ukidorora kwa miezi (Kama sio kwa miaka) kadhaa sasa, na mdororo huo umeathiri pia thamani ya cryptocurrencies kwa kiwango cha kutisha. Watu wamepoteza mabilioni ndani ya muda mfupi, kiasi ambacho wengine wamechukua maamuzi magumu ya kujiondoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…