Habari wakuu, Mimi ni mteja wa CRDB wa kipindi kirefu na nimekuwa nikitumia huduma za SimBanking kama zinavyotangazwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari.
Lakini, kwa bahati mbaya au kwa makusudi CRDB wamekuwa wazito kuweka wazi gharama ziambatanazo na hizi huduma na imekuwa vigumu kuzipata...