CRDB tangu asubuhi hakuna huduma

danjaboy

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
236
401
Tangu asubuhi leo huduma za CRDB kuanzia ATM, App mpaka bank hakuna watu wameshindwa kufanya transfer kutokana na upuuzi wenu mnadai network hakuna hii inatuhusu nini wateja?

Hivi mnajua ni kiasi gani mpaka sasa mmeingiza watu hasara kwa kukosa kufanya transfer mbalimbali? Mpaka sasa saa 7 mchana hakuna huduma upuuzi gani huu?
 
Nimehangaika sana kidogo watoto washinde njaa sema nilikuwa na kaakiba kidogo kwenye airtel money ndiyo nimewatumia, wanachosha sana, mara wakuambie unatakiwa uweke hela TRA, wakati huna uhusiano wowote.....mbaya sana
 
Mimi mbak muda huu naonekana sio muaminifu kwasabau yao hivi inawezekana vipi benki kubwa kama hii kunakua na tatizo la mtandao mbaka sa saba hii na nusu hakuna walichorekebisha.hawana utofauti na vikoba
Aisee kuna jamaa kamtolea maneno ya shombo balaa huyu meneja tawi fulani yaani watu wamekasirika sana
 
Wanakera wajinga hawa, wanapoteza muda wa watu bila sababu za msingi.
Yani imenibidi nifunge safari nirudi mkoa mwingn kufata cheque kisa ujinga wao..

Kama hawawez huduma wafunge hiyo benki
 
Aisee kuna jamaa kamtolea maneno ya shombo balaa huyu meneja tawi fulani yaani watu wamekasirika sana
angali kule twita walichopost.hii inamaana awajali swala la wateja wao kukosa huduma tangu asubui
Screenshot_20201012-133905.jpg
 
Hivi hawa CRDB si ndiyo kama wiki moja hivi iliyopita watu walilalamika sana kwamba hela zilikuwa zikikatwa kwenye akaunti zao bila taarifa na baada ya malalamiko ya wateja pesa zikarudishwa? Kutakuwa na tatizo kubwa huko na wateja wake kuweni makini.
 
Tatizo ni halisi..
 
Back
Top Bottom