Gharama za SIMBanking CRDB

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Habari wakuu, Mimi ni mteja wa CRDB wa kipindi kirefu na nimekuwa nikitumia huduma za SimBanking kama zinavyotangazwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari.

Lakini, kwa bahati mbaya au kwa makusudi CRDB wamekuwa wazito kuweka wazi gharama ziambatanazo na hizi huduma na imekuwa vigumu kuzipata hata kwenye mitandao.

Naomba mnisaidie kwa yeyote anaezifahamu vyema gharama za kufanya miamala ya kibenki kwa njia ya simu, kwa CRDB.

Ahsanteni.
 
Acha Tuone Majibu Yao
Maana Huduma Nyingine Nzuri Ila Tunapigwa Humo Humo
 
Habari wakuu, Mimi ni mteja wa CRDB wa kipindi kirefu na nimekuwa nikitumia huduma za SimBanking kama zinavyotangazwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari.

Lakini, kwa bahati mbaya au kwa makusudi CRDB wamekuwa wazito kuweka wazi gharama ziambatanazo na hizi huduma na imekuwa vigumu kuzipata hata kwenye mitandao.

Naomba mnisaidie kwa yeyote anaezifahamu vyema gharama za kufanya miamala ya kibenki kwa njia ya simu, kwa CRDB.

Ahsanteni.
 
Attachments

  • CRDB-Wakala-Tarriffs-1.pdf
    1.5 MB · Views: 25
Nashukuru sana wakuu, nimepata muongozo na nimegundua ni kwa nini CRDB wanapigia chapuo sana SIMBanking na ikifika mwisho wa mwezi wanahakikisha ATM nyingi hazina pesa ili watu watumie simu na hivyo kukusanya mavuno ya kutosha.
 
Lakini, kwa bahati mbaya au kwa makusudi CRDB wamekuwa wazito kuweka wazi gharama ziambatanazo na hizi huduma na imekuwa vigumu kuzipata hata kwenye mitandao.

Naomba mnisaidie kwa yeyote anaezifahamu vyema gharama za kufanya miamala ya kibenki kwa njia ya simu, kwa CRDB.
hawa jamaa wanatupiga sana. yaani wana maneno mengi tena ambayo hayajanyooka. kona kibao na charges zao nyingi zisizoeleweka
 
Back
Top Bottom