crdb

  1. Samia atosha tukutane2030

    CRDB kutokuonyesha kiwango cha makato kabla ya kufanya muamala kwa App au SIM Banking ni wizi na uhujumu uchumi

    CRDB kupitia app yao au njia ya code *150*03# hawaonyeshi kiwango cha pesa utakachokatwa mara ukikubali kufanya huo muamala. Huu ni wizi na uhujumu uchumi kwa watumiaji wa CRDB. Ili upate laki 1 kwenye simu unaweza kushituka wamekula elfu 5 na ukitoa kwa wakala let's say tigopesa wakikukata...
  2. Blasio Kachuchu

    Naibu katibu mkuu fedha azipongeza TIRA na benki ya CRDB uanzishwaji wa akaunti ya dhamana ya bima

    Dar es Salaam 16 Machi 2023 – Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima (TIRA), pamoja na Benki ya CRDB kwa kutekeleza mchakato wa uanzishwaji wa Akaunti ya Dhamana ya Bima (Trust Account). Mafuru ametoa pongezi hizo wakati...
  3. Blasio Kachuchu

    Waziri Mkuu awataka vijana na wanawake kuchangamkia programu ya Imbeju ya benki ya CRDB

    Dar es Salaam 12 Machi 2023 – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ametoa rai kwa vijana na wanawake kote nchini kuchangamkia programu ya uwezeshaji kiuchumi iliyozinduliwa na Benki ya CRDB kwa kushirikiana na Tume ya TEHAMA (ICTC), na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuboresha bunifu zao za...
  4. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yawapa ubalozi wachezaji wa Simba na Yanga kampeni ya Benki ni SimBanking

    Mkurugenzi Mtenndaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Yanga, Andre Mtine (wapili kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Simba, Imani Kajura (wapili kulia) kwa pamoja wakisaini mkataba wa makubaliano wa kuwatumia wachezaji Clatous Chama, Mohammed...
  5. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yaingia mkataba wa makubaliano na ICTC na COSTECH kuwezesha biashara changa (startups) nchini kupitia programu ya Imbeju

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Amos Nungu (kulia) wakisaini mkataba wa makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa programu ya...
  6. Analogia Malenga

    Muhuni akopa milioni 50 CRDB awaachia pumba likidhaniwa ni duka la nafaka

    Muhuni akili mingi inadaiwa kama inavyoonekana kwenye video kuwa amekopa milioni 50 CRDB kwa kuwa alijua lazima wakague biashara yake, aliweka magunia mengi yakionekana yana nafaka kumbe ni uchafu tu, na yeye ametokomea yaani ameyeya.
  7. T

    Msaada wa kisheria: Benki ya CRDB wamenikata mshahara pasipo kunipatia mkopo

    Mimi ni mtumishi katika mkoa mmoja hapa Tanzania, Mwezi wa 5 mwaka Jana niliomba mkopo katika benki ya CRDB, lakini wakachelewa kunipatia mkopo wakisema mwajili wangu hakuidhinisha makato,mwisho nikawaomba tuahilishe zoezi la mkopo na tukakubaliana. Ajabu ni kuwa kumbe Mwajili aliidhinisha...
  8. Blasio Kachuchu

    Balozi wa Denmark aipongeza Benki ya CRDB kwa Matokeo Mazuri ya Fedha

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wakwanza kulia) akimwelezea Balozi wa Denmark nchini, Mette Nørgaard Dissing-Spandet (wapili kushoto) juu ya Mkakati mpya wa Miaka Mitano wa Biashara wa Benki ya CRDB wa 2023/2028 wakati ujumbe wa Benki hiyo ulipotembelea katika Ubalozi...
  9. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yakabidhi kituo cha mawasiliano Ocean Road

    Benki ya CRDB imekabidhi kituo cha mawasiliano katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ikiwa ni matokeo ya fedha zilizokusanywa katika mbio za CRDB Bank Marathon 2021. Kituo hicho cha kisasa na cha kwanza kwa hospitali hapa nchini kimekabidhiwa kwa uongozi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road...
  10. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yahitimisha mkakati wa miaka 5 kwa kishindo

    Mara nyingi si rahisi kwa taasisi kufanya mabadiliko makubwa ya uongozi na kuendelea kupata mafanikio hasa pale kunapokua na kiongozi aliedumu kwa kipindi kirefu na kuacha alama kubwa. Lakini hali imekua tofauti kwa Benki ya CRDB ambapo takribani miaka minne imepita tangu Abdulmajid Nsekela...
  11. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yakabidhi madarasa mawili shule ya msingi Chuda, jijini Tanga

    Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Hawa Msuya (wapili kushoto) kwa pamoja na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tanga, January Kilambata (wapili kulia) wakibadilishana hati ya makabidhino ya madarasa mawili kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalumu wa Shule ya Msingi Chuda, jijini Tanga leo...
  12. REJESHO HURU

    Hazina acheni kuitumia CRDB na kuiacha NMB. Watumishi mmeona kinachoendelea

    Watumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan...
  13. Mfukutuzi

    Mashine za Uwakala NMB & CRDB zinahitajika Dodoma

    Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara. Location: Dodoma
  14. L

    Inachukua muda gani kupata kadi mpya CRDB endapo kadi yako ya zamani imeisha muda wake?

    Kama kadi yangu ya CRDB imeexpire, ni unachukua muda gani kupata kadi mpya tena? Kwa mdau yeyote anayefahamu anijuze.
  15. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB, VISA kuleta mapinduzi sekta ya utalii na usafirishaji kupitia kadi za kidijitali

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifanya mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Visa International, Alfred Kelly kuhusu ushirikiano baina ya taasisi hizo katika kuanzisha huduma za malipo ya kidijitali katika sekta ya utalii. Mkutano huo ulifanyika...
  16. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB, IFC zakubaliana maeneo sita ya ushirikiano

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dk Ally Laay (watatu kulia), Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wapili kulia), na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wanne kulia) wakiwa katika kikao na Mkurugenzi wa IFC anayesimamia ushirikiano na Taasisi...
  17. Blasio Kachuchu

    Rais wa Burundi aipongeza benki ya CRDB

    Rais wa Jamhuri ya Burundi, Evariste Ndayishimiye akiwa kwenye mazungumzo na ujumbe wa Benki ya CRDB, ulioongozwa na Mwenyekiti wake, Dkt. Ally Laay na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati walipomtembelea kwenye makazi rasmi yaliyopo eneo la Kiriri, Bujumbura, Novemba...
  18. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yadhamini mkutano wa mabalozi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (kulia) akizungumza na baadhi ya mabalozi walipotembelea banda la Benki ya CRDB katika maonyesho yanayoenda sambamba na Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mabalozi...
  19. Blasio Kachuchu

    Fainali ya CRDB bank taifa cup jijini Tanga

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa (katikati) akirusha mpira juu kuashiria kuanza kwa mchezo wa fainali kati ya Dar es salaam na Unguja (Wanawake) wa mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Bandari Jijini Tanga. Watatu Kulia ni...
  20. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yaendesha semina kwa wateja wake wa mkoa wa Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba akizungumza wakati akitoa hotuba yake katika ufunguzi rasmi wa Semina ya siku moja kwa Wateja wa Benki ya CRDB wa mkoa wa Tanga, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga, Novemba 14, 2022. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya...
Back
Top Bottom