covid 19

Coronavirus disease 2019 (COVID-19) is a contagious disease caused by severe acute respiratory syndrome coronavirus 2 (SARS-CoV-2). The first case was identified in Wuhan, China, in December 2019. The disease has since spread worldwide, leading to an ongoing pandemic.Symptoms of COVID-19 are variable, but often include fever, cough, fatigue, breathing difficulties, and loss of smell and taste. Symptoms may begin one to fourteen days after exposure to the virus. At least a third of people who are infected do not develop noticeable symptoms. Of those people who develop noticeable symptoms, most (81%) develop mild to moderate symptoms (up to mild pneumonia), while 14% develop severe symptoms (dyspnea, hypoxia, or more than 50% lung involvement on imaging), and 5% suffer critical symptoms (respiratory failure, shock, or multiorgan dysfunction). Older people are more likely to have severe symptoms. Some people continue to experience a range of effects—known as long COVID—for months after recovery, and damage to organs has been observed. Multi-year studies are underway to further investigate the long-term effects of the disease.The virus that causes COVID-19 spreads mainly when an infected person is in close contact with another person. Small droplets and aerosols containing the virus can spread from an infected person's nose and mouth as they breathe, cough, sneeze, sing, or speak. Other people are infected if the virus gets into their mouth, nose or eyes. The virus may also spread via contaminated surfaces, although this is not thought to be the main route of transmission. The exact route of transmission is rarely proven conclusively, but infection mainly happens when people are near each other for long enough. People who are infected can transmit the virus to another person up to two days before they themselves show symptoms, as can people who do not experience symptoms. People remain infectious for up to ten days after the onset of symptoms in moderate cases and up to 20 days in severe cases.Several testing methods have been developed to diagnose the disease. The standard diagnostic method is by detection of the virus' nucleic acid by real-time reverse transcription polymerase chain reaction (rRT-PCR), transcription-mediated amplification (TMA), or by reverse transcription loop-mediated isothermal amplification (RT-LAMP) from a nasopharyngeal swab.
Preventive measures include physical or social distancing, quarantining, ventilation of indoor spaces, covering coughs and sneezes, hand washing, and keeping unwashed hands away from the face. The use of face masks or coverings has been recommended in public settings to minimise the risk of transmissions. Several vaccines have been developed and several countries have initiated mass vaccination campaigns.
Although work is underway to develop drugs that inhibit the virus, the primary treatment is symptomatic. Management involves the treatment of symptoms, supportive care, isolation, and experimental measures.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa yanayoendelea Chadema naanza kuamini wale Wabunge 19 wana baraka za Mbowe na chama kwa ujumla

    Wamehitahidi sana kutuzuga na kumlaumu Ndugai kuwabeba na kuwakumbatia Wabunge wanawake 19 kutoka Chadema almaarufu Covid 19. Muda ni mwalimu mzuri, Mbowe ni mnafki sana, alishalamba asali, akija kwetu wananchi anajifanya hajui lolote kumbe nyuma ya pazia alishalamba asali. Kwaa yanayoendelea...
  2. Dunia tulio nayo imepitia vipindi vigumu kama magonjwa mawili makubwa EBOLA VS COVID 19

    Dunia tulio nayo imepitia vipindi vigumu na majanga mbalimbali tokea enzi za vita ya dunia huko na mpaka tulipofika, ila kwa miaka ya karibuni kuna magonjwa mawili makubwa yalitikisa ulimwengu CORONA huu sina hata haja ya kuelezea habari zake mpaka leo zipo maana hata ukitaka kusafiri nje lazima...
  3. Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa, Chadema ni chama cha Kitaifa hivyo haya yanayoendelea ndani ya Chadema katika huu mgogoro wake na wabunge wake 19 wa viti maalum, una athari za Kitaifa zenye maslahi kwa taifa. Hoja yangu ya leo...
  4. Mafua na kifua ni janga kwa sasa. Nini sababu ya hali hii?

    Kuna habari gani kutoka Wizara ya Afya Tanzania juu ya hili swala la watu wengi kuugua Mafua na Kifua kiholela holela na mfululizo. Pia soma: Uganda: Wizara ya Afya yatoa taarifa Juu ya Wimbi la Sasa la Mafua, Kikohozi Huku Kukiwa na Hofu ya UVIKO Je, nini kinasababisha Mafua? Ukikutana na...
  5. R

    Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

    Salaam, Shalom! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa...
  6. Tanzania hatutaendelea milele kwa kulea na kukumbatia Chawa, wadudu, Covid 19 na makundi mengine ya aina hiyo

    Ni uwendawazimu wa kiwango cha juu mnoo kwa taifa la Tanzania lenye umri wa zaidi ya miaka 60, watu zaidi ya milioni 60, wasomi wa chuo kikuu karibu au zaidi ya milioni moja kuendelea kukumbatia, kushabikia, kufurahia magenge ya wahuni, wavivu, wajinga, malaya, wavuta bangi, walevi...
  7. Covid 19 mara baada ya Bunge kuvunjwa kuhamia CCM na ACT

    Hizi ndizo taarifa ambazo zinasikika kwenye mikutano yao kama ambavyo wahenga walisema hakuna siri ya watu wawili. Na hawa imekuwa ni ya watu 19. Wanaambiana mengi na wengine wanakuja kutuambia. Hasa sisi wenye mahusiano nao. Sitaelezea kwa kina maana mnaweza unganisha code mkaja jua mimi ni...
  8. Kipindi cha Covid-19 ilipunguza magonjwa ya milipuko kama kipindupindu, red-eyes na typhoid sababu ya kila sehemu kulikuwa na ndoo za kunawa mikono

    Ugonjwa wa covid19 ulipoingia tulijaribu kuweka mbinu nyingi kila mtu kujua atajisaidia vipi ili kujiokoa na gonjwa ili sitosahau mpaka malimau yakapanda bei. Serikali ikaweka mpango maalumu wa kila sehemu kuhakikisha kuna ndo ya maji safi na kila sehemu utakapo kwenda kunawa mikono kabla ya...
  9. R

    COVID 19 iliyotufanya tuwahudumie wapendwa wetu kama wanyama, unapitisha chakula chini ya mlango kukwepa maambukizo. Tunamshukuru Mungu

    Tunapotafakari mwaka 2023 yatubidu kumshukuru Mungu kwamba tuliishi kama binadamu. Kuna kipindi hapo miaka ya nyuma tulikatazwa kuwazika wapendwa wetu, kuwahudumia na hata kuongea nao. Tulikatazwa kwenda kijijini desemba kwa madai kwamba tunapeleka magonjwa, wazee wetu wakawa na hofu kubwa juu...
  10. Wizara ya Afya yasema kuna ongezeko la wagonjwa wa COVID-19 na Virusi vya Mafua

    Wizara ya Afya imekuwa ikifanya ufuatiliaji wa taarifa za magonjwa ya mlipuko ikiwa ni pamoja na tetesi za kuwepo kwa magonjwa hayo ndani na nje ya nchi. Katika kipindi cha kuanzia mwezi Novemba, 2023 kumekuwa na tetesi juu ya ongezeko la visa vya magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa sehemu...
  11. Mliochomwa Sindano za COVID-19 mnaendeleaje?

    Kimsingi chanjo ya ugonjwa huu imethibitika ni vita vya Ukraine na Russia. Maana baada ya media kutuhamishia huko ugonjwa ukajifia. Nimejifunza kuwa mvumilivu na mpole maana dunia inaenda kasi na mambo mengi ni ya kubumba au kutengenezwa, ikiwemo magonjwa ya kutengenezwa. Ni hayo tu
  12. Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

    Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni kwa nini wanatumbukiza mbao ndani ya yale mapipa marefu yenye maji ya rangi ya kijani. Nikasogea...
  13. B

    Wimbi jipya la COVID 19 limethibitishwa kwa Majirani ila siyo kwetu

    Labda itakuwa ni siri ya ile dawa iliyotufikia kutokea Madagascar: Ila si Uganda: Serikali ya Tanzania na magonjwa ya changamoto Wala Kenya: New wave of Covid-19 and influenza hit Kisumu schools Huko kote kumethibitishwa uwepo wa wimbi jipya, ila siyo kwa wale vichwa ngumu, wana maombi...
  14. CHADEMA mmechoka, hakuna 'consistency' ya maamuzi kuhusu Wabunge 19 waliofutwa uanachama

    WanaJf, Salaam tena! Mwenyekiti wa #CHADEMA, #FreemanMbowe amesema "Kuna baadhi ya vyombo vya habari vimevumisha kuwa sisi tumekubaliana kupeleka Wabunge 19 ambao hawakutokana na maamuzi yetu ya Chama. Ni uhuni na uvunjaji wa Sheria ambao unapaswa kupingwa na yeyote anayependa Haki" Ameongeza...
  15. chanjo ya covid 19 imefikia wapi huko kwenu

    mliochanja mnajisikiaje maana mlikuwa mnapewa na cheti kabisa
  16. FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  17. H

    Rais wa Guinea Bisau akimchapa makonde Waziri wa Afya kwa kula pesa za COVID 19

    Huku kwetu Rais anaweza kujikuta karibu kila waziri wake anakula ngumi kwa ubadhirifu kwenye wizara zao 😀😀. Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kwa sehemu kuwapiga viboko ishirini na vinne,siku anaingia viboko kumi na viwili na siku anatoka jela viboko kumi na viwili akamuonyeshe mkewe 😀😀.
  18. R

    Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

    Habari JF, JPM aliamini corona itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama yalivyo magonjwa mengine, kiuhalisia ndivyo ilivyo corona ipo na idadi ya watu waliopata chanjo ni ndogo sana na watu walishapata kinga asilia sasa hivi sio tishio tena. Lakini bado watu wakiwemo madaktari wanalaumu...
  19. Nini hatma ya COVID 19? Imeishia wapi mbona haina tena tension

    Habar wana jamii nauliza. Je, covid 19 imeishia wap naona wale wazungu walokua wanaweka lockdown leo wana socialize kawaida je ni kwambo covid ipo au ilikua ni siasa tuuh Na cha kushangaza zaidi ipo china ambapo marekani huamin ndo ilipotea .....let us discus this thread
  20. Kesi ya ‘COVID 19’ Jaji anazingua sana

    Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022. Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…