course

A full-course dinner is a dinner consisting of multiple dishes, or courses. In its simplest form, it can consist of three or four courses; for example: first course, a main course, and dessert.

View More On Wikipedia.org
  1. Jurrasic Park

    JamiiForums Tanzania OUT: Foundation course ipoje kwa waliosoma?

    Habari, Naomba mwenye kujua course ya foundation kiundani anisaidie maana naona juhudi zangu zinafikia mwisho maana nilimaliza chuo mwaka 2016. Ninapotarajia kwenda kujiendeleza, niliomba AVN nikajikuta nina gpa ya 2.9. Mwenye kuijua foundation course aniambie ili nijue najipangaje,
  2. draxer777

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tofauti kati ya kozi ya civil and transport engineering na civil engineering ni ipi?

    Wakuu naombeni kufahamu course ya civil and transport engineering na civil engineering tofauti wa hizi course ni nini?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa course za afya

    Jamani habari zenu wajuvi wa mambo. Nina mjomba wangu amehitimu 2022 form 6 PCB alipata CCD. Sasa anaforce mambo ya course za afya na anaomba ushauri wa kozi gani ina soko la uhakika kati ya md na pharmacy. Kuhusu vyuo nimemwambia apply private ndo atatoboa na sio public kwa sababu za...
  4. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mmeziona Fursa za kusomeshwa Bure na KCB? Changamkia hizi short course nchi nzima

    Benki ya KCB imetoa fursa ya mafunzo kwa vitendo na ujasiriamali kwa kushirikiana na vyuo vya kati (VETA na SIDO) Course za miezi mitatu zitakazofundishwa ni Tembelea website ya KCB kujisajili ONLINE na kusoma vigezo na masharti Mwisho ni tarehe 26 July.
  5. Chale david

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ipi inafaa kwa Certificate kwa matokeo haya?

    Kozi ipi inamanufaa kwa ngazi Certificate kwa hay matokeo PHYS D CHEM D BIO C GEO C HIST C KISW C CIV D ENG D MATH F
  6. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kusoma kwa Masters

    Wadau habari za Muda huu, Ninaomba ushauri kidogo Kwa wanaojua Nina mdogo wangu ni mwalimu wa sekondari aliyeajiliwa alisoma Bachelor of Arts with Education GPA ya 3.4 Anataka kusoma Masters lengo lake ni kubadili kada kutoka ualimu au kupanda ngazi na kutoka kwenye kufundisha aende kwenye...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kusoma programming language short course

    Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
  8. navah

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua hizi kozi

    i) C28 II) C40 III) Latra iv) Comesa v) Insurance vi) Fire safety sticker Kuna tangazo la kazi nimeona inahitaji mtu awe na mzoefu wa kazi katika vitu hivyo hapo juu. Kama kuna mtu yeyote anajua naomba anicheki tusaidiane kupeana kwownledge kama learning books and tutorial videos.
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni masikini usicheze mbali na hizi course

    Mtoto wa masikini course zake zinajulikana. Ni udaktari Kilimo na uvuvi Ukizidi Sana ualimu wa kingereza au science Mtu unasoma HR hata sehemu ya kujitolea kupata tu ni mziki mnene kuzidi hadi ule wa disco sound Watu wanaumwa kila siku magonjwa kibao madaktari wanatafutwa huku kwenye Elimu...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Short course ya Siasa miezi mitatu.

    SHORT COURSE YA SIASA MIEZI MITATU. Anaandika, Robert Heriel Mkufunzi Najua kila mtanzania ni mwanasiasa lakini wengi wenu mnataka muwe certified. Mambo ya makaratasi au sio. Kumiliki gamba ndio Mpango mzima, asije akakudanganya mtu Cheti cha Siasa ni zaidi ya Cheti cha upolopesa. Acha...
  11. nyak22

    JamiiForums Tanzania Msaada: Course Outline ya Foundation kwa Open University

    Habari guys, Naomba msaada wa course outline ya foundation course idara ya elimu sayansi Kwa walio wahi/ wanao soma Open university of Tanzania (OUT)
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Course ya Uchawa kwa ngazi zote

    Tayari tunaanza kutoa course ya Uchawa ngazi ya Certificate, Diploma na Degree. Bado mchakato wa kuto Masters unaendelea. Kutokana na kuwepo fursa mbalimbali katika Dunia yetu hasa nchini TZ na kuangalia namna ya kusaidia wananchi tayari course hii imeanza kutolewa kwa aliye tayari tuwasiliane...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Course gani ya kuchagua kwa mwanafunzi aliyesoma tahasusi ya CBG?

    Kwema wajameni? Hivi Kwa mwanafuz WA f6 CBG course Gani nzuri za ku-apply chuo Kama anasifa mfano Ana division two
  14. Cpp

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu aliyesomea Public Health/Environment Management au course ya NOSCH 1 kutoka OSHA

    Kama heading inavyosema wakuu, anahitajika mtu awe Dar hata akiwa na kazi yake hakuna shida. Mwenye sifa anicheck DM tuyajenge.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa kusoma Kichina unaweza kunisaidia nikakijua na kuendelea masomo yangu?

    Nimechaguliwa kusoma chuo nchini China kiitwacho Tianjin University na course niliyochaguliwa ni Mechanical Engineering and Automation ila wameniambia inafundishwa kwa Kichina na inabidi nisome mwaka mmoja Kichina then niendelee na masomo. Nilikuwa nauliza inachukua muda gani kukielewa Kichina...
  16. Thailand

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaotaka kusoma course za nje mkiwa hapa hapa bongo chekini hii scholarship ya Commonwealth Distance Learning (MA)

    Hii scholarship mwisho wa kufanya application ni 28/ 03/ 2023. Bado hujachelewa ku apply. https://cscuk.fcdo.gov.uk/scholarships/commonwealth-distance-learning-scholarships-candidates/
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nichague ipi kati ya course hizi?

    Msaada juu ya course ya water Supply Sanitation Engineering na Civil Engineering ipi ni nzuri kusoma
  18. Surveyor_1

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya kozi ya kusoma

    Habari wakuu,mimi nilimaliza form 4 takriban miaka 11 iliyopita, nilifaulu vizuri tu,nikiwa na A zote PCB na PCM, nilichaguliwa kwenda advance shule nzuri tu lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo kwa sababu kadhaa nikajishughulisha na biashara. Kwa sasa naona kiasi nina utulivu nataka...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health.

    Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health. MUHAS Masters of science in monitoring and evaluation in health . Mzumbe UNIVERSITY Masters in Arts in monotoring and evaluation . Open university. Naombeni utofauti wa hizo kozi wadau.
  20. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu course za biashara kwa mihitimu wa Kidato cha Nne aliye somea science

    Nahitaji kusomea diploma business managing and marketing je, inawezekani?
Back
Top Bottom