control number

  1. JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Jiji la Dar tatizo nini? Wiki ya pili sijapata control namba kulipia leseni halafu mnapita mtaani kukagua leseni

    Tunaomba viongozi mnaohusika akiwepo mkuu wa biashara mtusaidie please. Serikali inategemea tulipe hizo leseni za biashara ili maendeleo yapatikane. Sasa mtu anakaa na maombi wiki mbili hayajapitiwa hata na afisa mmoja na ukienda ofisini unawakuta wapo. Wakati huohuo maafisa wenu wanapita...
  2. JamiiForums Tanzania BRELA: BOS imenipa Control Number ambayo GePG inasema “Bill does not exist”

  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Maafisa wa LATRA wanaokamata Bodaboda na Bajaj hawavai sare, wengine hawatoi Control Number wanataka cash

    Mara kadhaa nimeona na nimesikia stori za baadhi ya maafisa wa LATRA, hasa jijini Dar es Salaam, wanavyotekeleza majukumu yao ya kuwakamata madereva wa bodaboda na Bajaj. Kinachonishangaza ni kuona baadhi ya maafisa hao wakiwa katika operesheni za ukaguzi na ukamataji bila kuvaa sare au mavazi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waingizaji wa mizigo walalamikia TBS kwa kuchelewa kutolewa kwa Control Number na gharama kubwa za storage

    Waingizaji wa mizigo kutoka nje ya nchi tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kuchelewa kwa mfumo wa TBS kutoa Control Number. Kwa mfano, ombi langu liliwasilishwa tangu Jumatano iliyopita, lakini hadi sasa sijapatiwa Control Number, hali ambayo imenilazimisha kuanza kulipa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nashauri makanisa na misikiti kutoa EFD receipt kwa sadaka ghafi ili kukusanya kodi kwa haki

    Kama kweli serikali inataka kutenda haki ktk ukusanyaji kodi kwa wananchi wake basi ni vyema makanisa na misikiti iwaanze kutoa EFD receipt kwa sadaka ghafi kwaajili ya kulioa kodi. Nasema hivyo kwa kuwa viongozi wadini wanaitetea serikali badala ya kuttea wananchi kwakuwa wamepewa rushwa...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Zahanati ya Mwenge, Hawatoi risiti wala kulipa kwa control number, ni kama duka binafsi tu

    Wakuu kwema Jana nilipata changamoto ya kiafya ikabidi niende pale zahanati ya halmashauri mwenge karibu ba uwanja wa KMC ni Mwenge, nilikutana na mambo ya kushangaza sana, na huu ni wizi wa mchana kweupe kabisaa. Yaani hakuna namna wale watumishi pale ni wezi kabisa, nilifika pale...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku generate control number

    Tangu saa 8 MCHANA mpaka sasa MUHAS imegoma ku GENERATE control number. Inaonesha hivi; Your Reference Number for payment is : Please Wait..... Msaada WANGU UTATOKA KWA NANI?
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hivi control number za Heslb zinaexpire

    Anyone with idea Hivi control number za Heslb zinaexpire
  9. L

    JamiiForums Tanzania KERO Control number issue

    Sifahamu, ni tatizo la kiufundi, mifumo mbovu au mazingira ya rushwa? Ukitaka kufanya malipo kwenye taasisi hizi za umma kama Tanesco, Duwasa kwa Dodoma na nyingine kama hizo, ili upatiwe huduma husika imekuwa ni shida sana kupata 'CONTROL number' kwa ajili ya kufanya malipo. Mara nyingi watoa...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba link ya LATRA niweze kutengeneza control number ya kulipia bajaji.

    Kichwa cha uzi kinajieleza.naomba kwa mwenye uelewa anisaidie
  11. D

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya ada vyuoni kupitia control number ni shida, mtandao unasumbua

    Leo au toka jana serikali haina mtandao. Malipo ya ada vyuoni kupitia control number ni shida siku nzima mtandao hauko hewani. Kule CRDB napo ni shida hakuna mtandao. Nimelipa kitu flani kimenirudia mimi mwenyewe yaani pesa zimebaunsi Vitambulisho vya NIDA navyo ni shida. Eee Mungu tusaidie...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Mfumo wa Polisi unatoa invalid control number unapoomba loss report online

    Habari wakuu! Leo ni siku ya pili naomba loss Report bila mafanikio nikifika hatua ya kulipia nikiingiza control number inaandika number does not exist. Nini kinaweza kuwa changamoto hapo wataalam?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Taasisi ya Serikali inatoa control number fake, niripoti wapi??

    Wakuu kuna taasisi moja ya umma nimeenda kupewa huduma nikapewa control namba nilipie ila nilichoambulia kila wakala anasema hii haiwezekani kulipa. Nikarudi kwa taasisi husika nikawapa cash wakanipa huduma. Ila ukihakiki ile control number inaonesha ipo invalid maana yake kuna wajanja wanakula...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nyamanoro - Mwanza wanalazimisha tulipe Service Levy kwa cash, kwanini wasitupe Control Number?

    Kata ya Nyamanoro Mkoani Mwanza wamekuwa wakiendesha kampeni ya kufunga maduka na kuchukua waliopo Madukani, hilo linafanyika kama unakuwa hujalipa Service Levy. Hili suala sijui limetoka wapi na mimi kama Mfanyabiashara ni mara ya kwanza kusikia natakiwa kulipia Service Levy ya Shilingi...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata control number mtandaoni TRA

    Nina Shida na kupata control number tra ili nilipie Nilienda juzi wakanipigia makadilio ila kwenye kupata control number mtandao wao ukasumbua so jambo halikukamilika na mwezi ushaisha nikikaa mpk tarehe 1 penati naombeni mnisaidie namna ya kuipata conyrol number kwenye tovuti yake
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya Kupata control number NHIF mtandaoni kwa ajili ya malipo

    Wakuu msaada jinsi ya Kupata control number NHIF mtandaoni kwa ajili ya malipo.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni inayosimamia wrong parking DSM inatumia sheria gani kutoza faini? Ni kigogo gani anayewakingia kifua wasitoe control number?Nani mmiliki?

    Kuna kampuni imeanzishwa au kupewa tender inayokwamisha biashara nchini kwa kigezo cha wrong parking Kampuni hii imekuwa chanzo cha wageni kugoma kutumia bandari yetu au kupeleka image mbaya nje ya nchi. Kampuni haitoi control number ya malipo wanayodai wateja, haina risiti ya uthibitisho wa...
  18. JamiiForums Tanzania Wakusanya kodi za mabango Ilemela hawataki kutoa ‘control number’, wanataka ‘Cash’

    Kuna kero kubwa sasa hivi Watu kutoka Halmashauri ya Wilaya Ilemela Jijini Mwanza wanapita kila ofisi wanataka kodi ya mabango na ukiomba control namba hawataki kutoa. Tunamba Serikali iondoe hiyo kodi kwa sababu mteja anajitangazia biashara zake kupitia bango ili apate kodi ya TRA, jamanI sisi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePg) kwenda kwa mtu binafsi?

    Government Electronic Payment Gateway (GePG) Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePG) kwenda kwa mtu binafsi? Kumekuwepo na taarifa za chini kwa chini kwa baadhi ya watu kuwa Kuna taasisi ukienda wanakupa control number kisha ukishalipiaa either ukiwaletea...
  20. JamiiForums Tanzania Mfumo wa polisi unatoa invalid control number unapoomba loss report mtandaoni

    Mimi leo nina wiki naomba loss Report bila mafanikio nikifika hatua ya kulipia nikiingiza control number inaandika number does not exist.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…