Casting tv programme to a Computer

Felixtz

Member
Oct 19, 2015
55
17
Habari wanajamvi, nina TV pamoja na desktop computer, nikiunganisha vifaa hivi kwa kutumia HDMI Cable, nina uwezo wa kutumia TV kama monitor, ila sasa mtihani ni kuwa nahitaji pia vile vile kuona kile kinachoendelea kwenye TV ionenekane pia katika computer. Je ni njia gani naweza kuitumia kufikia hatua hii???, Msaada tafadhalini
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
28,740
33,879
Hizo nyaya

Z

Nyaya hizo za hizo langi zipo mara mbili kwa nyuma pamoja na upande wa TV, sasa niziunganishe vipi mkuu
Angalia kunakuwa na maandishi kwa pembeni kama tv in na tv out. Ama component out etc. Si tv zote zinakua na hii option
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom