comedian

  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kuwa mnene au mwenye makalio makubwa isiwe kigezo cha mwanamke kuwa mchekeshaji (comedian)

    Ninaandika nikiwa na masikitiko makubwa kuona maumbile ya wanawake yanatumika kwenye mambo ya kijinga. Miaka ya hivi karibuni tasnia ya uchekeshaji (comedy) imezidi kuchanja mbuga na kufanya makubwa. Kwa sasa wachekeshaji nao wanaingiza pesa nyingi kama wasanii wengine tofauti na zamani...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Comedian Samuel Asubiojo asema Comedy inalipa kuliko udaktari

    Comedian wa Nigeria Samuel Asubiojo, ambaye ni daktari kwa taaluma amesema Comedy inalipa kuliko udaktari. Asubiojo ambaye ni maarufu kama Mama Ojo alisomea udaktari wa binaadamu nchini Ukraine mwaka 2012 hadi 2018 lakini hakuwahi kupractice taaluma hiyo tangu hapo. Kwa sasa anapata hela kwa...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mchekeshaji alivyomuhadaa mbabe wa vita Putin

    Hakika Wana Ukraine wanapaswa kutembea kifua mbele hadi hivi sasa mpira ni mapumziko wamesha mchapa mtu tatu kwa nunge. Hii vita watu waliichukulia poa akiwemo anayedaiwa kuwa mbabe wa vita Vladimir Putin, kutokana na ubutu wa jeshi la Ukraine wengi wetu tulijua ndani ya muda mfupi Putin na...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna Comedians bali tuna waropokaji tu. Comedians wa Kitanzania humwelewi kama hujui lugha anayotumia jukwaani

    Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji. Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani. 1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu. 2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
  5. kabila01

    JamiiForums Tanzania Stand up comedy: Comedian Deogratius ana kipaji hasa atafika mbali sana

    Habarini wakuu Mara tatu nimefuatilia kipindi cha Stand up Comedy (WATU BAKI) kinachorushwa na channel "Maisha Magic Bongo 160" kupitia king'amuzi cha DSTV. Nimemuona kijana anaitwa Deogratius ni balaa yaani ikifika session yake wote tuliokaa sitting room tunacheka mpaka tunatoa machozi...
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Cholo Comedian azidi kung'ara

    Pamoja na kudhihakiwa sana mitandaoni huyu dogo anazidi kung'ara duniani. Apewe support na vyombo husika. Watanzania wanahitaji hv vipaji kuondoa stress
  7. Dejane

    JamiiForums Tanzania Michael Blackson mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani yupo real sana

    Huyu comedian mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani na kufanya kazi zake za sanaa Nchini Us pia ameshiriki filamu ya Coming to America 2, huwa ananifurahisha sana jinsi anavyopenda kwao Ghana anapenda kucheza miziki ya Afrika, vyakula vya nyumbani yeye ndio anakula hata akiwa marekan mara...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vimekufa na sasa wachekeshaji na wanamziki ndio watangazaji wanaosikilizwa

    Wamiliki wa vyombo vya habari hasa ITV, TBC na Star TV mlikuwa wapi hadi vyombo vyenu vimepoteza mvuto kiasi hiki? Leo watu wanasikiliza vipindi na kuangalia wasafi, clouds, TV E, na media mpya mpya ambazo asilimia kubwa ya watangazaji si wanataaluma ya habari niwasanii na wanamziki...
  9. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Ni Comedian Gani Anayefanya Vizuri, Unayependa Kumsikiliza/Kumwangalia?

    Maisha kwasasa yamekuwa so boring and stressful. Nadhani ndio maana industry ya comedy inaonekana kukua sana siku za hivi karibuni. Je, kwako ni Comedian gani bora unayependa kumsikiliza au kumwangalia. Any recommendations.
  10. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nafikiri pastor Daniel Mgogo ndiyo best stand up comedian Tanzania

    Au nyie mnaonaje?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Kitanzania na siasa

    Kama kichwa ha habari kinavojieleza hapo juu, msaada tafadhali. Tunaeleka mwaka wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge pamoja na madiwani. Ipo haja sasa kwa Watanzania kukaa na kupima licha ya kwamba Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuweka wazi kabisa katika Ibara zake kuwa kigezo cha...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wakili Ishabakaki: Idris Sultan anahojiwa kwa kuicheka picha ya Rais

    Mchekeshaji Idriss Sultan wa Tanzania anashikiliwa na polisi tangu Jumanne wiki hii. Wakili wa mchekeshaji maarufu nchini Tanzania Idriss Sultan ameiambia BBC kuwa msanii huyo anahojiwa na polisi juu ya 'kuicheka picha ya Rais John Pombe Magufuli'. Kwa mujibu wa wakili Benedict Ishabakaki...
  13. Bishop Hiluka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania One of my favourite comedians

    Kila nikiingia Youtube ni lazima nimfuatilie huyu jamaa anayejiita Njugush, comedy zake zinanibamba sana. Wengine ninaowapenda ni MCA Tricky, Henry Desagu na Jaymo Ule Msee. Hongera sana Wakenya.
  14. Flechaa

    JamiiForums Tanzania List yangu ya Stand-Up Comedians ninaowakubali zaidi

    Habari za muda huu wakuu. Natumai mu wazima. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa Stand up comedy hasa Tanzania,Kenya na baadhi ya mataifa kama Nigeria na pia marekani. Hawa ndio 5 bora kwangu 1: Trevor Noah- South Africa/USA 2: Patrick salavdo - Uganda 3: Sleepy David - Kenya 4: Profesor Hammo - Kenya...
Back
Top Bottom