code

In communications and information processing, code is a system of rules to convert information—such as a letter, word, sound, image, or gesture—into another form, sometimes shortened or secret, for communication through a communication channel or storage in a storage medium. An early example is an invention of language, which enabled a person, through speech, to communicate what they thought, saw, heard, or felt to others. But speech limits the range of communication to the distance a voice can carry and limits the audience to those present when the speech is uttered. The invention of writing, which converted spoken language into visual symbols, extended the range of communication across space and time.
The process of encoding converts information from a source into symbols for communication or storage. Decoding is the reverse process, converting code symbols back into a form that the recipient understands, such as English or/and Spanish.
One reason for coding is to enable communication in places where ordinary plain language, spoken or written, is difficult or impossible. For example, semaphore, where the configuration of flags held by a signaler or the arms of a semaphore tower encodes parts of the message, typically individual letters, and numbers. Another person standing a great distance away can interpret the flags and reproduce the words sent.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    Polepole: Membe alihusika kusuka mipango ya Rais [Magufuli] kuuawa

    Humphrey Polepole amesema, "Kamati Kuu moja imekaa Lumumba imejadili Membe alihusika kusika mipango ya Rais kuuawa na ndiyo ulikuwa msingi wa kumchulia hatua Membe.."
  2. 4

    Rasmi katika mfungo wangu Mungu kanipa code ambayo inapatikana kileleni mwa mlima Kilimanjaro

    Amani ya Bwana ikawe juu yenu wana jf kila mmoja kwa imani yake . Nimekua kwenye maombi mazito sana juu ya taifa langu ,kuamukia leo Mungu wangu kanipa codes flani hivi ambapo itanibidi mimi mwenyewe kufika juu na kileleni mwa mlima Kilimanjaro. Naomba kujuzwa taratibu zote za kufuata ili...
  3. Fbn

    Neno toilet paper ni code ambayo serikali inaweza kukufanya ukazani unawafurahisha ufanikiwe.

    Kuna makala moja niliona kuna kiongozi alikuwa gaidi alikuwa CIA mzaliwa kuwait na wana CIA baada ya kukamilisha lengo lao kuanzia hapo waliuliwa kuanzia yeye na CIA waliokuwepo hapo. https://www.youtube.com/watch?v=Qhm4n1JyLq4 Sasa tuje hapa nchini ambao wengine watakuwa JF mfano Tlaatlaah...
  4. Brain Kingdom

    Ukiona unapoishi kuna demu single asipokuwa na mwanaume ndani anaacha viatu nje na kuna siku huoni kitu anauza ila hamjui code

    Iko hivi mademu single au wanachuo wajanja kwa sasa wana code zao za kuita wateja, mojawapo ndio hio ukiona demu anaacha sana viatu na sendo nje ya mlango wake hio ni taarifa kuwa yupo na mnakaribishwa, unatakiwa ujiongeze ndio imeisha hio, na sio ajabu kuna siku hamtaona kitu hapo mlangoni basi...
  5. 05CUBA

    Code:Sukari hamna wameagiza nje (Zambia) kwa kodi zetu?

    Gari nyingi saa zimeputa last week, Kimsingi nchi haiko mikononi mwake ila wana mtandao.... Kwa sasa dola inajitahidi kuzuia uhalisia wa mambo mabaya hata kwa kutumia kodi za wananchi ambazo zilipaswa kufanya kazi nyingine za maana ... Now Suvari ilipaswa kuwa 4000 kwa kilo. Mpaka tunapita...
  6. B

    Complaint Regarding Breach of FIFA Code of Ethics by Young African Sports Club

    Dear FIFA Ethics Committee, I am writing to report a potential breach of the FIFA Code of Ethics by Young African Sports Club, the current premium football champion in Tanzania. On Monday, 11 August, at Mlimani City Hall in Dar es Salaam City , the club's president contributed 39,000 to the...
  7. Daraja2

    "CODE - '30"

    "Kwenye kinyang'anyiro hakikisha hakuna mtoto wa waziri au aliyewahi kuwa waziri na kinyume chake" Kuna jamaa yangu hapa amenipa kibarua cha kumfuta machozi baada ya udiwani kwenda na maji 😭😭😭 !!!
  8. CARIFONIA

    Mambo ni mengi lakini mpaka sasa hakuna aliyeweza kuzifungua code

    Mambo yakiwa bado ni mengi katika jamuhuri ya watu wa giningi, gafla kunatokea tukio ambalo linaleta maneno na hisia nyingi kwa wanagingi Wengine wanasema jamaa alikua anajiandaa kuja na bonge la movie 🍿 ambalo lingetikisa tasinia ya movie industry katika jamuhuri ya watu wa Giningi...
  9. 26 Life

    Code za kugundua mdada anayejiharibia mwenyewe halafu anaamini wahuni wanampotezea muda

    Anakataa kila mwanaume wa kawaida kwa maneno ya “Siwezi date mtu asiye na gari.” - Wewe mwenyewe una miguu ya bure, lakini unataka gari ya mtu mwingine? Utasikia anasema “Mimi siwezi teseka na mwanaume. Nimejitambua.” -Toka huko, ulijitambua kwenye TikTok au? Wanaulizaga “What can you do for...
  10. Dr Akili

    +1305 ni country code ya Frolida na Miami huko USA. Jee Polepole alitudanganya yuko Tanzania akitumia code +1305?

    Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA. Jee ni...
  11. Consigliere

    Code Alpha-95

    Zone M-Zulu Mwaka wa Alpha-95, katika kisiwa cha M-Zulu, Echo-Lady alionekana kuendesha steringi huku Commander-One akiwa rasmi bado ndie kapteni wa jahazi. Uhusiano kati ya Commander-One na Chief-of-Arms (C.O.A) ulikuwa katika hali ya Red Alert. C.O.A alijaribu ku-trigga mazungumzo kuhusu nani...
  12. E

    Kanisa Katoliki lilisema waumini wafunge na kuomba mpaka August 23, hamkuelewa code hiyo?

    Kanisa katoliki lione hivyo hivyo mnavyoliona, halina muda kubishana na yoyote lkn linaweza ku influence chochote na kikawa vyovyote. Nakumbusha maombi yanaisha mwezi August. Tumsifu yesu kristu.
  13. hamis77

    Maajabu ya Bible Code – Siri zilizofichwa katika maandiko ya kale

    Bible Code ni nini? Bible Code ni mbinu ya kuchukua herufi katika umbali fulani (kama kila herufi ya 7, au ya 50, nk) katika maandiko ya Biblia ya Kiebrania, na kupata majina, maneno au matukio ya ajabu yaliyotokea baadaye. Mfano wa kawaida ni kama unavyochukua herufi ya kwanza, kisha unaruka...
  14. R

    Msaada wa civil procedure code current version

    Please mwenye soft copy aniwekee hapa!
  15. Abdul Said Naumanga

    Kuipenya Law School of Tanzania (LST) – Hizi Ndizo “Code” Zilizoniokoa, Huenda Zikakuokoa Pia

    Ndugu zangu wanaojiandaa kuingia Law School of Tanzania (LST), baada ya kuona post ya mdau Koskey akiomba msaada kuhusu jinsi ya “kutoboa” Law School of Tanzania, nimeona ni vyema kuchangia kutoka kwenye uzoefu wangu binafsi nikiwa kama moja ya wanafunzi waliofanikiwa kufaulu moja kwa moja...
  16. LIKUD

    Mama Samia badili Sheria ya Makosa ya Jinai ( Penal Code), iendane na Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Utawin mioyo ya 99,% ya watanzania.

    Sheria mama ya Tanzania ( Katiba) inasema, umri wa utu Uzima ni kuanzia miaka 18. Sheria ya Makosa ya jinai ya Tanzania ( Penal Code), inatambua kama kosa la jinai, tendo la ngono Kati ya mwanaume mwenye umri wa mialka 18+ na msichana mwenye umri wa chini ya miaka 18,hata kama msichana huyo...
  17. BIG STONE AND CONER STONE

    Code za Kiume na Ambazo sio

    Ambazo sio code za kiume. 1.Havai kipensi/ bukta fupi Inaonyesha mapaja. 2.Hali chips mayai zege...hata akila chips yai mayai ni pembeni sio zege. 3.Hanunui IPhone Na Kupiga nayo picha ili ionekana . 4.Akisikia Kitu Haendi kutangaza Au kusema /kifua cha kuficha siri za watu. 5.sio MMbeya...
  18. Sitaki kuamini

    Tufahamishane kuhusu hii code ya kupiga pesa Facebook

    nishasanuka!!!! Endeleeni ku’gatekeep!! Now ni kudownload hela tu🔥🔥🔥🔥
  19. kalooo 25594

    Kalooist Nenda huko, utakua nazo na viatu kama havikutoshi tafuta ya kuvaliamo,Rasta wake up,this was a code from your culture

    Wanajamvi karibuni katika kalooist jamii. Mwili husitiriwa kwa mavazi,makazi na hiyo amani ya moyo.Katika jamii nyingi za kiafrika ni sehemu chache zilikuwepo na kuweza kuyamudu hayo, mfano huko vijijini ambako kipato,elimu na afya kama huduma ni kidogo ukilinganisha na mjini mara nyingi watu...
  20. Kumfumaster97

    Msaada jinsi ya kuset ussd code zifanye kazi

    Habari za muda huu wakuu , Msaada jinsi ya kuset USSD zifanye kazi maana kila nikijaribu kuingia kwenye menu inaonyesha ussd code running alafu baada ya muda inaandika connection failed or mmi invalid
Back
Top Bottom