clouds fm

Clouds and the Earth's Radiant Energy System (CERES) is on-going NASA climatological experiment from Earth orbit. The CERES are scientific satellite instruments, part of the NASA's Earth Observing System (EOS), designed to measure both solar-reflected and Earth-emitted radiation from the top of the atmosphere (TOA) to the Earth's surface. Cloud properties are determined using simultaneous measurements by other EOS instruments such as the Moderate Resolution Imaging Spectroradiometer (MODIS). Results from the CERES and other NASA missions, such as the Earth Radiation Budget Experiment (ERBE), could lead to a better understanding of the role of clouds and the energy cycle in global climate change.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Hayati Magufuli alimkataa Mangungu mwaka 2020 na akakata jina lake licha ya kushinda kura za maoni, sisi Simba ndio tukamuona anafaa na sasa tunalia

    Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na mbunge wa Cuf ambaye ni mpwa wa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aitwae Vedasto Ngombale. Baadae...
  2. Heavy Metal

    Hivi kuna aliemwelewa Mangungu kwenye interview yake leo pale Sports Extra ya Clouds FM?

    Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa hivi ndani ya klabu hiyo. Watangazji Biko Scanda, Shaffih Dauda na Alex Lwambano walikua wanaongoza...
  3. N

    Clouds Fm Radio, rekebisheni usikivu

    Clouds Fm Radio, tunawaomba mrekebisheni usikivu.
  4. BARD AI

    DJ D Ommy ajiunga na Crown FM kutoka Clouds FM

    Kituo cha Redio kinachomilikiwa na Nyota wa Bongo Flava pamoja na Mtangazaji Salim Kikeke kimemchukua DJ D Ommy aka “The INTERNATIONAL DJ! JITU na sasa ni “Head of Music Department” hapa CROWN Media. @djdommy pale ni Nyumbani. WIKI YA MATUKIO Imeanza na TUKIO la kwanza la Kimkakati Limepigwa...
  5. balibabambonahi

    CLOUDS FM acheni uongo

    Muda huu mnadai mechi ya RS BERKANE na USMA iko dakika ya 35 na bado iko 0-0 wakati haijachezwa na timu zimeondoka uwanjani.Hivi mko makini kweli!
  6. Tindo

    PreGE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

    Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa. Tusikilize uchambuzi makini.
  7. P

    Mahojiano ya Godbless Lema na Clouds FM yamehairishwa

    Clouds FM imetangaza kuwa yale Mahojiano yao na Godbless Lema yamehairishwa. Clouds FM wamsema mahojiano hayo yamehairishwa baada ya Godbless Lema kupatwa na dharura hivyo kuomba mahojiano hayo yasogezwe mbele Pia Soma: Godbless Lema kutikisa Power Breakfast
  8. GENTAMYCINE

    Ni kwanini CMG (Clouds FM na Clouds TV) hupenda sana kujipendekeza katika birthdays za Marais nchini tofauti na Media zingine?

    Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE leo ni Kusoma tu Comments zenu kutokana na huu Uzi wangu.
  9. N

    Clouds FM mbona haipo hewani...

    Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi?
  10. REJESHO HURU

    Wakurugenzi mliopo Clouds FM muda huu kuongelea mtaala mpya wa elimu aacheni danganya umma

    Kuondoa utata clouds wambieni walimu kutoka mikoa tofauti tofauti wapige sm wawambieni lini na wapi walimu walipewa mafunzo ya hii mitaala mipya, zaidi nao wanasikia na kuona kama wazazi. Pili halmashauri gani imepokea vitabu vya kujifunza na kujifunzia vya hiyo mtaala mpya. Waache siasa...
  11. GENTAMYCINE

    Tulienda 'Kuchakura' Mchanga kama 'Kuku' katika 'Majaba' ili tupate Zawadi za 'Mchogo Pesa' ya Clouds FM leo Kinesi Ubungo tujuane tafadhali

    Bado GENTAMYCINE naendelea kuzitibu Kucha zangu kwani nimezitesa katika Kuchakura Zawadi za Mchogo Pesa katika Majaba na nimeishia Kukosa na kuambulia Mchubuko mikononi kwani Michanga ilikuwa Mibichi na Imeshindiliwa Kunakotukuka. Ila Clouds FM na hii Bahati Nasibu yenu ya Mchogo Pesa leo...
  12. GENTAMYCINE

    TCRA mmebariki huu Upuuzi wa Viongozi wa Timu za Ndondo Cup Kusifia kufanya Ushirikina Mubashara Redioni Clouds FM?

    "Hela tuliyopata tumeenda kununua Mayai Viza, Kuku Mweusi na Udi na kumpelekea Mganga wetu wa Kienyeji na kwa jinsi tunavyoenda Kuwaroga Watatukoma" Shabiki wa Timu Moja inayoshiriki Michuano iliyosifiwa na inayosapotiwa na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ya Ndondo Cup' kwa Mikoa...
  13. GENTAMYCINE

    Kwa Mazungumzo ayafanyayo sasa Msemaji wa Yanga SC Clouds FM kumbe 'Skudu' kasajiliwa kwa Burudani na siyo kusaidia timu

    "Tumewaletea wana Yanga SC Mchezaji ambaye hatakama hatofunga Goli ila atahakikisha Mashabiki Wote Uwanjani wanaburudika kwa Maufundi yake ya Kuchezea Mpira" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe aliye Studioni sasa Spoti Extra ya Clouds FM. Haji Manara (Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC) hakukosea...
  14. BARD AI

    Clouds FM imeshakuwa Radio ya Kubet, vipindi vyote ni "Tuma Buku, Cheza na Buku, Buku Mchongo,"

    Ni aibu kwa level ya Radio kama Clouds kuwa na matangazo yanayohamasisha watu kubet kila dakika. Ubunifu wa kupata mapato umeisha wamebaki kutegemea Buku Buku za wasikilizaji. Clouds imekua radio ya ajabu sana kwasasa. Kama hali imekuwa ngumu wauze hisa tu ili wapate mwekezaji mwingine. Mbona...
  15. NDUKI

    CLOUDS FM | Before & After...!

    SALAAM...! Natumai muwazima kabisa. Well...! Clouds FM (CMG) ni Radio iliyoleta mapinduzi katika huu muziki wa kizazi kipya na hata miziki mingine, tangu ilivyosemwa kuwa muziki wa Bongo Flavor ni uhuni watu waliukataa. Ila niseme tu, ujio wa radio hii uliwaaminisha WENGI sana kuwa huu muziki...
  16. BARD AI

    Clouds FM inapoteza mvuto au imeshindwa kwenda sawa na mabadiliko na uwepo Radio nyingine?

    Kama ni mfuatiliaji mzuri wa vipindi vya Radio, utagundua kuwa kuanzia saa 12 asubuhi kipindi cha Good Morning kutoka Wasafi FM kinasikilizwa sana mitaani, kwenye madaladala, magari binafsi kuliko ilivyo Power Breakfast ya Clouds FM. Nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini kwa Clouds kupoteza...
  17. GENTAMYCINE

    Adam Mchomvu wa Clouds FM endelea hivyo hivyo kutembeza Kichapo kwa Wapuuzi na Wanafiki tupo na tutakutetea

    Mmeshajua kuwa Adam Mchomvu hapendi Shobo na kwamba ukijaa tu katika 18 zake Unachapika kwa Kipondo chake Tukuka na cha Kishalubela kwanini Umchokoze? Nimefurahi mno alivyotoa Dozi kwa mwana Yanga Mmoja na Msanii huku Yeye Adam Mchomvu akiwa ni mwana Simba Kindakindaki Mwenzangu. Hopeless...
  18. GENTAMYCINE

    Sasa ni Vita rasmi ya Sports Extra ya Clouds FM dhidi ya E-Sports ya EFM Usiku wa Saa 3 hadi Saa 5

    Baada ya kwa muda mrefu Clouds FM na Kipindi chao pendwa cha Sports Extra kutamba kwa muda mrefu kila Siku za Usiku wa Saa 3 hadi Saa 5 sasa wamempata Mpinzani wao mpya wa Kipindi cha Michezo cha Usiku. Taarifa ikufikie kuwa kuanzia Wiki ijayo kile Kipindi pendwa cha E-Sports cha EFM...
  19. Replica

    Kumbe Fatma Karume mkali hivi! Amchenjia mtangazaji wa Clouds FM live redioni

    Wakili mzoefu, Fatma Karume almaarufu shangazi leo amemtuhumu mtangazaji wa kipindi cha michezo cha Clouds FM, Prisca Kishamba kuwa ni muongo na yeye hamna kitu hapendi kama watu wanaofanya 'Assumption'. Fatma alitengeneza swali na kumtaka mtangazaji amuulize upya kama alivyosema baada ya...
  20. Last Seen

    Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dr. Abbasi amefunga ndoa na Mtangazaji wa Clouds FM Mamy Baby.
Back
Top Bottom