chuo

  1. JamiiForums Tanzania Chuo cha Afya Mac Wish kinakwama kwenye Marekting bila kufahamu

    Ni jambo la kushangaza kuona taasisi ya elimu kama Chuo cha Afya Mac Wish ikishindwa kunufaika na fursa ya kujitangaza ipasavyo. Badala ya kuwa na kitengo cha masoko chenye ubunifu na mvuto, kimeonekana kutochukua hatua madhubuti – na matokeo yake, majukumu nyeti ya marketing yameachwa mikononi...
  2. JamiiForums Tanzania Je, thesis defence ya chuo inapaswa kuwa wazi ama siri?

    Katika ulimwengu wa taaluma, ulinzi wa tasnifu (thesis defense) ni tukio la heshima na ukomo wa safari ya mwanafunzi wa shahada ya Uzamili au Uzamivu, Master's pamoja na PhD. Ni hapa ndipo mwanafunzi huwasilisha matokeo ya utafiti wake mbele ya jopo la wasomi na kujibu maswali ya kina, ili...
  3. JamiiForums Tanzania Ripoti mpya yaweka wazi uharibifu uliofanywa na makombora ya balistiki ya Iran nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion

    Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita Uharibifu huo ni...
  4. JamiiForums Tanzania Hii bajeti ya graduation kwa huyu mtoto wa chuo, si mtaji kabisa huu?

    Vijana wanaomaliza vyuo wanakuwa na vibe sana na graduation, bajeti ya zaidi ya 1.3M si mtaji kabisa huu? Then baada ya graduation ukute anahangaika kutafuta mtaji.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba yako

    Tangazo muhimu. Chuo cha biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba zako Bwana yesu asifiwe sana watumishi wa mungu. Mbarikiwe kwa kuendelea kuwa sehemu ya kazi hii. Safari hii tumewaandalia mpango mkubwa kabisa wa baraka utakaoanza rasmi mwezi wa kumi 2025. Sikiliza kwa makini...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya wahadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanajiona miungu watu

    Kufundisha ni wito. Tenda kazi yako vizuri. Kwanini taasisi nyingi zinafanya kazi mpaka waone jambo kwenye mtandao? Hapo chuoni unakuta wanafunzi wananyanyaswa na hawana pa kwenda wakiofia kufelishwa. Mhadhiri anaingia darasani mara 7 kwa semester na hakuna attendance wala nini na hakuna...
  7. JamiiForums Tanzania Chuo cha Tumaini Dar es Salaam

    Salamu! Nimechaguliwa chuo cha tumaini Dar Es Salaam kozi ya IT ngazi ya bachelor. Ila ada naona iko juu kulinganisha na vyuo vya serikali. Je loan board watalipa ada yote ikiwa ntapata mkopo 100% au niaje wakuu. Naomba majibu kabla sija confirm kujiunga na chuo hiki kwani nimechaguuliwa chuo...
  8. JamiiForums Tanzania Askari wanyamapori auawa na chui Mwanza - wengine 4 wajeruhiwa wakipambana naye - polisi waeleza

    Hawa , Angekua ni Mtanzania ndo Kauliwa ,wangeishia kutoa Matamko na kujifanya kama wao sio Watanzania Ila kwakua mwenzio ndio Kauliwa, hamna Maneno mtaacha kusikia kutoka kwao. https://youtu.be/ByUTXlIIKd0?si=k3kt4hSaLPB3T9Uk
  9. JamiiForums Tanzania Wakati nipo chuo nimesoma Mafilosofa wengi ila sikuona Mwanamke hata mmoja je wanawake wao sio wagunduzi wa mambo yanyohusu Akili n.k?

    Hii imekaaje sijawahi kuona philosopher wa kike Ina maana wenzetu wanawake hawana mchango wowote duniani ukiachana na mambo madogo Kama kubeba mimba , kuzaa na kulea.??
  10. JamiiForums Tanzania Changamkia fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  11. JamiiForums Tanzania Biblia ndio Chuo Pekee Duniani unachoweza kujifunza Upendo, Amani, Furaha na Uvumilivu

    Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha mwanadamu masomo ya msingi ya maisha ambayo vyuo vikuu vya kidunia haviwezi kufundisha. Humo ndimo...
  12. JamiiForums Tanzania TATIZO SUGU LA CHUO CHA CBE KUTOPELEKA MATOKEO YA WANAFUNZI NACTEVET

    CBE nawalalamikia binti yangu kamaliza 2024 Diploma lakini akienda Nactevet anaoneshwa kwamba wahusika wa CBE examinations officers hawajampandoshia matokeo yake yote bila taarifa wala sababu.za msingi. Tunaomba Mkuu wa chuo Prof Thandi Luoga kulifanyia kazi hili.haraka ikiwezekana tumbua...
  13. JamiiForums Tanzania CCM jengeni Chuo kikuu Mwanza na Hospital kubwa yenye hadhi ya nyota tano muziite CCM MEDICAL UNIVERSITY and Teaching Hospitali

    Haya mabilioni ya shilingi zenu njoeni muwekeze Mwanza mjenge Hospital ya hadhi ya nyota tano hafu mjenge chuo kikuu kikubwa Sana
  14. JamiiForums Tanzania JF Story: Shambulizi la kinyama chuo cha Garissa

    Mnamo Aprili 2, 2015, mwendo wa saa 11:30 alajiri, Chuo Kikuu cha Garissa kilichoko Garissa, Kenya, kilikumbwa na ugaidi pale watu wanne wenye silaha waliojifunika nyuso zao kutoka kwa kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab walipovamia chuo hicho. Washambuliaji hao, wakiwa na AK-47 na mikanda ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa Chuo Cha SAUT tumenyimwa ID ya special semester ya kwanza licha ya kumaliza ada kwa muhula wa kwanza

    Baada ya kutamatika kwa muhula wa pili wa masomo kwa chuo kiukuu cha SAUT utaratibu huwa ni mtihan ya Special na supplementary za semester ya kwanza kufanyika. Kwa ratiba ya chuo kuku cha SAUT mitihan imeanza kufanyika tarehe 12 /08 2025 na inatarajiwa kutamatika tarehe 19/08/2025 lakini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna muhuni wangu nimemaliza nae chuo eti sasaivi ni NABII 🤣🤣🤣 anahubiri kwenye youtube channel yake 🤣🤣🤣

    Akihubiiriii akiungurumaaa mwisho kwa upole utaskia usisahau ku like,ku comment na ku subscribe Chanel yangu 🤣 🤣 🙌 Nacheeeka 😂😂😂 na Kuna WADADA utskia tunashukuru mtumishi Kunaanina 🤣 🤣 🤣 aloooooh 🤣 🙌 🤣
  18. JamiiForums Tanzania Eti umeme ukikatika kwangu na jirani yangu professor wa chuo kikuu pia umeme kwake unakatika 🤣🤣🤣

    Wasomi wa tz hawana mbinu za kutatua matatizo Ni documents tu nyingi Zaidi ya hapo umkute msomi wa bongo hasubuhi kwenye magaazeti chakwanza hanunui gaazeti yeye anachambua tu vichwa vya habari
  19. JamiiForums Tanzania Huyu kijana tapeli ana digrii ngapi, kutoka chuo gani na ni namba ngapi kwa utajiri kwa Dar tu?

    Maswali mengine Utajiri wake unatokana na nini? Generals gani anaokaa nao mezani na wanazungumza nini?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada ninaomba kuambiwa ni chuo gani ? Kina toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi kwa Tanzania

    Msaada wa vyuo au chuo kinacho toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi Tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…