Kuna nafasi nzuri sana ya kujifunza mambo mengi katika ndoa. Wanandoa unatakiwa kuwa tayari kujifunza.
Ndoa haiwezi kuimarika endapo kila mmoja kati ya wanandoa atang'ang'ania kubaki na misimamo yake aliyokuwa nayo kabla ya kuoana.
HAKUNA MWANAUME BORA DUNIANI AMBAYE ANGEFAA KUPIGIWA MFANO NA...