Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea Chuo Kikuu cha Kilimo cha Belarus (Belarusian State Agrarian Technical University - BSATU) na kufanya mazungumzo na viongozi wa chuo hicho wakiongozwa na Mkuu wa Chuo, Romaniuk Nikolai.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo (Jumatano, Julai 23, 2025) kwenye...
Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !.
Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao haufungamani na Chama chochote Cha kisiasa .
Huyu Pimbi, alipoanza kujitokeza, alianza kama Genge la...
Huwez kujibu hoja za polepole kama wewe ulijiunga na Ccm ulivyofika chuo kikuu na ulijiunga kama fashion.
Ndio wengi wamebaki midomo wazi kwa yale aliyoyasema polepole.
Polepole haujui tu Katiba wala kanuni za chama cha Ccm bali anajua hadi Miiko ya chama cha mapinduzi {Ccm} ambayo hua...
Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26
Kama bado hujafanya uamuzi wa nini usome chuo kikuu, makala hii ni mwongozo sahihi kwako. Inakuletea orodha ya kozi bora ambazo si tu zina nafasi nzuri ya ajira, bali pia zinakuandaa kwa kazi katika sekta mbalimbali...
Ikiwa itaendelea kuaminiwa, CCM itatoa elimu bure kutoka shule ya awali hadi chuo kikuu ifikap 2050 hii itawafanya watoto wengi wa masikini kusoma mpaka mwisho wa akili zao wala sio mwisho wa pesa zao.
Hata hivyo, Kupaa kwa Bajeti ya Elimu kutoka TZS.4.7trn mpaka TZS.6.1trn ni maandalizi ya...
Dkt. Mwami, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amezungumzia umuhimu wa kuifufua upya harakati za Upan-Africanism kwa kuanza upya misingi yake ili kuikomboa Afrika. Amesisitiza kuwa uasi si jambo baya, hasa pale ambapo mtu anaamua kuasi mifumo kandamizi kwa lengo la kujikomboa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia aendelea kuchanja mbuga kwenye mioyo ya watu. Sasa amevuka mipaka na kuanza kuteka hata mioyo ya wageni Kama ilivyokuwa kwa Barack Obama aliyependwa na kukubalika hata nje ya Marekani yenyewe. Rais Samia ameanza kuwa na anga lake na Dunia yake ya upendo na...
Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!!
Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani?
Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza.
Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa)
Tazama hiyo video hapo chini...
Habarini za wakati huu wanajukwaa?
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naombeni kujua ni kozi zipi zenye soko kwa sasa ambazo anaweza kusoma chuo kikuu mtu aliyesoma HGE advance?
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT), Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap., kutokana na madaraka aliyo nayo kisheria kwa mujibu wa Katiba ya Chuo cha SAUT ya Mwaka 2010, amemteua Padri Prof. Juvenalis Asantemungu kuwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi mwenzake wa Chuo hicho mwaka wa tatu aitwaye Gerald Philbert Said [22].
Ni kwamba Juni 14, 2025 saa...
Kwa Wanasheria na Mawakili, Moja ya kosa kubwa kabisa linaloweza kukufanya uzuiwe kuendelea kufanya kazi za Uwakili ni pale unapothibitika kufanya kosa la kitaaluma yaaani professional misconduct.
Katika sekta ya Sheria Proffesional Misconduct ya juu kabisa ni kudharau Mahakama. Ikiwemo...
Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Mheshimiwa Mkuu wa Chuo,
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa kitivo cha elimu kukupongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kwako kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...
Kama ningekuwa mkuu wa chuo kikuu chochote nchini Tanzania, chuo hicho kingeingia kwenye orodha ya Vyuo vitano (5) Bora Barani Afrika ndani ya muda mfupi sana.
Nini ningefanya?
Ningehakikisha kuwa chuo kinajikita katika tafiti zenye tija na zenye kutoa mchango halisi kwa jamii, taifa, na dunia...
Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kumshambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku, ameswekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana katika kesi ya jinai inayomkabili na...
Kuna taarifa kwamba chuo kikuu maarufu duniani kinashutumiwa kuchochea vurugu dhidi ya wayahudi.
Na swali kwann gwajima ameweka bendera ya Israel nyumbani kwake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.