Muda mfupi baada ya kusambaa kwa andiko la Mdau akielezea tuhuma zinazohusu Chuo Kikuu Huria (OUT) kwamba kuna baadhi ya Wahitimu wamefoji matokeo na vyeti, ufafanuzi umetolewa na chuo hicho.
Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa - Zaidi ya Wahitimu 300 wa Mahafali ya 44 ya Open University (OUT)...
Anandika John Heche kuwa;
"Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi.
Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano.
Ajabu ni kwamba sehemu ambayo Inatakiwa kuwa chimbuko la fikra na mawazo wamezuia kongamano hili dakika za mwisho kabisa".
Naomba tuelewane ni chuo kikuu kilichojitosheleza chenye vitivo mbali mbali vya Uhandisi, Sheria, Ualimu, Biashara, Udaktari, n.k.
Sio kampasi ya chuo kikuu au institute au college ambayo inatoa fani chache.
Kila ukanda sikuhizi una toa wahitimu wengi sana wa form 4 na form 6, ni haki yao...
Hawa wote ni wasomi waliosoma vyuo nje ya mkoa na elimu imeweza kuwasaidia, Kwa mamlaka waliyonayo waki team up sioni kinachoshindikana kuleta chuo kikuu ndani ya mkoa ili wanasingida wengi zaidi wanufaike.
Sio lazima kijengwe chuo kikuu kipya, linaweza kujengwa tawi la Udom, Udsm, Mzumbe...
Leo nilipita chuo kimoja mjini kumpitia mdogo wangu twende Kilimanjaro kula sikukuu.
Wakati nimepaki viunga vya chuo akaja na wenzake Kama watatu hivi kumbe walikuwa wanamalizia ku discuss naswali ya fulani hivi
Nikaanza kuwasikiliza kwa makini wakibishana nikakumbuka kabisa hii mada nilisoma...
Waislamu ni wagumu sana kutengeneza kitu cha kunufaisha jamii nzima, licha ya wao kuwa na matajiri wengi kama kina Bakresa na wengineo hapa Tanzania lakini linapokuja suala la kurudisha kwa jamii wanakuwa ni watu wazito sana, sanasana watatengeneza maendeleo kwa ajili yao tu.
Hakuna sehemu hapa...
Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati.
Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika...
Anonymous
Thread
chuochuokikuuchuokikuu huria
huria
kikuu
mapema
open university
pekee
university
wanasiasa
Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni
Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera.
Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita
Uharibifu huo ni...
Kufundisha ni wito. Tenda kazi yako vizuri. Kwanini taasisi nyingi zinafanya kazi mpaka waone jambo kwenye mtandao?
Hapo chuoni unakuta wanafunzi wananyanyaswa na hawana pa kwenda wakiofia kufelishwa. Mhadhiri anaingia darasani mara 7 kwa semester na hakuna attendance wala nini na hakuna...
Habarini nyote....
Nilikuwa natafuta tu clarification kwamba naweza omba chuo kikuu pindi dirisha litafunguliwa hali ya kuwa nipo chuo cha kati na niliweza kusoma advance na kufaulu division II sema ilinilazimu nianze clinical medicine diploma.
Hivyo nimefanya machaguzi kubadilisha course...
Tena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika.
Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. (na huwezi kukuta matawi ya hivi vyuo vikubwa kwenye mikoa wanayotokea)
Katavi
Shinyanga
Tabora
Singida
Mara
Pwani
Lindi
Geita
Simiyu...
Wasomi wa tz hawana mbinu za kutatua matatizo
Ni documents tu nyingi Zaidi ya hapo umkute msomi wa bongo hasubuhi kwenye magaazeti chakwanza hanunui gaazeti yeye anachambua tu vichwa vya habari
Wadau wa elimu habari.
Chuo kikuu huria ni chuo kinachofanya vizuri katika taaluma mbalimbali hapa nchini nawapongeza katika hili.
Kero: Kumekuwa na upotevu wa mitihani ya wanafunzi na hata kupelekea wanafunzi kulipia gharama zakurudia mitihani baada ya mitihani hio kupotea, mbali na hapo...
Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea Chuo Kikuu cha Kilimo cha Belarus (Belarusian State Agrarian Technical University - BSATU) na kufanya mazungumzo na viongozi wa chuo hicho wakiongozwa na Mkuu wa Chuo, Romaniuk Nikolai.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo (Jumatano, Julai 23, 2025) kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.