Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa hatuna pesa.
Lakini pia kupata allocation inafanyika mapema lakini sasa pesa ya kujikimu inakuwa...
Mimi ni Mwanafunzi wa degree, nipo Mwaka wa Pili katika chuo Cha Abdurahman Al-Sumait kilichoko Zanzibar.
Mimi na wenzangu tulipata ufadhili wa masomo (Scholarship) kutoka Taasisi ya Direct Aid Society ambayo zamani ilijulikana kama African Muslim Agency (AMA) ambayo ndio wamiliki wa Chuo cha...
Mazingira ya Chuo Kikuu Huria, Kampasi ya Singida yanasikitisha sana kutokana na kuonekana kuwa duni.
Majani yameota hovyo hovyo.... mazingira mabovu hayavutii wala hamna hadhi ya 'Chuo Kikuu'.
Wakati wa mvua ndio huwa pabovu zaidi kwasababu eneo lenyewe lipo ziwani.
Pia sehem za kusomea...
Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Unaweza kusoma UDSM hall 2 na 5 zenye ghorofa 11 hazina muda mrefu zitadondoka
Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi...
Dar es Salaam - Tamasha la Hot Rhythm Music Festival lililofanyika katika Hostel za Mabibo siku ya jumamosi jijini Dar es Salaam, liliwaleta pamoja wanafunzi wa Chuo Kikuu kwa ajili ya kusherehekea muziki na burudani huku wakipata ladha safi ya vinywaji vya Coca-Cola.
Tamasha hilo lilivutia...
Tarehe 30 Oktoba 2024 kituo cha habari cha NPR, kiliweka wazi kuwa Harris atatumia usiku wa uchaguzi katika Chuo Kikuu cha Howard, HBCU ambayo ni mahali palipo na mchango mkubwa katika kumtengeneza kuwa kiongozi.
Makamu wa Rais Harris atatumia usiku wa uchaguzi katika chuo kikuu cha Howard...
Unajua, siku hizi ukiwasikiliza vijana wengi, wanaonekana kuchukia zile kazi za ofisini za saa 9 mpaka 5. Utasikia wanasema, “Ah, ajira za ofisini ni utumwa tu” au “Kwa nini niteseke na mshahara wa mwezi wakati kuna biashara na fursa za mtandaoni?” Sasa swali linakuja, ni kweli ajira za ofisini...
Habari zenu watanzania wenzangu naitwa FAIDHAnimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya afisa mwajiri
Mawasiliano 0624-137476
E-mail:faidhak6@gmail.com
Habari wakuu,
Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu.
Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kikishirikiana na Taasisi ya Confucius, hivi karibuni kiliandaa Maonesho ya tatu ya Ajira kati ya China na Tanzania baada ya maonesho hayo kusita kwa takriban miaka sita kutokana na changamoto kama vile janga la UVIKO-19. Baada ya kurejea kwake sasa maonesho...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 7 Oktoba, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Sayansi hai nchini Hungary, Ndg. Gyuricza Csaba katika Makazi ya Kifalme ya Godollo nchini...
Hbr za wakti huu wadau,naomb mnielimishe na kunsaidia kweny hli,Je kuna tofaut yeyte ya mtu anaehitimu degree chuo cha taasisi na chuo kikuu?
Yani mfano Anaehtimu Degree kwa GPA kubwa UDSM na Anaehtmu kwa GPA ya juu TIA,pengne kuna faida ipi ya ziada inapatikana kwa kuhtimu chuo...
Huko nyuma kabla ya Jiwe JPM, kulikuwa na tabia mbaya ya kitapeli eti unamrusha darasa mwanafunzi. Unakuta mwanafunzi kasoma mpaka darasa la pili alafu unamrusha mpaka darasa la tano au yuko darasa la nne unamrusha darasa la sita.
Nashukuru JPM kwa kutengeneza mfumo ambao ukisajiliwa na mfumo...
Visit ResearchLink International for assistance in statistical analysis, research organization, planning, data analysis, article publication, plus other study opportunities. University students, grab these opportunities without missing, it's free.
MTIHANI WA UWEZO (APTITUDE TEST) KWA MWALIMU WA SOMO LA KIINGEREZA – NGAZI YA CHUO KIKUU (DEGREE)
Subject (Knowledge & Understanding)
1. What is the primary function of a conjunction in a sentence?
a) To join two clauses
b) To describe nouns
c) To express an action
d) To replace a...
Uongozi wa Chuo cha Uhasibu Arusha, umetaka wanafunzi zaidi ya 2000 kurudia mtihani ingawa walishafanya mtihani huo wa semister ya 2.
Chanzo ni kutolipa ada ya kufanya mtihani, hii sio haki.
Uongozi umeshindwaje kutambua toka kipindi chote hadi wamefanya mtihani na matokeo yameshatoka. Na...
Selection za chuo kikuu hazijawatendea haki baadhi ya waombaji, Kuna mwombaji ameandikiwa Hana sifa Kwa sababu alifeli somo Moja la core ilihali alifaulu somo hilo. Pia baadhi ya vyuo kama UDSM na SUA wamefungua dirisha la pili bila kuonesha course ambazo zmeshajaa, hii inafanya waombaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.