chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo Kikuu Huria Tanzania (Vituo vya mikoani): Malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi

    Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, hususan katika vituo vya mikoani, kuna malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi ambazo zinaonekana kutotumika ipasavyo. Kwa mfano, kuna vituo vyenye wafanyakazi watatu pekee lakini bado vina Afisa Rasilimali Watu (Human Resources Officer)...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi Chuo kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) tumesaini ada bodi ya mikopo mpaka sasa Leo 1-07-2026 hazijawekwa kwenye mfumo wa matokeo

  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa tawi la chuo kikuu MUHAS Mkoani Kigoma wafikia 78.9%

    Kutoka kwenye chanzo cha kuaminika serikali imejenga tawi la chuo kikuu MUHAS mkoani kigoma na umefikia aslimia 78.9 ambapo mwezi wa nane utakamilika rasmi na kuanza kupokea wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi

    https://www.youtube.com/watch?v=aZJigFrAukU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Hali ya vyoo Chuo Kikuu UDOM upande wa CNMS ni hatari kwa afya, huwezi amini kama ni Chuo Kikuu hapo

    Hali ya vyoo katika Chuo Kikuu cha UDOM, hususan katika College of Natural and Mathematical Sciences (CNMS), imezidi kuwa mbaya kwa kiwango kinachotia wasiwasi mkubwa. Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, wanafunzi wamekuwa wakikabiliana na mazingira duni ya usafi, huku vyoo vingi vikiwa havitumiki...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amefanya Kila Mtoto Wa Kitanzania Kuwa Na Uhakika Wa Kupata Elimu Mpaka Chuo kikuu na Kutimiza Ndoto zake

    Ndugu zangu Watanzania, Ili Taifa liendelee na kupata Maendeleo ni lazima watu wake wawe na Maarifa, Elimu vichwani mwao pamoja na ujuzi . Siyo Wingi wa Rasilimali ama malighafi unaoipatia utajiri Nchi. Mataifa ya ulaya, Marekani na kwingineko katika Nchi za Ulimwengu wa kwanza na hata zile...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna changamoto kubwa sana kwa watumishi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuhusu suala zima la ulipaji wa posho mbalimbali

    Miezi mitatu imepita watumishi hawajalipwa posho zao na hakuna taarifa yeyote juu yao, zaidi kuna matumizi mabaya ya makusanyo ya fedha mbalimbali zinazosababisha watumishi wasilipwe posho zao ikiwemo posho ya usafiri na kodi ya nyumba. Vile vile wanashindwa hata kutoa chai kwenye ofisi husika...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mabafu na Vyoo vya Mabibo Hostel kukosa milango ni hatarishi kwa watumiaji

    Habari, Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na pia ni mkazi wa Mabibo hostel. Hii changamoto imekuwa ni kwa miaka sasa. Mabafu na vyoo havina milango na wala hakuna dalili za marekebisho kwa usalama wetu binafsi. Hilo suala ni kero kwa sisi tusiokuwa na makazi zaidi ya hostel...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Safari ya Jenerali Ulimwengu kutoka Ngara hadi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Kumekuwa na utata wa wasifu wa mwandishi wa habari mkongwe, Jenerali Ulimwengu, hasa baada ya kutakiw akuomba upya uraia, enzi za Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa. Akizungumza katika mahojiano maalum, Jenerali Ulimwengu anasimulia safari yake tangu alipozaliwa wilayani Ngara mkoani...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ucheleweshwaji wa Kimaksudi na Ukatishwaji Tamaa wa Wanafunzi wa Postgraduate kutokana na Usimamizi Mbaya wa Tafiti UDOM

    Uongozi wa Chuo Kikuu cha UDOM uongeze umakini mkubwa katika usimamizi wa masomo ya postgraduate. Wanafunzi wengi wa postgraduate wanacheleweshwa kimaksudi na kulazimishwa kulipa pesa nyingi za ziada (extension fees) licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujitahidi sana. Mfano halisi: Kuna...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha NASARAWA cha Nigeria, leo Aprili 11, 2026

  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jambo hili linaumiza wanachuo wa Chuo Kikuu cha Sokoine kutakiwa kulipa ada ndani ya wiki 3 za kuanza masomo

  13. W

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Nigeria Nasarawa kinatarajia kumtunuku Rais Samia shahada ya Udaktari wa Heshima

    Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa (NSUK) cha Nigeria, kinatarajia kumtunuku Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, shahada ya Udaktari wa Heshima, Aprili 11, 2026. Kulingana na taarifa iliyochapishwa kwenye gazeti la Premium Times la nchini humo, kiongozi huyo atatunukiwa shahada hiyo wakati wa...
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Mtu yupo chuo kikuu lakini bado analalamika mitandaoni, sasa hiyo elimu inakusaidia nini kama huwezi kutatua matatizo kisomi

    Watanzania elimu ni tiba ya kutatua matatizo siyo kusoma tu kama unasoma gazeti. Inakuwaje mwanachuo ulalamike mitandaoni na upo na utawala hapo hapo ,na Kuna suggestion boxes kibao, na umesoma research writing huoni kama unakidhalilisha chuo? Andikeni maandiko, fanyeni mini research watu waone...
  15. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa walio Chuo Kikuu na vyuo vya kati GPA matters

    Wadogo zangu ambao bado hamjamaliza Please msicheze vyuoni mpate ufaulu ambao ni mzuri yaani GPA kuanzia 3.5 inakua nzuri kwako hata kama utaajiriwa na mtu au taasis ambayo haitaki GPA kubwa. Kwa Tanzania na Population yake wasomi wamekua wengi na ili kupunguza michujo mingine ndo inafanywa kwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded SUMA geti la UDOM wanakamata vyombo vya usafiri na kuvitoza pesa. Je, zinaenda wapi?

    Kumezuka tabia mpya geti la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kuna baadhi la Jeshi la Polisi wakishirikiana na SUMA wanasimamisha pikipiki kwa kigezo cha kuwakagua na kisha wanachukua pesa kwao mara nyingine 10,000/=, 5000/=, 20,000/= kitendo ambacho sidhani kama ni kwa mujibu wa sheria na pia...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO UDOM na deni kwa wanafunzi wenye malipo yaliyozidi (overpayment)

    Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha. Udom msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea izo fedha ili tufanye graduation tupeni na...
  18. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Kwa Graduate Peke ake, Ni kiasi cha pesa kilitosha ku-finance Elimu yako ya Chuo kikuu, Je Does it worth it?

    Habari Wakuu. Nkiendelea kuipokea Weekend ya Mwisho kwa Mwezi huu wa 01.26, Nikapata wasaa kupita na files zangu, mpaka kulikuta file la madeni yangu ya HESLB, na kugundua wananidai 20M kama gharama za ku-finance elimu yangu ya Chuo kikuu. Sijaanza kuwalipa bado, Ila soon ntaanza kuwalipa...
  19. immortanity

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Miundombinu ya Vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni mibovu na uongozi wa chuo upo kimya tu

    Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo . Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa . Vyoo takriban floor zote vimeziba vichache tu ndio vinafanyakazi na idadi ya wanafunzi ni wengi ...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

    WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo...
Back
Top Bottom